Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa unafanya nn humu unamlalamikia Nani , mbona unaumia kule jukwaan kwenu umeona unajiongelesha

Walikuja kina ødegaard n.k wote waliambiwa hivo ,na mwisho midomo ilifungwa ,
 
Tutaangalia mechi ya kiume kama Labyrinth anavyosema tuone boli[emoji28][emoji28][emoji28]
@arsenal2004 vipi umeangalia mechi ya kiumeni?
Umemuona mnyama Tonali, unaweza kumfananisha na takataka kama Kai Harvez?
 
Badala wa furahi kama sisi tunavyofurahi manjesta kupigwa Anthony,

Kila siku wanakuja kulalamika humu
 
Tukikutana nao hao hzo Counter zao watazipigia usingizini...wanyime kukaa na mpira wabaki kukimbiakimbia....hao wanaweza kukufungeni nyie Manyumbu kama mwaka jana walivyokutungueni pale kwao ila sio sisi....huo mpira wa papatu hawawezi kucheza mbele yetu....tupo hapa😅😅
 
Mkuu uzr mwsh wa msimu utafika.

Ww na huyu jamaa yako mwngne ntawatag vilivyo.
 
huyo ndio Mc masingeli, tunataka tumpe jimbo agombee ubunge. ana kipaji.
 
Huyo Newcastle Hana timu yakuifunga Arsenal , level zake hao hao kina Astonvilla ,

Nyie manjesta ambao hata kupiga pass 10 hamuwez ndio mtafungwa na kina Astonvilla
 

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] we acha tu yaani nilikua naangalia gemu subs zinafanyika anayeingia ni chuma na anayetoka chuma halafu kuna kondoo humu wanakuambia wana vikosi vipana[emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] we acha tu yaani nilikua naangalia gemu subs zinafanyika anayeingia ni chuma na anayetoka chuma halafu kuna kondoo humu wanakuambia wana vikosi vipana[emoji23]
Hao ndo level yenu Sasa....mtakaogombea nao nafasi za sita kwenda mbele huko chinichini
 
Kovacic mtu kaz mzee.. Nyie sbr mtaomb poo.

Nasisitiza mambo yakienda kombo safar hii muwe hapa.
Tupo mkuu...ligi imeanza tuone kandanda safi...kwhyo Kovacic hamjapigwa ...yle ball carrier mzuri sana....mkipata na Paqueta mtakuwa hatari sana😅😅😅
 
Wewe malizia kusajili umtoe mazima top 4 manjesta

Malalamiko humu hayatawasaidia chochote
Najua unabana mbupu kw nguvu ili tusichukue vile vyuma, mana unajua tutaingia kwenye ubingwa na hii hii phace one.
 
Tupo mkuu...ligi imeanza tuone kandanda safi...kwhyo Kovacic hamjapigwa ...yle ball carrier mzuri sana....mkipata na Paqueta mtakuwa hatari sana[emoji28][emoji28][emoji28]
Uzur mm najua ww unajua ukwl mm na ww ni mbingu na ardhi[emoji23].. Ni bas tu kwa sbb ya ushabik mna dhan lbd msimu huu ilo litabadilika.

Kabla ya msimu kuanza nilisema ivi kama kuna shabik wa Arsenal anahis msimu huu team yake itabadilka na kua serious na makombe ya maana bas shabik huyo anahitaj maombi kwa mwamposa hrk sana.
 
Najua unabana mbupu kw nguvu ili tusichukue vile vyuma, mana unajua tutaingia kwenye ubingwa na hii hii phace one.
Mimi napenda sana muwachukue nyie na sio Wale kuku ili mgombee top 4 na manjesta ,ni aibu muwe na kiungo Cha kina Chukuemeka na Galaga ,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…