arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Mudryk ndio silaha yenu nyie kondoo. Atawapga mpk mchakae
Pressure gani hiyo wamefanya hao jamaa asee ,ukiacha hiyo kaunta Tena msifie Elanga alikimbia Sana kamzidi saka na whiteHata kuwin 1 -0 sio tatizo unajua wewe unakuwa kama kipofu fulani hivi Arsenal ya leo kwa total football️ bado unawekwa pressure na Nottingham Forest dk za mwisho?hili tatizo halijaondoka bado la kuhandle pressure kashinda Yes 3 points ni muhimu but aache utani kama wa leo hii ni premier league
Waliingia na matokeo mfukoni tushinde nyingi tukae juuNdio watu hawaelewi
Pressure gani hiyo wamefanya hao jamaa asee ,ukiacha hiyo kaunta Tena msifie Elanga alikimbia Sana kamzidi saka na white
Hakuna kingine hao jamaa wamefanya
Arsenal ikishinda lawama ikifungwa lawama
Yaan mnataka wacheze perfecthata mpinzani asisogee langoni kwetu , hiyo timu labda ishuke kutoka mbinguni
Timu yoyote ikifungwa huwa inajilipua ,bado Arsenal wali handle mchezo had dk ya mwisho
Mbona mancity vs Arsenal,walipotufunga tuliwapelekea Moto had wakaachia ,nao mbona hawalalayaani
Tena mfumo wa leo nimeupenda ni mfumo wa zaman Sana wa Johan cryuffNilichojifunza hmu ndani watu huwa Hawafanyi analysis ya mechi kabisa....yaani wao ni ushinde tu tena usishambuliwe kabisa....EPL timu ndogo huwa ni zinazopanda daraja tu vngnevyo wte wengine ni wakubwa na Wana uzoefu wa ligi
Tuliwaambia humu kuhusu Biashara ya KAI jamaa wao yule oya oya akaja na stats na facts uchwara kumtetea.Na hapo ni game na forestvipi game za miamba isiyocheka kabisa kina Newcastle, man utd, man city, aston villa, Liverpool na brighton si ndo mtarudiii hapa kumtukana arteta humu kala 10%. Tulieni mambo ndo kwanza yameanza tutaongea lugha moja tu, tulishasema kai mmepigwa mara 2 zile 65 na kwenye mshahara.
Yaani hapa badoooo na mtasema
Mashabiki wa chelkenge lini mlikuwa na akili , yaan mnapambana kila mechi kuangalia wapi anakosea mje humu kusema tumepigwaTuliwaambia humu kuhusu Biashara ya KAI jamaa wao yule oya oya akaja na stats na facts uchwara kumtetea.
KAI hata ukichukua Mama Ntilie ambae hajawah kuangalia mpr akamuona kwa mara ya kwnz uwanjan anajua kbs hapa hakuna mchezaj.
Huyu kijana anatembelea lile Goal alilotupiga UCL final lkn tofaut na hapo ni total rubbish mvivu na mzito sana.
Kwhy ulivo hauna akil umeona me mshabik wa Chelsea sio.Mashabiki wa chelkenge lini mlikuwa na akili , yaan mnapambana kila mechi kuangalia wapi anakosea mje humu kusema tumepigwa
Ifike muda mkubali sio mchezaji wenu,
Mkuu Hamis 77 nakuheshimu sana ila kwa kai mh muda mwl mzuri ila jua nakueshimu sanaMashabiki wa chelkenge lini mlikuwa na akili , yaan mnapambana kila mechi kuangalia wapi anakosea mje humu kusema tumepigwa
Ifike muda mkubali sio mchezaji wenu,
Mpaka Sasa Kai hajafanya vzr Wala vibaya ,Mkuu Hamis 77 nakuheshimu sana ila kwa kai mh muda mwl mzuri ila jua nakueshimu sana
Naona hamna masihara na premier league heheheheheLabyrinth 84 congratulations naona moto haujapoa
Watuwana wa underestimate ila hao jamaa hao ni hatari na hapo FFP inawabana walitaka wamchukue yule winga wa napoli kvaratskhelia na yule kiungo wa inter milan barella
Mkuu huwa nasoma kila utakachoandika kuhus mpira na nina kufatilia sana kwa karibu msanaMpaka Sasa Kai hajafanya vzr Wala vibaya ,
Kinachotokea Kai hata usajili haujakamilika tayari haters mlishaanza kumuandama
So kila mechi toka pre season watu wanaangalia wapi anakosea ,
Mbaya Zaid baadhi mashabiki wa Arsenal wanafata mkumbo ,walianza kwa Rice ,now wanahamia kwa Kai
Kai udhaifu wake ni ball striking tu ,
Kwasasa sijaona wachezaji wanaojua kupress Kama Kai, Jesus ,Mane ,Muller
Wewe akili huna Nani aliyekwambia mm nashikiwa akili ,yaani mwalimu anamuanzisha dk 90 mechi muhimu wewe uliyepo huku manzese unasema ni mzigoKwhy ulivo hauna akil umeona me mshabik wa Chelsea sio.
Naona umekurupuka tu ulikua unakunywa mnanasi bas umekuja kujibu tu ovyo ovyo.
Unajua ww sometimes ndo maana watu wanakuona hamnazo.. Ivi unaweza vipi kumwekea Dhamana Kai hata kama wewe ni mwehu?.
Yan wenzako hapa wanaona Kai mzigo ww umekaza Fuvu bado, Usiwe mshabik oya oya ambaye hutak kubal facts za wazi unatak kuonekana maoni yako uwa yako sahihi.. Kubali kua Chelsea wamewatapeli Big time.. Tena kama mna akil wapeleken mahakamani kesi ya Ulaghai walau mnaweza pewa hata hela yenu nusu.
Ndo maana nakwambia ww hata kama ni mwehu hauwez kumwekea dhamana Kai.Wewe akili huna Nani aliyekwambia mm nashikiwa akili ,yaani mwalimu anamuanzisha dk 90 mechi muhimu wewe uliyepo huku manzese unasema ni mzigo
Mechi vs mancity ,Kama kawaida lawama malalamiko yalielekezwa kwa Kai ,Mkuu huwa nasoma kila utakachoandika kuhus mpira na nina kufatilia sana kwa karibu msana