Yaan Kuna mashabiki wao wanapenda kualalamika tuNaheshimu mkuu, lakini tunalalamika mno. Hii ni mechi ya kwanza ya msimu, sisi ndo wakumjengea mchezaji confidence.
Tunakua kama mashabiki maandazi wa Man U na Totenham asee.
Mimi bado naamini Arteta anajua kuliko mashabiki wengi wa Arsenal humu ndani.
Hizi mechi lazima akae chini areview, angalie makosa ni nini, ndo na yeye anavyojifunza. Tumpe support kocha wetu. Tumebahatika sana kumpata huyu mwamba na atafanya makubwa kwenye hii team asee.
Ukocha umesomea wapi aisee ,Arsenal anacheza hivo hivo daily, mbona kipind Cha kwanza hamkusema hayo maneno,Hii formation ni ya kipumbavu ukiwa huna watu wa kuzuia counter attack.... asiitumie tena
Wewe bado mech 3 unakuja Emirates,One season wonder Pweti za City azitolee wapi?
Hii fezi foo ni ya Europa moja kwa moja.
Wachambuzi wa hmu ni WA ajabu sana....leta stats za mechi hapa tuone ni nani alikuwa anaombea mechi iishe....kwhyo Elanga na Awoniyi wangeanza tungefungwa au siyo....Sasa kwnn kocha wao hakuwaanzisha watufunge
Kilichowashinda muda wte kwenda golini kama walivyofanya ni nn...mbona mnakuwa watu mnaongea kama hamjui mpira ndugu zetuπ π π ....ukitaka kushinda mchezo wwte cha kwanza imiliki mechi Sasa wao walishindwa nn kumiliki mechi na kufika golini na kufungaπ π π ....wao idadi Yao si ilikuwa sawa na sisi au tuliwazidi watu uwanjani π π πMkuu possession na pass nyingi hilo toka kipindi cha wenger mnafanya vizurii tu, mimi naongelea threat mkiwa kwenye 1/3 ya mwisho , madogo wameenda golini mara 3 tu wakapachika bao tofauti na nyinyi.
Hamtishi kabisa mnapofika golini kwa aduii
Arteta tangu Pre season kasema hataki kutabirika...Kila mechi tunaweza kucheza mfumo tofauti tofauti kutokana na aina ya mechi....Sasa Hawa ndugu zetu wamevamia jukwaa na shombo nyiiiiingi as if tumefungwa....hii sumu mbaya π€£π€£π€£π€£
Ulitaka afunge au acheze kama alivyoelekezwa kucheza...point yako hasa ni ipi mkuu
Mtu ukimuuliza leo Arsenal imecheza mfumo gani hawezi hata kukujibuArteta tangu Pre season kasema hataki kutabirika...Kila mechi tunaweza kucheza mfumo tofauti tofauti kutokana na aina ya mechi....Sasa Hawa ndugu zetu wamevamia jukwaa na shombo nyiiiiingi as if tumefungwa....hii sumu mbaya
hapa kwa timber umejichanganyaHili jukwaa letu lina watukanaji wengi.
Yes narudia tena hapa kwa Kai na Timber tumepigwa mchana kweupe
Usikariri maishaKwa bahati Sanakwa mwendo huu ,soon mtaanza kula chuma ,kama forest tu kawatoa jasho ....
Mnawajibu hao sio mashabiki wa Arsenal,hao ni ma haters ,hapa kwa timber umejichanganya
Point ni kwa kai tulisema kuwa mmepigwa kitambo then match ya leo kuna arsenal fans wameanza kukubliana na sisi kuwa sometimes hata βmakenge nao huingia mkengeβ . Martineli hajafunga lakini yeah unarizika na performance yake , wewe umerizika na performance ya ngongoti kai?.
Sisi tunamuangalia kai kwasabau mliaminisha umma kuwa kai anachezeshwa nafasi ambayo sio yake ndio maana anakuwa vile , now tukimuona akiwa anacheza nafasi yake hana tofautiiii na yule kai wa chelsea pia tumekubali kuwapa muda tuone maajabu ya kai mkuu wala usiwe na wasiwasi .
Nahisi huyu kai ana kipengele cha kuanzishwa au lazima acheze maana kamaliza zote 90 au ana mganga maana hata chelsea alikua anapiga mwanzo mwisho
Mkuu kwa Kai tumepigwa acha tuseme ukweliMnawajibu hao sio mashabiki wa Arsenal,hao ni ma haters ,
Mechi yetu na nyny lini mkuu...tunataka tuone mtakavyotufunga ndugu zetuπ π πHii game wanangu nott'forest walikuwa wanamaliza mapema ..sema tu waliruhusu magoli kizembe..kwa huu mwendo arse8 muanze kutafuta pa kutokea maana mutapigiwa boli kokoto na Kai ndio yuko mbele kosa kosa 20 goli moja πππππ
Mkuu kwa Kai tumepigwa acha tuseme ukweli
Arteta anatakiwa aache ufala kabisa last season alitucost kwa mambo kama haya na pia ashukuru Mungu yupo Arsenal angekuwa zile team za wasiovumilia season hii ingekuwa ndio mbivu na mbichiTrossard.katika mchezo wa karata huwa kuna karata ya kumaliza mchezo.wengine huita wildcard.
Kwa arsenal hii ni wazi kwa pale mbele trossard ni bora kuliko wachezaji wetu wengi.anapace,anadrible,anashoot with both legs,ana jicho la mpira,ana workrate kubwa,ana senior mentality na ana utulivu mkubwa.
Arteta anamuacha nje kama kura yake ya turufu yaani game changer.pale tempo ya mpira inaposhuka yeye anakuja kama nguvu mpya.
Kuna wakati mahrez alikuwa anaanzia nje mech kubwa,kdb huwa anaachwa nje kama plan b ya mech.
Mnaona tunamhitaji kudus ushajiuliza wanini wakati una saka na nelson?
Epl inahitaji plan A,plan B na plan C sometimes kwenye game moja.
Ila naungana na wengi humu hasa @Castr.we need a striker hasa for some games.