Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,171
- 18,881
Nyie mmenunua striker yupi mzuri kuliko wa Arsenal?Wenger orphans wameshinda Ila hawana furaha
Msipo nunua striker ya kueleweka mtaishia kugombea big 4 Kiufupi nyie ni wakawaida sana tu.
Subirini next month tuje kuwafunza ball hapo penu.
Naheshimu mkuu, lakini tunalalamika mno. Hii ni mechi ya kwanza ya msimu, sisi ndo wakumjengea mchezaji confidence.Kitu kingine, ujifunze kuheshimu mawazo ambayo yanatofautiana na upeo wako wa kuona na kufikiri
Kai ni wakawaida na namba anayomzoesha kumchezesha ndio anampoteza kabisa bora kule kule mbele tuIts his first match of the season bro, unajua ili mchezaji aweze kuflourish lazima atengeneze harmony na wachezaji wengine, ata Odegard wakati yuko Onloan kwetu he struggled his first few games.
Ila Arteta pia anakosea kumuanzisha Kai wakati Trossard yuko nje, mchezaji ambae ameshaprove kua effective na style yetu of play. Kai angekua anakuja sub taratibu mpaka azoee.
Kingine tu ni kwamba tunahitaji a natural goal scorer type za kina Toney kumreplace majeruhi Jesus.
Kilio chetu ni Vanpersie, Henry, Ian wright. Mtu mwenye njaa
Kosa kubwa sana nilihisi msimu huu tutakua tumebadilika kuhusu kuridhika na kagoli kamoja,viwili na vitatu kumbe bado akili iyo ipo vichwani mwa wachezaji wetuKuna vitu ni vya hovyo. Ni kivipi Trossard awekwe bench?
Mentality ya kuridhika na magoli haijatutoka
Natural full/center backs wako bench kocha anahangaika na mfumo mpya....Its his first match of the season bro, unajua ili mchezaji aweze kuflourish lazima atengeneze harmony na wachezaji wengine, ata Odegard wakati yuko Onloan kwetu he struggled his first few games.
Ila Arteta pia anakosea kumuanzisha Kai wakati Trossard yuko nje, mchezaji ambae ameshaprove kua effective na style yetu of play. Kai angekua anakuja sub taratibu mpaka azoee.
Kingine tu ni kwamba tunahitaji a natural goal scorer type za kina Toney kumreplace majeruhi Jesus.
Kilio chetu ni Vanpersie, Henry, Ian wright. Mtu mwenye njaa
alimsajili wa nini sasaBest role ya Havertz ni Number 9, na Arterta hawezi kumchezesha Number 9 kwa sababu Finishing ya Havertz obviously inahitaji kufanyiwa kazi na zaidi Havertz hayupo More Physically.
kwenye pre season tulikua tunadanganywa sana juu ya takwimu za huyu mtu utafikiri sisi tulikua hatumuoni alivyokua anacheza misimu iliyopita.
Jamani ligi inavyoendelea naomba matusi kwa Kai yawe mafupi mafupi.
Huyo bwana mdogo kama ana kizizi, anachezaga utumbo lakini utashangaa kila dk.90 yupo na haumiagi wanaumia wengine wenye uwezo wao.
Mnacheza na Aston villa kesho saa ngapi😅😅😅...naona maneno mengi sanakuna watu humu wana vipaji vya kudanganya asee mpaka unajiuliza labda wewe unamuangalia kai wa mars huko kwa kina elon musk
Nina week kama 3 nakutana na washikaji kila wakiwa wanamuongelea kai kila moja anakiri kuwa wamepigwa sio kwa hela ile embu fikiri hata chelsea tu walikua hawamtaki abaki mchezaji hajawahi kufika goal 10 tu toka atue chelsea then unakuja kuuziwa 65.
Sio mbaya wanetu gunners ( bottlers) tunakubaliana na nyinyi kai tumpe muda na nyie mchezesheni natural position yake ili maneno yasiwepo tena maana mnasema chelsea alikua anachezeshwa nafasi si yake.
The special one Kai Harvez kipindi cha usajili tulidanganywa humu kua ni straicker la boli ila Chelsea hawajui kumtumia, baada ya kufunga magoli mawili pre season tukadanganywa kua msimu huu anaenda kuchuana na Haaland kuchukua kiatu, nashangaa mechi ya kwanza tu watu washabadili gia angani na kuanza kumtukana Le King Kai.Jamani ligi inavyoendelea naomba matusi kwa Kai yawe mafupi mafupi.
Huyo bwana mdogo kama ana kizizi, anachezaga utumbo lakini utashangaa kila dk.90 yupo na haumiagi wanaumia wengine wenye uwezo wao.
Sio kesho ni leo usiku saa 7:30Mnacheza na Aston villa kesho saa ngapi...naona maneno mengi sana
Mnacheza na Aston villa kesho saa ngapi...naona maneno mengi sana
Kuna watu kudanganya ni kipaji, Mtu mpira tunangalia wote lakini akija jamii forums anakwambia Kai kacheza vizuri. Mc masingeli kw kipaji chake akigombea ubunge %101 anapata jimbo.kuna watu humu wana vipaji vya kudanganya asee mpaka unajiuliza labda wewe unamuangalia kai wa mars huko kwa kina elon musk
Nina week kama 3 nakutana na washikaji kila wakiwa wanamuongelea kai kila moja anakiri kuwa wamepigwa sio kwa hela ile embu fikiri hata chelsea tu walikua hawamtaki abaki mchezaji hajawahi kufika goal 10 tu toka atue chelsea then unakuja kuuziwa 65.
Sio mbaya wanetu gunners ( bottlers) tunakubaliana na nyinyi kai tumpe muda na nyie mchezesheni natural position yake ili maneno yasiwepo tena maana mnasema chelsea alikua anachezeshwa nafasi si yake.
Wachambuzi wa hmu ni WA ajabu sana....leta stats za mechi hapa tuone ni nani alikuwa anaombea mechi iishe😅😅😅....kwhyo Elanga na Awoniyi wangeanza tungefungwa au siyo😅😅😅....Sasa kwnn kocha wao hakuwaanzisha watufungehongera kwa ushindi mkuu japo last 10 minutes ulikua unashika mbupu tu , bahati awonyi alianzia benchi.
Game saa 1 :30 angalia uone match ya kibabe sana , uzuriii game zetu 5 tunakutana na miamba haswa tumalizane nao mapema, nyie forest tu ila mnapiga kelele mpira umalizike
ZaKuna watu kudanganya ni kipaji, Mtu mpira tunangalia wote lakini akija jamii forums anakwambia Kai kacheza vizuri. Mc masingeli kw kupaji chake akigombea ubunge %101 anapata jimbo.
Tutaangalia mechi ya kiume kama Labyrinth anavyosema tuone boli😅😅😅Sio kesho ni leo usiku saa 7:30