zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,258
Ababaaaa😂😂😂Rice anapiga DM, Partey anapiga RB inverted
Alooo
Ababaaaa😂😂😂Rice anapiga DM, Partey anapiga RB inverted
Alooo
Jamaa ametisha Sana hapoHaya Mambo anayofanya martinel Mara mwisho ilikua michezo ya zizzu![]()
Ngoja tuone kama atarud kabla ya game ya unitedHafu kaumia serious inaonekana
Utazipata nyingi TU msimu huu, we kaa kwa kutulia tuAsanteni GUNNERS kwa kunipa pesa nzuri sana First half.
Niliona Arteta anaonesha ishara ya sub.Ngoja tuone kama atarud kabla ya game ya united
Ni hatariTotal dominant display
Hata huko kurudi watalazimishwa tuIngekua amri yao, muda wa kwenda mapumziko wangeenda jumla majumbani kwao kabisaView attachment 2715392
Huyu atakuja kupigilia msumari wa mwisho kbsaNiwekee Trossard tumpige mtu nyinginyingi
Hapo hapo Trossard mtu sana.Niwekee Trossard tumpige mtu nyinginyingi
Hii wanaingia Smith Rowe, Trossard ,anabaki Ødegaard, Viera , na mkabaji mmoja ,Alafu Kuna arsenal ya kipindi Cha pili, muulizeni mwacity na nyumbu
#arsenalNDOO
Amtie mapema MTU afe nyinginyingi, Kai naona confidence kama ipo chiniHuyu atakuja kupigilia msumari wa mwisho kbsa