Cry moreLile ni sahani la kulia ubwabwa tu
**** weeeWaambie hawa
Mayatima wa UEFA.
Kwa dharau hizi acha Chelsea awanyoosheWaambie hawa
Mayatima wa UEFA.
Kijana hukulelewa kwa adabu ndio maana unawaza matusi.**** weee
Dah Chelsix wapuuzi sana.Kwa dharau hizi acha Chelsea awanyooshe
Bumbaff
Nasema hivi Toddy na Egbhal chukueni Lavia na Caicedo
Yani hizi mbanga zikishazidiwaga ndio zinaishiaga kutukanaπππIla wakuu wengine uvumilivu wa kishabiki Amna kabisa utadhani ni vita punguzeni u serious mpira sio uadui ni burudani.
Naona mnavuka mipaka sasa wakati mpira ni kutaniana Sasa nyie sio utani ni matusi.
Ukijijua uwezi utani Bora ukaushe tu.
Hata mkichukua na Mbape...nafasi yenu ni ile ile...5 kushuka chini hukoπ π π ....ila tajiri miluzi kuna siku wamiliki wa vilabu vyte pale Uingereza wataandamana afukuzwe maana hiki anachokifanya sio mpira tena ni Fujo za usajili...atasababisha wachezaji wa 500 wauzwe 10000Nyie matakataka nawachukia kinoma n leo munapakuliwa mapema tu na wazee wa Forest
Mkuu kwa musimu huu tutafanya vizuri amini nakuambia Chelsea tunabeba ligi.ππHata mkichukua na Mbape...nafasi yenu ni ile ile...5 kushuka chini hukoπ π π ....ila tajiri miluzi kuna siku wamiliki wa vilabu vyte pale Uingereza wataandamana afukuzwe maana hiki anachokifanya sio mpira tena ni Fujo za usajili...atasababisha wachezaji wa 500 wauzwe 10000
Mkuu kubeba ligi na hiki kikundi cha watu mlichokusanya ni ngumu...sanasana kwa mbaaaaali nawaona mkijaribu kuwatoa Manyumbu pale juu....ila bado safari ndefu...kesho mnapata DrawMkuu kwa musimu huu tutafanya vizuri amini nakuambia Chelsea tunabeba ligi.ππ
Livakuku wale tunawanywa supu, Chelsea ni surprised package ya musimu huu. Wale madogo watafanya maajabuMkuu kubeba ligi na hiki kikundi cha watu mlichokusanya ni ngumu...sanasana kwa mbaaaaali nawaona mkijaribu kuwatoa Manyumbu pale juu....ila bado safari ndefu...kesho mnapata Draw
Kama mnafanikisha usajili wa Caicedo, Lavia na OliseLivakuku wale tunawanywa supu, Chelsea ni surprised package ya musimu huu. Wale madogo watafanya maajabu
Yaan unatuchukia majiran ,unashindwa kuwachukia manjesta wapiga keleleNyie matakataka nawachukia kinoma n leo munapakuliwa mapema tu na wazee wa Forest
Mateso yanaendelea Leo kwa Wenger orphans.Yaan unatuchukia majiran ,unashindwa kuwachukia manjesta wapiga kelele