Arsenal (The Gunners) | Special Thread

| "Kwa sasa tumepanga kutofanya chochote lakini dirisha la usajili halitabiriki" -


Mikel akizungumzia kuhusu usajili mara baada ya kukamilisha dili la David Raya.

 

Mbona kama hizi habari zinachanganya mkuu



Caicedo kama kaikataaa liverpool asubuhi kweupe ama vyanzo vya habari ni batili?
 
Trossard fundi haswa
 
Gabriel Jesus is on track to be fit for the match against Manchester United (H) on September 3rd


His recovery is progressing as planned


Individual training to commence next week, with full team training expected in the coming weeks
 
Hii Ni taarifa nzuri Sana hakika,tunamhitaji Sana Kwenye game ya Man Utd.
 
Mbona kama hizi habari zinachanganya mkuu



Caicedo kama kaikataaa liverpool asubuhi kweupe ama vyanzo vya habari ni batili?
Mkuu tajiri miluzi kaharibu hali ya hewa🤣🤣🤣... Liverpool ilishaingia kwny mbio za ubingwa kwa usajili wa Caicedo ila kumkosa tena wanarudi kuwa wa kawaida....Chelsea wanajitahidi ila wasahau top 4 hata wakimpata Mbape....Ubaya Ubaya tu
 
Tajiri miluzi ni next level yule, tayari kashapiga comeback ya hatari ngoja nikuitie Mkohoti aje kuwavimbia humu.
Baada ya Caisedo anafuata Lavia halafu wataupiga mwingi sana kama wakimsajili na huyu beki wa boli
 
🤣🤣🤣...Magwaya kashikilia bomba haondoki Unyumbuni mpk mumlipe hela yake ya kuwa muaminifu kwa klabu....kipindi mnataka kufungwa yy alikuwa anaokoa zingine zisiingie kambani....Sasa hamuwezi tu kumfukuza kienyejienyeji
 

Nope we got Trossard for cheap
 
Nope we got Trossard for cheap
That is because he didn't want to play for Brighton anymore...alishakosana na kocha wake De Zerbi....and once tulipoenda kumfata baada ya kumkosa Mudryk....he said yes Right away....so it was easy...ndo maana dili haikuchukua hata siku 4....na ilikuwa ni bahati ya mtende kumpata jamaa maana nilikuwa namkubali muda mrefu sana kwa aina ya mpira wake
 
Caicedo pia aliandika hadi barua kuwa anataka kwenda Arsenal na hataki kucheza tena Brighton, akaacha kuudhuria mazoezi ila still Brighton walikaza hauzwi Kwa sababu walijua watakuja kupiga hela next window, ndomana wakampa na mkataba mpyaaaa

Kwa upande wa Trossard Issue kubwa ilikuwa ni Age yake na kwakuwa aliweka mgomo kuendelea kucheza Brighton waliona kuwa hawatokuja kupata hela zaidi ya £27 ambayo Arsenal anatoa
 
Nakubaliana na ww....lakini unadhani kwnn alikubali kubaki...mosi...walimuahidi kumpandishia mshahara maana alikuwa analipwa hela ndogo sana nadhani £15k au 20k kama sikosei...lakini walimuomba abaki Ili wamboreshee mkataba wake nadhani walimpandishia hadi 60k na wakamuahidi kumuuza mwsho wa msimu... Trossard alikuwa na bifu na kocha....Caicedo hakuwa na bifu na mwalimu hvyo kuna tofauti...
 
Pamoja Mkuu
 
Halafu kuna mikondoo humu inasema Halland hamna kitu bora jesus!!, ndio mana tunawaonaga hamna akili.
 
Halafu kuna mikondoo humu inasema Halland hamna kitu bora jesus!!, ndio mana tunawaonaga hamna akili.

Yaani nilisikitika kabisa kuona ile comment , mtu anakwambia halland mchezaji wa kawaida
sasa kama halland kawaida hawa wakina jesus na Nketiah tuwaite vipi? KDB amekuepo lakini kina aguero na jesus hawajawahi kufika goli 30 , halland tumemuona borrusia dortmund na salzurbg huko na bado alitisha
 
Chukua odds15 wew muind anawaingza mkenge c unamkumbuka awoniyi kitu alowafanya
Weka Stake Kama unajiamini ,

Weka uthibitisho hapa Kama hujalia ,hao kesho tunawagonga 5 Emirates sio salama Tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…