Kumbe dili limebadilishwa ,awali Arsenal walishakubali kulipa £30m ,naona wakaona hawatasajili nafasi nyingine sababu ya FFP , hivo Brentford wakarahisisha mambo ndio imekuwa loan ya £3m+ option to buy kwa £27m akifikisha namba fulan za kuchezaWakati mwingine mkiishi vzuri na mchezaji kuna favour mnampa kwny uhamisho wake....ndo haya yalotokea
Watawapa hyo hela next window...maana nadhani kabla ya kufikia haya makubaliano mchezaji atakuwa ame activate option ya mwaka mmoja zaidi kwny mkataba wake....rasmi na mm nawaombea Brentford waingie top 4...Manyumbu yamalize wa 7 hukoKumbe dili limebadilishwa ,awali Arsenal walishakubali kulipa £30m ,naona wakaona hawatasajili nafasi nyingine sababu ya FFP , hivo Brentford wakarahisisha mambo ndio imekuwa loan ya £3m+ option to buy kwa £27m akifikisha namba fulan za kucheza
Hii inaonesha tupo bado sokon kwa sajili 1 au 2
Yah nimeona ka extend Mwaka Zaidi kwa security ya mkataba wakeWatawapa hyo hela next window...maana nadhani kabla ya kufikia haya makubaliano mchezaji atakuwa ame activate option ya mwaka mmoja zaidi kwny mkataba wake....rasmi na mm nawaombea Brentford waingie top 4...Manyumbu yamalize wa 7 huko
Yah nimeona ka extend Mwaka Zaidi kwa security ya mkataba wake
Naamini Arsenal wanataka wailipe hiyo hela Mwaka mwingine wa fedha
Manjesta yameshatapeliwa yameuziwa mchezaji kafeli vipimo [emoji1787]
Mwache mtoto akakomae,hatuna haraka nae kwa sasa.Deal until 2025? Two seasons!
Edu deserves massive credit for his work this summer [emoji122][emoji122][emoji122]Kuna sauti inaniambia bado Kuna sajili 2 Zaidi
Raya kuitaka Arsenal kumerahisisha dili
Spurs alikataliwa £30m+
Baryen kakataliwa loan
Brentford waungwana Sana ,Wala hawajavutana
Kiwango Cha mwisho Cha Arsenal kutumia msimu huu kwa mujibu wa UEFA FINANCIAL FAIR PLAY ni £380m
Arsenal tunahitaji LCM sababu ipo wazi harvertz atatumika kama Striker, tetesi za usajili wa douglas Luiz zinaonesha kuwa ndiye alternative ya Moses Caicedo, maana yake Arsenal bado wanamuhitaji Caicedo tatizo bei yake ipo juu sana, in the long run inavyoonekana Declan Rice atarudi kama #6 na ikiwa Luiz atasajiliwa basi atatumika kama LCM.Why another midfielder....we need a RW au tyri washapitisha msaidizi wa Saka ni Nelson....dogo ni mzuri ila pancha nyingi pale
Hii deal imekaa kwenye win-win situation kwa pande zote 3,Yah nimeona ka extend Mwaka Zaidi kwa security ya mkataba wake
Naamini Arsenal wanataka wailipe hiyo hela Mwaka mwingine wa fedha
Manjesta yameshatapeliwa yameuziwa mchezaji kafeli vipimo [emoji1787]
Hii ni kununua pekeake bila kuuza si ndio??Kiwango Cha mwisho Cha Arsenal kutumia msimu huu kwa mujibu wa UEFA FINANCIAL FAIR PLAY ni £380m
Kwahiyo hapo huo mzigo unahitajika utumike kwenyeKwhyo bdo kuna kama tofauti ya 170+ million tunaweza kutumia[emoji28][emoji28][emoji28]
Nadhani ni net spend....Hii ni kununua pekeake bila kuuza si ndio??
Kama ni kwli safari hii kuna watu watakuwa hawaingizi timu kipindi cha pili uwanjani🤣🤣🤣Kwahiyo hapo huo mzigo unahitajika utumike kwenye
RW na
LCM au kwa mbaaaaali sana
RCB
???
Bado sijajua hili kwakweliHii ni kununua pekeake bila kuuza si ndio??