Dhambi mtubu nyie mliosema hata top 6 hatuingiiNyie kwanza mna dhambi kuu ya tokea msimu uliopita kwa kuuhadaa ulimwengu kua lazima mtachukua ndoo, baada ya Mancity kuwafanyia kitu mbaya badala mtubu dhambi zenu mkasingizia fezi foo.
Kabla ya ligi kuanza tunaomba muweke wazi mapema kabisa kua msimu huu mnapambania ubingwa au fezi foo bado haijaisha?
Hatutaki yale mambo ya kubadilishiwa gia angani na kina Mc Masingeli tutapofika mwisho wa msimu.
Naona Atalanta wameshawatapeli wamewauzia KimeoNyie kwanza mna dhambi kuu ya tokea msimu uliopita kwa kuuhadaa ulimwengu kua lazima mtachukua ndoo, baada ya Mancity kuwafanyia kitu mbaya badala mtubu dhambi zenu mkasingizia fezi foo.
Kabla ya ligi kuanza tunaomba muweke wazi mapema kabisa kua msimu huu mnapambania ubingwa au fezi foo bado haijaisha?
Hatutaki yale mambo ya kubadilishiwa gia angani na kina Mc Masingeli tutapofika mwisho wa msimu.
Oya fanyen kumtafuta Vincent abubakariNyie kwanza mna dhambi kuu ya tokea msimu uliopita kwa kuuhadaa ulimwengu kua lazima mtachukua ndoo, baada ya Mancity kuwafanyia kitu mbaya badala mtubu dhambi zenu mkasingizia fezi foo.
Kabla ya ligi kuanza tunaomba muweke wazi mapema kabisa kua msimu huu mnapambania ubingwa au fezi foo bado haijaisha?
Hatutaki yale mambo ya kubadilishiwa gia angani na kina Mc Masingeli tutapofika mwisho wa msimu.
Nyie endeleeni tu kudanganyana kwenye hizo platform zenu 3september sio mbali.Oya fanyen kumtafuta Vincent abubakari
7hag kashapiga % yake
Sajili zake nyingi Zina utapeli View attachment 2712733
Mbona sura yake haioneshi furaha kabisa?Nyie endeleeni tu kudanganyana kwenye hizo platform zenu 3september sio mbali.
Mnyama huyu hapa tulikua nae leo asubuhi mazoezini na katupia kamba za kutosha.
Uzuri wa huyu mwamba sio kufunga magoli tu bali anawafunga mpaka midomo wale wote wanaomuombea mabaya. View attachment 2712773
Mchezesheni akutane na wahuni watoneshe hlo jeraha muanze kulialiaNyie endeleeni tu kudanganyana kwenye hizo platform zenu 3september sio mbali.
Mnyama huyu hapa tulikua nae leo asubuhi mazoezini na katupia kamba za kutosha.
Uzuri wa huyu mwamba sio kufunga magoli tu bali anawafunga mpaka midomo wale wote wanaomuombea mabaya. View attachment 2712773
Wewe unataka kila picha anayopigwa atokezee anachekacheka ndio unajua mtu yuko na furaha?Mbona sura yake haioneshi furaha kabisa?
Labda wachezaji wa Arsenyau wamuumize kwa makusudi.Mchezesheni akutane na wahuni watoneshe hlo jeraha muanze kulialia
Juve hawajakata tamaa kabisa kumsaka Tom, nadhani huenda ndio sababu ya sisi kumtaka Douglas Luiz..Why another midfielder....we need a RW au tyri washapitisha msaidizi wa Saka ni Nelson....dogo ni mzuri ila pancha nyingi pale
Waache wajifurahishe kuwapa ma journalist cha kuandika....he is not for sale especially baada ya kuonesha kile alichokionesha kwny ngao ya jamii...yaani uhame Nyumba ghorofa ukakae Nyumba ya tope mkuuJuve hawajakata tamaa kabisa kumsaka Tom, nadhani huenda ndio sababu ya sisi kumtaka Douglas Luiz..
DiMarzio anaongea tu, Arteta alishaweka wazi hawawez muuzaJuve hawajakata tamaa kabisa kumsaka Tom, nadhani huenda ndio sababu ya sisi kumtaka Douglas Luiz..
Hapa mmepigwa ,ningeshangaa Sana sajili za Ten hag zisiwe na skendoNyie endeleeni tu kudanganyana kwenye hizo platform zenu 3september sio mbali.
Mnyama huyu hapa tulikua nae leo asubuhi mazoezini na katupia kamba za kutosha.
Uzuri wa huyu mwamba sio kufunga magoli tu bali anawafunga mpaka midomo wale wote wanaomuombea mabaya. View attachment 2712773
Mbona hapo siyo Manchester ni Manzese bro? Hapo tayari Kuna baharia nyuma yao anawafuatilia awapige roba ya mbao pamoja na kujitahidi kwao kuvaa kihovyo hovyo wasionekane Wana pesa. Kwenu ndo uswazi wa England Manzese united nyieWewe unataka kila picha anayopigwa atokezee anachekacheka ndio unajua mtu yuko na furaha?
Haya hii hapa nyingine anacheka baada ya kufunga na hii ya chini akiwa na demu wake wakivinjari katika jiji la Manchester. View attachment 2712777View attachment 2712778
Habari nzuri hiziLatest: Luton Town are interested in signing Arsenal defender Rob Holding who's available for £6m. Cedric is wanted by PL & La Liga clubs. Besiktas are in advanced negotiations with #AFC over Nicolas Pepe.
Hawa watu wasepe tu ili tuongeze mtu mwingine mmoja wa mwisho dirisha hili.Latest: Luton Town are interested in signing Arsenal defender Rob Holding who's available for £6m. Cedric is wanted by PL & La Liga clubs. Besiktas are in advanced negotiations with #AFC over Nicolas Pepe.