Ni ngumu kwakweli, maana Madrid walijaribu last season wakashindwaBruno sidhani kama ataondoka Newcastle kiurahisi Mkuu, Newcastle wenyewe wana mpango wa kumfanya kua Icone wa timu yao kama ilivyokua kwa Alan Shearer na Michael Owen.
hata mm nilishangaa sana aiseeYule jamaa anajua Sana , soon ataenda Madrid ,wanamtaka Sana, Newcastle apambanie Europa safari hii, last season kidogo apelekwe Europa na Liverpool
Halafu yule kocha wa Brazil alivyokuwa mwehu, alikuwa anampiga bench Bruno anamchezesha Paqueta au Fred
Kuna makocha wanavuta bangi
Na pia luiz can play as a RW ila sajili za arteta mostly haangalii position yeye anasajili mchezaji anaeyona ata fit na mfumo wake usishangaa pia akawa kaja chukua nafasi ya martineli ambaye kwakwel mm naona sio perfect sana kama watu wanamvyomuona.
Arsenal anabaki kuwa na aka arsenal NDOOUkisikia shabiki yoyote wa Arsenyo anaitwa kwa nickname ya Kondoo, Kima au Nyani usishtuke mkuu.
*Kondoo inatokana na ile Hashtag yenu ya Arseno ndoo Haaland kiatu so baada ya kuikosa ndoo ndio Hashtag ikabadilika rasmi na kua Arsenyo Kondoo.
*Nyani na Kima ni kitu kimoja inatokana na nickname ya Arsenyani.
Timu 4 kubwa za Epl tumuamua kuzipea majina ya wanyama ili kuleta ufanisi katika yale yanayosadifu matendo yao.
Man Utd a.k.a yake ni Nyumbu
Chelsea a.k.a yake ni Kenge
Liverpool a.k.a yake ni Punda (Liverpunda)
Arsenyo a.k.a yake ni Kondoo au Kima/Nyani.
Tunatungua papai kwa bomu?
Kwmba anatuonesha shukrani kwa kumlea na ubonge wake kipindi kile😅😅😅Nasikia Kane akiuzwa Baryen Kuna Pesa Arsenal tunapata
Aliondoka academy ya Arsenal ,Kuna % iliwekwa
| If Kane were to leave #Spurs, he would prefer his boyhood club to get a fee out of it
@SamiMokbel81_DM
🤣🤣🤣....mkuu ni kwli ilitakiwa hata kiuno wacheze kina Georginho na hata katoto kengine ka Academy huko...sio hcho kikosi cha juu hapo...ni matumizi mabaya ya rasilimaliTunatungua papai kwa bomu?
Wacheze wakina Rowe, Fabio, nelson, huku dimba washike rice na partey
Kwmba anatuonesha shukrani kwa kumlea na ubonge wake kipindi kile
Nyie mnatamani kikosi chetu chote mpaka Arteta na Edu na tajiri mwembamba wetu wawe kwenu. Sisi tunamtaka greenwood pekee. labda na Bruno. Sasa yupi mwenye dhambi nyingi kati yetu?Kutoka 20:17 BHN
“Usiitamani nyumba ya jirani yako, wala mke wake, wala mtumwa wake wa kiume au wa kike, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala chochote kilicho mali ya jirani yako.”
Nyie kwanza mna dhambi kuu ya tokea msimu uliopita kwa kuuhadaa ulimwengu kua lazima mtachukua ndoo, baada ya Mancity kuwafanyia kitu mbaya badala mtubu dhambi zenu mkasingizia fezi foo.Nyie mnatamani kikosi chetu chote mpaka Arteta na Edu na tajiri mwembamba wetu wawe kwenu. Sisi tunamtaka greenwood pekee. labda na Bruno. Sasa yupi mwenye dhambi nyingi kati yetu?
Mkuu fezi foo Bado hata haijaanza. kugombea ubingwa ni fezi srii ambayo ndiyo hii. Ukituona tu tumebeba kombe ujue fezi foo hiyoNyie kwanza mna dhambi kuu ya tokea msimu uliopita kwa kuuhadaa ulimwengu kua lazima mtachukua ndoo, baada ya Mancity kuwafanyia kitu mbaya badala mtubu dhambi zenu mkasingizia fezi foo.
Kabla ya ligi kuanza tunaomba muweke wazi mapema kabisa kua msimu huu mnapambania ubingwa au fezi foo bado haijaisha?
Hatutaki yale mambo ya kubadilishiwa gia angani na kina Mc Masingeli tutapofika mwisho wa msimu.
Mkuu fezi foo Bado hata haijaanza. kugombea ubingwa ni fezi srii ambayo ndiyo hii. Ukituona tu tumebena kumbe ujue fezi foo hiyo
Wazee mickey mouse cupRemove FA cups and Community Shield cups and Arsenal will remain a trophyless club since 2004.
Wenger orphans kwaiyo haya ndo yamebaki ndo makombe yenu.
Buree kabisa.View attachment 2710808