Inapigwa projectile motion moja matata Sana yeye martinel kazi yake ni kuukimbiza na kumalizia ku-shootKama Mkorea anavyowaambiaga, wataita maji mma.
Huku Ramsdale, huku Raya. Teta ball itaua watu. Na hivi Kuna 5 subs...umeshawahi kuona kipa anaingia sub?
Sasa tutakuwa tunamuanzisha Ramsdale wakati mpinzani ana nguvu tunapiga pass zetu fupi to play out from the back na kubuild up taratibu na kufunga magoli machache.
Baadae tunamleta Raya Mzee wa long distance distribution wakati timu zinajitahidi kutushambulia Ili angalau wapate kigoli Cha kufutia machozi. Hapo ndo wanajichanganya, Raya anapokea pasi au anadaka Kona anapiga quality long ball yake yenye ideal projectile na mpira haukawii angani. Projectile moja Kwa Martinelli au Saka wakiwa wametanua uwanja na kutoka nduki kuelekea golini na mabeki washachoka....
Wapinzani tunawahurumia sana
Kenge kama KengeNimetoka kwa Ras Simba ngoja nitest mitambo
Aseno fans dont be fooled by Community shield trophy,Remember even loverpool won the tittle but there season turned into a nightmare.
Still wondering how can you celebrate a win while the goal was scored 101 minutes.Trust me u're goin' to have a fxckin worst season ever
Kwako Mwalimu
Kutoka 20:17 BHNAtuchukulie Mason greenwood pale unyumbuni halafu mwakani atuuzie
Daah nyumbu mpaka wameokoka aseeKutoka 20:17 BHN
“Usiitamani nyumba ya jirani yako, wala mke wake, wala mtumwa wake wa kiume au wa kike, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala chochote kilicho mali ya jirani yako.”
Ni muhimu kuyashika maandiko na kuyaishi.Daah nyumbu mpaka wameokoka asee
luiz wa aston villa sijawai muona popote akicheza kama RW..Na pia luiz can play as a RW ila sajili za arteta mostly haangalii position yeye anasajili mchezaji anaeyona ata fit na mfumo wake usishangaa pia akawa kaja chukua nafasi ya martineli ambaye kwakwel mm naona sio perfect sana kama watu wanamvyomuona.
Ni muhimu kuyashika maandiko na kuyaishi.
Acheni tamaa na mali ya jirani yenu kima nyie[emoji23][emoji23][emoji23aim
Ndo na mm nashangaa mkuu...halafu Martinelli mtu usimkubali kweli???...tyri ni WA moto na bdo ataendelea ku improve zaidiluiz wa aston villa sijawai muona popote akicheza kama RW..
nahisi alitaka kumzungumzia douglas costa lbda ambae alichezaga bayern na juve..Ndo na mm nashangaa mkuu...halafu Martinelli mtu usimkubali kweli???...tyri ni WA moto na bdo ataendelea ku improve zaidi
@Castr nadhaniManchester City are exploring a deal to sign Lucas Paqueta from West Ham. No formal offer yet but interest firm + 25yo Brazil international an option #MCFC are looking at to strengthen midfield. #WHUFC do not want to sell. W/ @mjcritchley @TheAthleticFC
Kuna jamaa umu nmemsahau jina alikua ana muhusudu sana huyu jamaa hata kabla hajaenda West ham, na alikua anamuona zaid kwenye LCM kwenye mfumo wa 433 kipindi ichooooo....
Ukisikia shabiki yoyote wa Arsenyo anaitwa kwa nickname ya Kondoo, Kima au Nyani usishtuke mkuu.Kima tena mkuu[emoji849][emoji849][emoji849]...kuuza au kununua wachezaji ni suala la kawaida tu kwny mpira
Yaah nakumbuka majina ya Paqueta na Bruno G yalikua yanazungumzwa sana umu ndani.@Castr nadhani
Binafsi namkubali Sana Bruno Guimares huyu ndio anaweza kukaribia akili na ubongo wa Ikay ,
Bruno tulianza kumtaka akiwa Brazil, Kama Kuna kitu edu anajuta mpaka kesho ni kumkosa Bruno GuimaresYaah nakumbuka majina ya Paqueta na Bruno G yalikua yanazungumzwa sana umu ndani.
Bruno G ndio ubongo wa Newcastle, waarabu wa Newcastle ndio wanamtegemea sana katika process ya kuijenga timu, hivyo hata ukienda na £300m zako utapewa jibu tu kua hauzwi.@Castr nadhani
Binafsi namkubali Sana Bruno Guimares huyu ndio anaweza kukaribia akili na ubongo wa Ikay ,
Yule jamaa anajua Sana , soon ataenda Madrid ,wanamtaka Sana, Newcastle apambanie Europa safari hii, last season kidogo apelekwe Europa na LiverpoolBruno G ndio ubongo wa Newcastle, waarabu wa Newcastle ndio wanamtegemea sana katika process ya kuijenga timu, hivyo hata ukienda na £300m zako utapewa jibu tu kua hauzwi.
Newcastle ni vile tu sheria za FFP zinawabana la sivyo dirisha hili la usajili wangefanya kufuru kubwa kama vile wanavyofanya huko kwao Saudia.
Bruno sidhani kama ataondoka Newcastle kiurahisi Mkuu, Newcastle wenyewe wana mpango wa kumfanya kua Icone wa timu yao kama ilivyokua kwa Alan Shearer na Michael Owen.Yule jamaa anajua Sana , soon ataenda Madrid ,wanamtaka Sana, Newcastle apambanie Europa safari hii, last season kidogo apelekwe Europa na Liverpool
Halafu yule kocha wa Brazil alivyokuwa mwehu, alikuwa anampiga bench Bruno anamchezesha Paqueta au Fred
Kuna makocha wanavuta bangi