Huyu dogo afadhali kuliko kina Diaby na DenilsonFrimpong kajiweka kwenye wakati mgumu kweli na kadi yake ya njano.
subiri Aug 31 ndio tutajua, bado tunaweza kusajili wachezaji 2 au 3, zipo £90 millioni Wenger kazikumbatiaBasi amna chenu mwaka uu...tuwaazime Macheda na Xuls.
Frimpong kajiweka kwenye wakati mgumu kweli na kadi yake ya njano.
Huyu dogo afadhali kuliko kina Diaby na Denilson
subiri Aug 31 ndio tutajua, bado tunaweza kusajili wachezaji 2 au 3, zipo £90 millioni Wenger kazikumbatia
subiri Aug 31 ndio tutajua, bado tunaweza kusajili wachezaji 2 au 3, zipo £90 millioni Wenger kazikumbatia
Salama kaka?, n mm mdogo wako Manda wa Carrington, nimepita tu kuwasaliu, naona unanipotezea, ila mm nakupenda tu.
Uk napo kuna kangara nini???? This Arsh...vin then sijui kalewa nini??? Anajitahidi katika kukaba lakini he is a big burden to this team......Flip of the match so far......
Duuh yellow kwa Frimpong , dogo hawezi kumaliza game hii bila kadi kwa jinsi ninavyo mjua.
Liverpool wajaribu plan B...naona set pieces tatctic arsenal defense wako safi kuziosha.
Hivi Wenger alimnunua Maruane Chamakh wa nini?
hahaha hata hivo dogo anajiweza kimtindo.. mzuri more than i was expecting him 2be...
hapa ni kumtoa Rosicky ... mambo yatakuwa fresh...
Ha ha ha mkuu salama tu hapa.Tatizo lako unaingia wakati wa game imeanza attention yote inakuwa kwenye game na si unajua niko busy kwenye mambo ya usajili bado.
Issue vipi?