Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ofa ya ada kwa Balogun ya euro 30m na nyongeza za milioni 5 na asilimia kubwa ya mauzo kwa kipengele cha Arsenal kuwasili wiki hii.

Hata hivyo Arsenal itamuuza kwa dau la juu zaidi na Lens pia wanamtaka mchezaji huyo.

Hata hivyo Balogun anataka kwenda Inter.


(@Gazzetta_it )
 
Malalamiko pekekeni polisiView attachment 2711120
Safi sana hilo ni picha moja la kibabe sana, yaani ni picha la kutisha, hizi sasa ndio sajili za kuchukua mpaka Uefa msimu huu chini ya The Masterclass wenyewe Tactician Mikel Arteta
Hongereni sana Gunners, msimu huu Chelkenge, Nyumbu, Liverpunda na mliMancity watateseka sana na Teta ball pira biriani burudani kwa wote
 
Ewaaaa
 
Nilichogundua flano, unaikubali Sana the Gunner chama la Wana
unyumbuni utaaga vipi?, ndio swali linakuumiza
Gunners ni wanangu sana tu, nakumbuka kipindi nipo O'level nilikua nakaa dawati moja na gunner halafu alikua ni mwanangu kinyama, kipindi hicho Arsenyo alikua ni kama mchepuko wetu wa kudumu yaani simu moja tu tayari kashatangulia magetoni iwe Trafford au Highbury unamkuta tayari kasaula,
anagongwa bao zake za kutosha kisha anasubiria simu nyingine.
Sasa huyu msela wangu kila Arsenyo ikifungwa na Utd alikua haji kabisa shule maana anajua habari atakayoipata kutoka kwa Le captain Flano Maguire.
 
Timu sio kabila njoo huku kwenye teta ball, burudani inatandazwa soka safi
 
sema hawa wanangu wenyewe wazee wa teta ball burudani kwa wote, chini ya Tactician Mikel Arteta the Masterclass hua nawakubali kinyama jinsi wanavyokuwaga na maconfidence wakati ligi inavyoanza.
Mwanangu sisi mpira tunaujua na tunaujua tena. Tunaweza na tukauweza tena. Ingawa tunazinguaga kijinga sana pumbavu zetu ila asili yetu kama arsenal ni kujua boli Mzee. Yaani tunajua boli mnooo
 
Ukiona mtu anashabikia Manyumbu na Chelkenge fatilia hata normal life yake utakuta ni watu wa vuruguvurugu maana hzi ndo timu ndo zinacho offer
Mwanangu sisi mpira tunaujua na tunaujua tena. Tunaweza na tukauweza tena. Ingawa tunazinguaga kijinga sana pumbavu zetu ila asili yetu kama arsenal ni kujua boli Mzee. Yaani tunajua boli mnooo
 
Yap , Raya soon anatinga Uzi

Kwasasa hata Carabao ambalo manjesta analitolea macho tunaweka full squad ,dharau zimezidi sana
Tatizo letu ni kuwa soon team itajaa vyuma kiasi kwamba huwezi kusema ipi full squad na ipi siyo. Wapinzani wataona tunawaonea tunawapangia masquad magumu kumbe ndiyo hivyo tu hatuna wachezaji wabovu, we can't help it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…