Huyo pazia wewe subiri, umeona kipa wa city alikuwa anacheza Kama onana ,Nyie mnaforce mpaka muingie kwenye 18 ndio mfunge, Onana ili umfunge unatakiwa walau upige shuti katikati ya uwanja, je nyinyi mnao wachezaje hao?
Arsenal fans bwana Kwaiyo mmesaau kuwa hata msimu wa 2020 mlimfunga man City kwenye ngao ya jamii icho sio kipimo Cha nyinyi kufanya vizuri kabisa.Liverpool anamjulia sana tu City na anamfunga mara kibao. Kwake halikuwa jambo jipya. Sisi tunamuona City kama kikwazo pekee kwetu kubeba ligi na ametusumbua miaka nenda rudi. Tunachukulia kila tunapomfunga, haswa Kwa style yetu ya uchezaji kama ishara kuwa tunaanza kumkaribia na kummudu. Huu ushindi kwetu ni 'symbolic' zaidi naona
Narudia tena...huna uwezo wa kwenda toe to toe na top sides yeyote pale EPL...huna...mwaka jana ile bahati ndo imeshapita haitakaa ijirudie tena....kwni Eddie Howe kuingia UEFA ni ishu...Leicester kapanda ligi kabeba kombe la EPL na alienda UEFA vilevile...kwhyo siyo story...ww level zako ni kina Brentford huko....ila pale juu huwezi mtoa arsenal...man shitty...Manyumbu...Chelkenge Wala Liverkuku hata Tottenham huna huo uwezo....msimu ulopita ndo mwanzo na mwsho na hiko kigenge chenu cha kupoteza mdaHuyu huyu spurs aliyekula 5 ndani ya dk 20 za kwanza au yupi? Kafa nje ndani last season , msimu wa kwanza tu eddie howe kaingia uefa unahisi kabahatisha sio? We are there to stay mzee.
Aston villa last season umemfunga kwa kubahatisha tu , kaangalie highlights tena za Newcastle vs arsenal then uje uone ushindi ule ulikua ni upepo tu ambao mpaka sasa umekata . Wewe top 4 pale ndo unaondoka nafasi anakaa aston villa.
Oya unafananisha Arsenal hii ya Asali na maziwa na ile ya miaka mitatu minne iliyopita ?Arsenal fans bwana Kwaiyo mmesaau kuwa hata msimu wa 2020 mlimfunga man City kwenye ngao ya jamii icho sio kipimo Cha nyinyi kufanya vizuri kabisa.
Nyie kipimo chenu ni ligi kuanza tu tutajua Wenger orphans ni ile ile au Kuna Jambo jipya.
N
Ndo maana nikasema Kwa sasa tutaanza mazoezi ya kupiga magoli ya mbali
Haya maneno mngeyasema Jana kabla ya mechi mngeelewekaArsenal fans bwana Kwaiyo mmesaau kuwa hata msimu wa 2020 mlimfunga man City kwenye ngao ya jamii icho sio kipimo Cha nyinyi kufanya vizuri kabisa.
Nyie kipimo chenu ni ligi kuanza tu tutajua Wenger orphans ni ile ile au Kuna Jambo jipya.
Community Shield Lina Pesa nyingi kuliko Carabao energy drinkTatizo lenu hua hampendi kabisa kusikia ukweli, mtapindishapindisha maneno ili mradi tu mjipee false hopes.
Haya nitajie timu yoyote ndani ya misimu 10 iliyopita ya ligi alibeba hilo ngao la hisani halafu akafanikiwa kuchukua kombe la ligi?
Mancity jana walikua wanawategea muingie cha kike na nyie mlivyo na akili nyingi mkaingia kweli
N
Narudia tena...huna uwezo wa kwenda toe to toe na top sides yeyote pale EPL...huna...mwaka jana ile bahati ndo imeshapita haitakaa ijirudie tena....kwni Eddie Howe kuingia UEFA ni ishu...Leicester kapanda ligi kabeba kombe la EPL na alienda UEFA vilevile...kwhyo siyo story...ww level zako ni kina Brentford huko....ila pale juu huwezi mtoa arsenal...man shitty...Manyumbu...Chelkenge Wala Liverkuku hata Tottenham huna huo uwezo....msimu ulopita ndo mwanzo na mwsho na hiko kigenge chenu cha kupoteza mda
Ni kweli tulikaa juu kwa mda mrefu na aliyetutoa alibeba makombe matatu makubwa it means alikuwa strong kuliko sisi mentally na kikosi Chao kilikuwa na depth ya kutosha....ndo maana tukatafuta watu kwny maeneo pungufu....kwa misimu sita Man City wamebeba kombe mara Tano Liver alijitutumimua ndo akabeba kombe mara moja pamoja na kuwa na prime ya kina Salah...Mane na firmino....hvyo only Man City is the only team to beat this time around....Sasa unapokuja kuanza kunijazia pumba hmu za kina Newcastle sijui mara Chelkenge nakuona kama hujielewi ndo maana nasema tena na narudia....mlicho achieve mwaka jana ndo mwanzo na mwsho....mchezaji mmojammoja tu mliyenaye tukisema tufanye comparison na wachezaji wengine wa vilabu vikubwa bdo mpo mbali sana kuwafikia....ndo maana nikakuambia fanyeni recruitment nzuri mcheze mzozeane kwa misimu 3 walau....ndo mje Sasa lakini sasahv kuja kushindana na sisi hapa bdo sana....narudia tena level zenu ni kina BrentfordTatizo lenu false hopers mnasahau mapema sana nimegundua hilo , mkuu una habari mlikaa top kwa muda wa siku 258 na bado mlishindwa kubeba ubingwa . Kilichowakosesha ubingwa unakijua ? Je unaona kile kilichowakosesha ubingwa mmerekebisha?
Unajua sisi tunaongea uhalisia lakini nyinyi mnaona kama tunawafanyia dhihaka , under pressure huwa mnapoteana sana unakuta tomiyasu anampa kdb pasi afunge mara ramsdale kampasia alcaraz dakika ya 2 tumara maghales kapiga buti mtu ndani ya box yaani mnakuwa kama kuku kakatwa kichwa
Hivi yule mshkaji wa Chelsea anayedai tuwaongeze hela kidogo ya Jorginho yupo kweli?
Hapo Wembley for 12 times ameishia kupata Ngao na mwanaFA, huoni kama hayo ni matumizi mabaya ya Wembley for 12 times?Wait, Arteta has been at the Wembley for 12 times and he's won all 12 games combined as a player and a manager
Community shield Lina Prize money kubwa kuliko Carabao energy drinkHapo Wembley for 12 times ameishia kupata Ngao na mwanaFA, huoni kama hayo ni matumizi mabaya ya Wembley for 12 times?
Hizo prize money kwa makombe yote madogomadogo FA, carabao, ngao n.k kwa timu kubwa kama Man utd hua tunachukulia kama bonanza tu maana bajeti ya timu kwa matumizi ya siku moja tu hua ni mara mbili ya hizo pesa.Community shield Lina Prize money kubwa kuliko Carabao energy drinkView attachment 2711079View attachment 2711080