Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Liverpool alijaza wazee kikos kizima ,ni wajinga tu waliokuwa wanaamini Liverpool angepigania ubingwa na Midfielders ina jumla ya umri miaka 130
Tatizo lenu hua hampendi kabisa kusikia ukweli, mtapindishapindisha maneno ili mradi tu mjipee false hopes.
Haya nitajie timu yoyote ndani ya misimu 10 iliyopita ya ligi alibeba hilo ngao la hisani halafu akafanikiwa kuchukua kombe la ligi?
Mancity jana walikua wanawategea muingie cha kike na nyie mlivyo na akili nyingi mkaingia kweli
 
Last season tulikuwa tunaingia kwenye box lenu maana yule kima DeGea ana mashaolin mengi lazima umfuate karibu sana ndo umfunge.
Ila huyu Omama daah. Hata kwa goal kicks za Ramsdale tu tutakuwa tunamfunga. Nimeshaanza kuwahurumia nyie manyumbu
Kwa mara ya kwanza msimu huu Ramsdale atafunga goli kutoka golini kwake na inaeleweka ni nani atamfunga🤣🤣
 
Alimtegea Nan ,mtu anashangilia hivi ,

Bado nyie ,pre season tulikuwa tunajaribu silaha mkajiona mnatimu ya maana
 
Jambo jingine ambalo Arsenal players nimeliona kwao ni wanajua kupiga penalties!nahisi hilo wadau hamjaliona kwa jicho la 3 and even Ramsdale kaanza kudaka at least penalties!
Arteta kasema.baada ile mech na manjesta wamekuwa na mazoezi ya penalties pia Ramsdale wamekuwa wakimfanyisha mazoezi, maana kwenye penalty alikuwa shati sana
 
Last season tulikuwa tunaingia kwenye box lenu maana yule kima DeGea ana mashaolin mengi lazima umfuate karibu sana ndo umfunge.
Ila huyu Omama daah. Hata kwa goal kicks za Ramsdale tu tutakuwa tunamfunga. Nimeshaanza kuwahurumia nyie manyumbu
Kumfunga nyumbu ni rahisi ukiwa na maprofessional sniper, je nyinyi mnao wataalamu wa kutungua maembe kwa mawe?
 
Matt Turner to Nottingham Forest is 10m pounds including add-ons

(@RyanTaylorSport )

Tulimnunua kwa £5.5m
 
Arteta kasema.baada ile mech na manjesta wamekuwa na mazoezi ya penalties pia Ramsdale wamekuwa wakimfanyisha mazoezi, maana kwenye penalty alikuwa shati sana
Arteta pia kasema haoni shida ya kuongeza quality hata panapoonekana Pana quality na kuondosha wachezaji wasiotikiza malengo. Amesema hiyo ndiyo nature ya kazi na yeye mwenyewe ni wa kwanza kuwajibisha au kutimuliwa asipofikia malengo ya team.
 
Kudus to Brighton in doubt as player and club cant agree on a deal so far. Ajax want clarity on the matter in 48 hours

(@VI_nl )
Inawezekana dogo kuna wakubwa wanemwambia tunakujia tusubiri hvyo ana buy time au kwny mikataba anataka kiwekwe kipengele cha release clause yasimkute ya Caicedo...Brighton wahuni sana wale jamaa
 
N
Kumfunga nyumbu ni rahisi ukiwa na maprofessional sniper, je nyinyi mnao wataalamu wa kutungua maembe kwa mawe?
Ndo maana nikasema Kwa sasa tutaanza mazoezi ya kupiga magoli ya mbali
 
Inawezekana dogo kuna wakubwa wanemwambia tunakujia tusubiri hvyo ana buy time au kwny mikataba anataka kiwekwe kipengele cha release clause yasimkute ya Caicedo...Brighton wahuni sana wale jamaa
Dogo ni dhahiri ana buy time,Kuna harufu wakubwa wamemwambia asubiri

Brighton kamalizana na Ajax

Kudus anawakimbiakimbia Brighton
 
️ |
Two French sides have joined the race for Arsenal striker Folarin Balogun. Believed to be RC Lens and Monaco.

Lots of interest for the 22-year-old striker.
 
Umesahau enhe ,mlivyopaki bas ndan ya dk 20 mnapumulia mirija
Nyie mnaforce mpaka muingie kwenye 18 ndio mfunge, Onana ili umfunge unatakiwa walau upige shuti katikati ya uwanja, je nyinyi mnao wachezaje hao?
 
Huyu huyu spurs aliyekula 5 ndani ya dk 20 za kwanza au yupi? Kafa nje ndani last season , msimu wa kwanza tu eddie howe kaingia uefa unahisi kabahatisha sio? We are there to stay mzee.

Aston villa last season umemfunga kwa kubahatisha tu , kaangalie highlights tena za Newcastle vs arsenal then uje uone ushindi ule ulikua ni upepo tu ambao mpaka sasa umekata . Wewe top 4 pale ndo unaondoka nafasi anakaa aston villa.
 
Nyie mnaforce mpaka muingie kwenye 18 ndio mfunge, Onana ili umfunge unatakiwa walau upige shuti katikati ya uwanja, je nyinyi mnao wachezaje hao?
Huyo pazia wewe subiri, umeona kipa wa city alikuwa anacheza Kama onana ,

Kai kazi yake ni kupress ,halafu viungo wenu ndio kina mount mabeki wale kina dalot
 
|| Forest have reached an agreement with Arsenal to sign Matt Turner. The player is scheduled to undergo a medical today [Via - @David_Ornstein].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…