Ingekuwa zaman wangeongeza dk 4 basiJuzi tu hapa nilisema ukipoteza muda
Zinaongezwa dakika 10
Sub anatoka Martinell anaingia Troussad
Unapigiwa msako wa unatoa au hutoi lazima utoe tu na ndo kilichotokea leo
mkorea
Hili wazo lakuchezesha CBs tu kwenye backline naona kama inalipa.
White Saliba Gabriel Timber.
Too solid. Halafu mbele yao Partey na Rice.
Alipoingia natural LB Tierny ,ndipo city wakapata goli
Mchana nilisema kwasasa tuna luxury ya kuchagua mechi twendeje
Kuna mechi za kiume tunaenda na Natural 4CBs,
white Saliba Magalhaes Timber
Kuna mechi Kama na Chelsea , manjesta unaenda na
White Saliba Magalhaes Zinny
Je wajua timu yoyote inayobeba community shield kubeba ubingwa ni Jambo lenye aliwezekani fatilia timu zilizobeba iyo ngao ulete mrejesho nini kilizikuta kwenye ligi.Arsenal's last five Community Shield games:
vs. Man City (2014)
vs. Chelsea (2015)
vs. Chelsea (2017)
vs. Liverpool (2020)
vs. Man City (2023)
Always winning at Wembley.View attachment 2710363
Alianza kuicheza mwaka Jana vs Liverpool ,ile mechi salah aligeuka Kama Denis nkaneArteta ainone kwenye jarada
Kulikuwa na maneno kuwa haiwezekani kwenda Ligi bila kufungwa ,tukafanyaJe wajua timu yoyote inayobeba community shield kubeba ubingwa ni Jambo lenye aliwezekani fatilia timu zilizobeba iyo ngao ulete mrejesho nini kilizikuta kwenye ligi.
Hakika kitawarambaView attachment 2710389
Je wajua timu yoyote inayobeba community shield kubeba ubingwa ni Jambo lenye aliwezekani fatilia timu zilizobeba iyo ngao ulete mrejesho nini kilizikuta kwenye ligi.
Hakika kitawarambaView attachment 2710389
Typically ni 4-3-3mkorea
Hili wazo lakuchezesha CBs tu kwenye backline naona kama inalipa.
White Saliba Gabriel Timber.
Too solid. Halafu mbele yao Partey na Rice.
Alipoingia natural LB Tierny ,ndipo city wakapata goli
Mchana nilisema kwasasa tuna luxury ya kuchagua mechi twendeje
Kuna mechi za kiume tunaenda na Natural 4CBs,
white Saliba Magalhaes Timber
Kuna mechi Kama na Chelsea , manjesta unaenda na
White Saliba Magalhaes Zinny
Alianza kuicheza mwaka Jana vs Liverpool ,ile mechi salah aligeuka Kama Denis nkane
Pep akaichukua na ndiyo imempa Treble , had January City alikuwa anajulikana jins ya kumfungua , ,Pep anasema Kwanini alianza kutumia 4CBs
“I learnt this season when you play against Bukayo Saka, Vinicius Junior, Gabriel Martinelli or Mohamed Salah, you need proper defenders to win duels one-on-one. They need just one action to beat you. Nathan gave us a boost that we did not have in the past.”
Pre season ,nimeona Arteta akizijaribu Combination zote ,
Ya
White Saliba Magalhaes Timber
Timber Saliba Magalhaes KT
The Athletic wanasema zipo karibu combination 10 anaweza kuzitumia kutokana namechiNataka k
Huo ni ukatili wa kiwango cha juu sanaNataka siku iwepo hii ya Ball playing CBs...kiungo Trossard...ode...Partey..winger ESR, Saka...mbele asimame Jesus...watu watatema bungo
Mipira mirefu anayopiga Rambo au beki zetuKai alivyocheza false 9, nketiah automatically ataanza kusubiri
Timing yake ya kupress ni super
Rashford anatajwa Kama asiyejua ku press , sababu unapoenda ku press lazima uwe na timing ,
Ni vizuri FIFA wangepiga marufuku akili kisoda kama hizi kuchangia mada za mpira, huu ndio uhuru wa maoni kutema pumba unavyojisikia.Nani kasema Liverpool bingwa??
Shida hampendi kusikia ukweli.
Nyie hata mkimaliza top 5 ni bahati sana.
Wapo but another option ni Trossard not Kai atatucheleweshaKama Nan mkuu ,jamaa yupo sahihi,
Taarifa za chini chini zinasema January Arsenal ndio ataanza kuweka nguvu kusafa CF ,wa gharama kubwa Kama walivyowekeza pesa kwa Rice
Kumbuka Sasa labda Victor , lakin Kuna FFP
Leo tu tunaweza maliza dili la Raya kwa £30m, tutakuwa tumetumia £240m had Sasa ,na bado nasikia tutaongeza RW na RCB,
Wengi wetu mpira hatuangalii details Kama hizi,Mipira mirefu anayopiga Rambo au beki zetu
Zinamkuta Kai against 2, still Kuna mipira alikua anai-win anatoa then anatafuta chumba
Anashuka chini pia
Technically Kai ni mzuri mno
Acha masihara Kai wa Chelsea na wa leo ni the same person imagine fans wa Chelsea hawakulalamika tena kwa rival wao Arsenal hatujiulizi tu?Mipira mirefu anayopiga Rambo au beki zetu
Zinamkuta Kai against 2, still Kuna mipira alikua anai-win anatoa then anatafuta chumba
Anashuka chini pia
Technically Kai ni mzuri mno