Kukumbusha sio dhambi, hili sinia mnalokabidhiwa leo hua halihesabiki kua ni kombe ingawa ni dalili njema kwa timu na inaongeza hamasa zaidi kwenye mechi zitazofata za ligi.Arsenal NDOO kazi ndio imeanza sasa
Ushindi wa papatu papatu huu ngojeni uwape kichwa lakini nyie bado wakawaida sana.Umeona shoga yako mama cita tulichomfanya
Hiyo ni supercup ,ile Carabao ndio kombe?Kukumbusha sio dhambi, hili sinia mnalokabidhiwa leo hua halihesabiki kua ni kombe ingawa ni dalili njema kwa timu na inaongeza hamasa zaidi kwenye mechi zitazofata za ligi.
Kwahiyo tumebahatisha,tulifute basi.hongereni sana Gunners hakika mmepambana kiume ingawa goli lenyewe mmelipata kibahati bahati sana.
Ila Harvez atawachelewesha sana aiseee.
Trossard mmoja ni sawa na Harvez watatu.
Ushindi wa papatu papatu huu ngojeni uwape kichwa lakini nyie bado wakawaida sana.
Na tungelikosa mngetuponda piaKukumbusha sio dhambi, hili sinia mnalokabidhiwa leo hua halihesabiki kua ni kombe ingawa ni dalili njema kwa timu na inaongeza hamasa zaidi kwenye mechi zitazofata za ligi.
Waambie hawa kengeUshindi wa papatu papatu huu ngojeni uwape kichwa lakini nyie bado wakawaida sana.
This team need a new clinical striker. With a serious striker we could have been 4 goals ahead. The issue of goalkeeper we all know at this Ramsdale rate on the reserve bench is where he deserve to be right now.
Let me take the positives for now.
Welcome EPL 2023-2024.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumelichukua lakini mkilitaka, TunawageaKukumbusha sio dhambi, hili sinia mnalokabidhiwa leo hua halihesabiki kua ni kombe ingawa ni dalili njema kwa timu na inaongeza hamasa zaidi kwenye mechi zitazofata za ligi.
Na tungelikosa mngetuponda pia
Kwann arteta hamuanzishi?Ila kwa Trossard tulilamba dume Kweli Kweli
Ila flano dahhio sasa ndio maana halisi ya burudani na ushabiki wa soka.
We unafikiri hili jukwaa watu wote akiwa wanasifia tu litakua na ladha?
Wewe mwenyewe linganisha hizi picha mbili halafu jibu baki nalo mwenyewe.Hiyo ni supercup ,ile Carabao ndio kombe?