hongereni sana Gunners hakika mmepambana kiume ingawa goli lenyewe mmelipata kibahati bahati sana.
Ila Harvez atawachelewesha sana aiseee.
Trossard mmoja ni sawa na Harvez watatu.
hongereni sana Gunners hakika mmepambana kiume ingawa goli lenyewe mmelipata kibahati bahati sana.
Ila Harvez atawachelewesha sana aiseee.
Trossard mmoja sawa na Harvez watatu.