Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mazoezi magumu

Jorginho missing through a slight muscle injury. Not a serious one.
 
Na ndio maana arteta anatumia leo 4-2-3-1 hio system huwa ni yakuvizia na kupiga mtu ...aka transitional progressive and defensive counter attack football philosophy
Kwa wanangu wa man utd tunaelewa hilo pira letu
 
Most valuable squad in the world inacheza leo

Chukua kina manjesta,namungo, Kitayosye, Gwambina , Chelsea ,Mancity, Barcelona ,n.k

Ambaye squad yake ina gharama anacheza Leo pale Wembley
Baadae Ila usikimbie hapa maana tumekuzoea.

Weka prediction yako leo

Mimi yangu

Wenger orphans 0 vs Manchester City 2
 
Baadae Ila usikimbie hapa maana tumekuzoea.

Weka prediction yako leo

Mimi yangu

Wenger orphans 0 vs Manchester City 2
Wewe mwenyewe Arsenal ikishinda huonekani humu

Kila mtu achague upande wake

Halafu mna mechi yenu ,why mmejazana huku
 
Asenali anavita ngumu sana dhidi ya man siti kuliko baadhi ya mashabiki humu ndani wanavyoongelea😂😂😂.

Asenali kumfunga man siti itabidi awe na ufanisi mkubwa kwenye kumalizia nafasi nakwenye kuzuia 😂😂😂

Kuna uwezekano Mpaka sasa hamna hamna haland anagoli tayari na gabriel/ramzidaleee anamchomo😂
 
Rice kwenye LCM

Havertz kwenye False 9


Pre season yooote kweli wamecheza kwenye nafasi izo?

Troussard mara nyingi kapata nafasi na kaonyesha kitu kikubwa sana why hajampa nafasi leo kwenye nafasi ile ile


Au leo Arteta kaamua ajilipue tu.

Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…