choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,087
Ninyi yenu ina hatari 7 years consecative.
Yaani non stop tena hata hiyo EUROPA hamjawahi kuichukua. ARSENAL ni midtable team bro.
Miaka Saba unacheza EUROPA hujawai kulichukua???. NYUMBU alikuwa mbovu ila alichukua EUROPA, CHELSEA alikuwa mbovu ila Alichukua EUROPA.
Tukiwaambia Arsenal ni Midtable team msiwe mnanuna.
Wafike bei..vngnevyo hakuna kwenda...kwny biashara kunataka misimamo sana vngnevyo utakuwa unapigwa Kila siku....Leno tulimuachia kwa hela mbuzi kabisa...Turner tunamtoa hata £10 million haifiki....Sasa hii sio trend nzuri....we need to be ruthless hasa kwa timu zinazojifanya zinaijua sana helaHuyu Dogo Balogun wamuachie tu aende asee
Folarin Balogun wishes Marcus Thuram(inter player) a happy birthday on Instagram.
Jana kapost anaangalia video za inter za R9
Inter walete hiyo €50m
View attachment 2709927
Turner tulimnunua kwa £7m ,Kuna taarifa ilitoka Jana wengi wanahisi ndio Bei kauzwa ,sikweli,Wafike bei..vngnevyo hakuna kwenda...kwny biashara kunataka misimamo sana vngnevyo utakuwa unapigwa Kila siku....Leno tulimuachia kwa hela mbuzi kabisa...Turner tunamtoa hata £10 million haifiki....Sasa hii sio trend nzuri....we need to be ruthless hasa kwa timu zinazojifanya zinaijua sana hela
Nipeni takwimu za last 8 match btn Arsenal na City, nataka nitie mkeka
Squad value haina msaada mkuuArsenal(most valuable squad in the world) & Man City will clash in the Community Shield to kick off the 2023/24 PL season
Manjesta fans will watch it on TV, to support Man CityView attachment 2709933
Bogey team yetu hii. Sijui hata imekuwaje kuwaje mpaka tumekuwa vibonde wao.Kumfunga mancity bado ni shughuli pevu kwakweli jamaa anatunyanyasa sana c uongo
Mkuu Arsenal imekutoka moyoni kabisa but sometimes kweli team yetu ni miyeyusho ila since 1996 i support Arsenal tutafanyaje sasa?na leo kwemye betting Arsenal kapewa odds kubwa sana means tunadharauliwaHakuna cha stats hapo wewe chukua man city to win & over 1.5 . Weka hela tuliaa hio ni sure guaranteed.
Hizi kelele za “false hopers “ zisikudanganye hawa ni wapiga kelele tu kama chura lakini tembo maji lazima annywe.
Ingekuwa Liverpool, Newcastle na man utd hizi ndo timu ambazo unaweza kuanza kuangalia stats mzee lakini si hawa wanajiita title chaser then unaenda kula chuma za kutosha gemu zote 2. Cheki tu highlights man city alivyokutana na Arsenal then angalia na hizo timu nyingine nilizokutajia hapo juu.
Mkuu Arsenal imekutoka moyoni kabisa but sometimes kweli team yetu ni miyeyusho ila since 1996 i support Arsenal tutafanyaje sasa?na leo kwemye betting Arsenal kapewa odds kubwa sana means tunadharauliwa
Yani mkuu unaizungumzia Arsenal ya 23/24 then unamtaja MAN LOKONGA kweli? Are you fooking serious?Nipandwe na sukari kwa timu yenye wachezaji kama LOKONGA, GABRIEL(KICHWA CHA BATA), PARTEY(MIGUU YA BISKUTI)
Upo sahihi mkuu. Maana msimu uloisha uhalisia mlisema hatutoboi top 6. Tumekuelewa mkuu. Pumzika sasa.Ndio uhalisia , wala sio maoni mkuu.
your going to die
Wametufunga zote mkuu, nje ndani. Kama una swali lingine liweke kabisa hapa.Nipeni takwimu za last 8 match btn Arsenal na City, nataka nitie mkeka