Wewe timu yako unasema inaenda kugombea ubingwa tufanye analysis ya kikosiWewe hata ungetaja maDM gani ,
Timu yako ni Midtable team.
Huna UEFA, huna hata hiyo futuhi cup(EUROPA). Yaani kabati la Arsenal limejaa Domestic cup tu.
View attachment 2709853
Most valuable squad in the world inacheza leo
Chukua kina manjesta,namungo, Kitayosye, Gwambina , Chelsea ,Mancity, Barcelona ,n.k
Ambaye squad yake ina gharama anacheza Leo pale Wembley
Hawa mapimbi nimewaambia Hawana uwezo wa kudinda kwa City.Kwa hio hii ndio bahati mbaya yenyewe unayoizungumzia ya Arsenyo kufungwa na mliMancity? View attachment 2709854
Flano amechoka na mount anamuita FreemasonKaribu mkuu
mkorea Arsenal NDOO inaanza leo au tusubiri subiri kwanza.
Kabadilisheni kwanza hiki kitu WIKIPEDIA huko ni Aibu hii. Ndio maana mnaitwa midtable team.Wewe timu yako unasema inaenda kugombea ubingwa tufanye analysis ya kikosi
Mm naamin Astonvilla, manjesta Wana squad Bora kuliko nyie kuku
nitajie Sasa DM katika timu yako ni Nani,
Arsenal tuna Partey ,Rice , Jorginho Kama 3rd choice na anaubonda vzr tu
Nitajie Asipokuwepo Salah Nan anawabeba ,
Tupo na tutaendelea kuwepo,Hongereni mkuu. Kufungua Dirisha la EPL siyo kazi ndogo ni mafanikio makubwa.
Leo natamani mmbebe Community Shield mbele ya kipara. Ili muendelee kuwepo kwenye jukwaa hili
Hili swali umegoma ?Kabadilisheni kwanza hiki kitu WIKIPEDIA huko ni Aibu hii. Ndio maana mnaitwa midtable team.View attachment 2709856
That's a point.Tupo na tutaendelea kuwepo,
Community shield tunayo nadhan 16 , huyo city hata 5 hayafiki
Leo no matter what tunaenda kupambana ,karibu uone mbinu ,mpira mzuri
True ,tunaenda kuona full squad yetu ambayo itenda kucheza EPL UCL n.kThat's a point.
Hatujasema tunaenda kumfunga citzen,tunaenda kucheza mechi na dakika tisini zimebeba fate ya comunity shield
Leo ngoja uonyeshwe kuwa unatimu mbovu kupindukia.Hili swali umegoma ?
Wewe unajinasibu safari hii hamtaishia no 5
Sasa ili tuamini nimeomba machache kuhusu kikos chenu
Wewe timu yako unasema inaenda kugombea ubingwa tufanye analysis ya kikosi
Mm naamin Astonvilla, manjesta Wana squad Bora kuliko nyie kuku
nitajie Sasa DM katika timu yako ni Nani,
Arsenal tuna Partey ,Rice , Jorginho Kama 3rd choice na anaubonda vzr tu
Nitajie Asipokuwepo Salah Nan anawabeba ,
Jamaa ana hasira Liverpool haisajili ,analazimisha fujoHahaaa naona wanga wameanza kabla ya mech kuanza
Keep in mind tukifungwa tupo,tukishinda tupo.hatuend popote.
Karibuni baadae msisahau kubeba popcon na sharubati
Huyo Mc anajielewa yeye na kondoo wake tu, sisi hawa kondoo hatuwezi kuwaelewa,ngoja akifungwa atarud hapa na visingizio kibaaooo
Usitafute sympathy mkuu.Hahaaa naona wanga wameanza kabla ya mech kuanza
Keep in mind tukifungwa tupo,tukishinda tupo.hatuend popote.
Karibuni baadae msisahau kubeba popcon na sharubati
Mason Mount jana niliona alicheza nafasi ya Eriksen nadhani...bdo hajazoea timu na uzito wa jezi nao unamkwamisha kdgo ila naamini atakuwa na msimu mzuri kuliko Antony masebene....mtoto wa Kiingereza yule ana roho ya pakaFlano amechoka na mount anamuita Freemason
Tupo na tutaendelea kuwepo,
Community shield tunayo nadhan 16 , huyo city hata 5 hayafiki
Leo no matter what tunaenda kupambana ,karibu uone mbinu ,mpira mzuri
Mbona wewe ulishinda community shield last season,ukajitangazia ubingwa ,nakumbuka nilikuchana japo mlinitukana nilisema timu imejaa wazee ,Leo ngoja uonyeshwe kuwa unatimu mbovu kupindukia.
Maana nikisema mimi utasema najipakulia minyama