Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jipapatue ila leo ndio Mateso yanaanza kwenu
 
Basi na nyie ndo mtulie Sasa ligi ianze sio kuja kutujazia vi comment vyenu hmu na wakati hata wachezaji wenu hamsemi wanao cover nafasi zao wakiumia
Hawez kutaja ,timu yao spana mkononi ,

Hawa hata manjesta kashawaacha , manjesta Hana depth kubwa lakin ana strong squad kuliko wao

Wameondoka wachezaji 8 wameingiza wawili Average players , ambao hawajabadili chochote

Vvd ndio kachoka lakin inabidi acheze ili kuleta ahueni bila yeye wanakuwa ovyo ,

Anabwabwaja humu anadhani timu zao hatuzifuatilii kwa kina
 
Hatuna mkuu ila nyny mnao ndo maana mnaenda kucheza mechi za Alhamisi usiku
Wewe umecheza alhamis usiku toka 2016 mpka 2023.
Mbona kawaida hiyo.
Na umecheza EUROPA toka 2016 ajabu faunali umecheza moja tu, na hata kombe pia hukuchukua miaka yote hiyo.
UEFA utaiweza.??
 
Hatuna mkuu ila nyny mnao ndo maana mnaenda kucheza mechi za Alhamisi usiku
Yule Diaz ni like kuku aliyekatwa kichwa , mchezaji wakawaida tu

Hiyo timu yao matumaini yamebaki kwa salah 30+yrs ,VVD 30+yrs, GK
 
Wewe umecheza alhamis usiku toka 2016 mpka 2023.
Mbona kawaida hiyo.
Na umecheza EUROPA toka 2016 ajabu faunali umecheza moja tu, na hata kombe pia hukuchukua miaka yote hiyo.
UEFA utaiweza.??
Kabla hamjamuuza coutinho mkapata bajeti ya usajili ,simlikuwa mnacheza alhamis kila mwaka

Sasa hivi uzen mchezaji mpate bajeti ,lasivyo mtakuwa watu wa alhamis

Wewe mnashindwa kununua Lavia kwa 50 , Jude mngemuweza
 
Ninyi yenu ina hatari 7 years consecative.
Yaani non stop tena hata hiyo EUROPA hamjawahi kuichukua. ARSENAL ni midtable team bro.

Miaka Saba unacheza EUROPA hujawai kulichukua???. NYUMBU alikuwa mbovu ila alichukua EUROPA, CHELSEA alikuwa mbovu ila Alichukua EUROPA.

Tukiwaambia Arsenal ni Midtable team msiwe mnanuna.
 
Hlafu ni wepesi kutupa taulo mapema...Klopp kaanza kuongea na Jude mwaka mmoja nyuma anabembeleza dogo ikaonekana kakubaki...mwshoni wanakuja watu wanajibebea kilaini tu....sasahv wanaanza kujidanganya kwa Tchouameni na Mbappe....yaani kuna vitu ukivisikia unabaki kucheka tu
Kabla hamjamuuza coutinho mkapata bajeti ya usajili ,simlikuwa mnacheza alhamis kila mwaka

Sasa hivi uzen mchezaji mpate bajeti ,lasivyo mtakuwa watu wa alhamis

Wewe mnashindwa kununua Lavia kwa 50 , Jude mngemuweza
 
Haya nitajie Sasa DM katika timu yako ni Nani

Arsenal tuna Partey ,Rice , Jorginho Kama 3rd choice na anaubonda vzr tu
 
Na nyie ndo mmeanza rasmi mwaka huu....mzoee tu kucheza Alhamisi usiku maana hamna wa kumtoa pale juu uingie top 4....hamna
 
Haya nitajie Sasa DM katika timu yako ni Nani

Arsenal tuna Partey ,Rice , Jorginho Kama 3rd choice na anaubonda vzr tu
Anakwambia subiri ligi ianze utawaona....wanamfukuzia Tchouameni wampate😀😀😀
 
Haya nitajie Sasa DM katika timu yako ni Nani

Arsenal tuna Partey ,Rice , Jorginho Kama 3rd choice na anaubonda vzr tu
Wewe hata ungetaja maDM gani ,
Timu yako ni Midtable team.
Huna UEFA, huna hata hiyo futuhi cup(EUROPA). Yaani kabati la Arsenal limejaa Domestic cup tu😄.
 
Huyu anadhan timu yao hatuijui ,

Et Kuna kipind walikuwa wanamtaka saka

Hawa jamaa kusajili mpaka wauze ndio sela Yao

Mwaka 2018 walimuuza coutinho ndio wakapata fungu kubwa la usajili

Sasa hivi kwenye ushindan huu wa kumwaga pesa ,wanataka kuokoteza wachezaji

Wale wachezaj wawili waliowasajili ni wakawaida ,klopp hakuwataka ila Hana namna ,aliwataka Jude, Tchoumeni ,akashindwa ku compete

Lavia wameambiwa £50m wamerudi nyuma ,

Astonvilla Sasa hivi anatoa €60m analeta mchezaji ,wao wanasubiri miujiza ya klopp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…