Nitajie DM wako anayemzidi JorginhoLuxury DM jorginho???
Na timu lilivyo la kipuuzi kila mwaka linapewa matapishi ya CHELSEA.
Hii timu ndio maana hata ufalme wa London imenyang'anywa na RENT BOYS wa Darajani , Sababu ya vichwa bata kama nyie.
Nani mwingine aliumia?? Usiniambie Jesus maana still mliendelea kuscore ila mlikuwa mnaruhusu zaidi.Arsenal hakuumia Saliba pekee ,
Msimu huu tuna luxury na bado tupo sokon
Kesho tunaongeza GK no.2 kwa £40m
Livakuku anashindwa kusajili Lavia kwa £50m
Mabeki wote wazee
Nina Rice ,Partey , JorginhoLuxury DM jorginho???
Na timu lilivyo la kipuuzi kila mwaka linapewa matapishi ya CHELSEA.
Hii timu ndio maana hata ufalme wa London imenyang'anywa na RENT BOYS wa Darajani , Sababu ya vichwa bata kama nyie.
Jorginho huyu mpiga miback passNitajie DM wako anayemzidi Jorginho
Taja
Mimi kwangu Jorginho ni 3rd choice
Sasa wewe taja DM wako anayemzidi 3rd choice kwetu
Partey( miguu ya biskut)Nina Rice ,Partey , Jorginho
Nitajie DM wako anayemzidi Jorginho
Tukisema mnaenda kugombea kushiriki Europa mnakasirika ,
Taja DM wako wacha manenomaneno...Jorginho huyu mpiga miback pass
Luxury ya akina Nketiah na Lokonga??Arsenal hakuumia Saliba pekee ,
Msimu huu tuna luxury na bado tupo sokon
Kesho tunaongeza GK no.2 kwa £40m
Livakuku anashindwa kusajili Lavia kwa £50m
Mabeki wote wazee
Sasa kama Jesus aliumia na timu ikaendelea kufunga itakuwa hvyohvyo msimu huu....Saliba amekuja Timber na Ben White atecheza eneo lake pia....mbele viungo ndo wapo wa kutosha....Partey akikaa nje...Rice anacheza...Jorginho anachezaNani mwingine aliumia?? Usiniambie Jesus maana still mliendelea kuscore ila mlikuwa mnaruhusu zaidi.
Sasa vuta Picha akaumia Saliba na Gabriel(kichwa cha bata).
Huwezi chukua EPL na beki ya GABRIEL(kichwa cha bata) na kiungo ya partey( miguu ya biskuti).
Nikisema unaropoka unakataa ,Kafatilie waliumia mabeki wangapi ,Nani mwingine aliumia?? Usiniambie Jesus maana still mliendelea kuscore ila mlikuwa mnaruhusu zaidi.
Sasa vuta Picha akaumia Saliba na Gabriel(kichwa cha bata).
Huwezi chukua EPL na beki ya GABRIEL(kichwa cha bata) na kiungo ya partey( miguu ya biskuti).
Huyo huyoJorginho huyu mpiga miback pass
Usiposhinda tunakuita wewe hayo majinaNa wewe atataka tukiete MWAJUMA au MBWA JIKE ikitokea hiyo win?
Martineli aliumia Trossard anacheza....Saka upande wake ndo bdo kuna simntofahamu...Odegaard...kuna Kai kuna Rice bdo anaweza cheza kuna ESR bdo ...Sasa tutajie ww kikosi chako akiumia nani ana kava nafasiSasa kama Jesus aliumia na timu ikaendelea kufunga itakuwa hvyohvyo msimu huu....Saliba amekuja Timber na Ben White atecheza eneo lake pia....mbele viungo ndo wapo wa kutosha....Partey akikaa nje...Rice anacheza...Jorginho anacheza
Partey last season kacheza mechi 26+Partey( miguu ya biskut)
Utawaona msimu ukianza punguza wenge .Taja DM wako wacha manenomaneno...
Kai mtoto mdebwedoNikisema unaropoka unakataa ,Kafatilie waliumia mabeki wangapi ,
Nitajie DM wako ambaye anaweza kuanza kikos Cha Arsenal ,
Hata huyo Salah anayewapa kiburi sitashangaa msimu ujao akipoteana Zaid , maana tulishamuona last season, huu ndio muda mumuuze saudia
Squad yangu hii hapa
Leta yako tuone
View attachment 2709841
Rudia Tena kusoma iyo uliyoni-quoteHujanijibu bado mara ya mwisho kumfunga manchester city ni linj??
Ataje hapa mbadala wa VVD ni nani ..mbadala wa Konate ni nani.... Robertson ni nani...TAA ni nani...Salah akiumia mbadala ni nani....Luis Diaz akiumia nani anachezaHuyo huyo
Haya Nitajie DM wako anayemzidi Jorginho
Taja
Mimi kwangu Jorginho ni 3rd choice
Sasa wewe taja DM wako anayemzidi 3rd choice kwetu
nimekutajia DM wetuLuxury ya akina Nketiah na Lokonga??
Basi na nyie ndo mtulie Sasa ligi ianze sio kuja kutujazia vi comment vyenu hmu na wakati hata wachezaji wenu hamsemi wanao cover nafasi zao wakiumiaUtawaona msimu ukianza punguza wenge .
Kai mtoto mdebwedo
Gabriel(Duck head)
White(kichwa cha mwenda wazimu)
Jiandaeni kukimbia jukwaa
Nitajie DM wako anayemzidi JorginhoUtawaona msimu ukianza punguza wenge .
Kai mtoto mdebwedo
Gabriel(Duck head)
White(kichwa cha mwenda wazimu)
Jiandaeni kukimbia jukwaa
Kiburi chote kipo kwa Salah ,halafu hajui Salah ni 30+ ,anamchukulia Kama Saka 21yrsAtaje hapa mbadala wa VVD ni nani ..mbadala wa Konate ni nani.... Robertson ni nani...TAA ni nani...Salah akiumia mbadala ni nani....Luis Diaz akiumia nani anacheza