Na vile-vile hajitumi - work rate yake leo ni ndogo, tulimzowea tunapopoteza possession huwa anarudi kusaidia difensi kama anavyofanya Gervinho ama RVP, lakini yeye sasa naona kaamua staili ya Bendtner just anangoja mpira uje kwake hakuna ile team workLawama zetu zimetoakana na kutumia vibaya mipira michache aliyopata sio kutopata mipira.
Hongereni watani...
Ni rahisi kuona Chamakh hafanyi kitu, lakini ukiangalia vizuri utagundua kwamba hakuna mipira inyofika kwake kutoka kwa viungo, pasi ya mwisho hakuna au mbovu!
Hongereni watani...
kwa kweli msimu huu kazi tunayo, tatizo aw na kamsemo kake "in asrsene we trust" kanakua kananitia nguvu. Ila wakubwa, kama hatutasonga mbele sitashangaa!
Anyway usiku mwema, na ka goli kamoja, tutafanya nini?! Ndio aw wetu huyo!
Bado tunaninginia kwenye tawi lakini kwa kamba ya mgomba na sio katani, muhimu tumepata clean sheet, na mechi ya marudiano Mungu atasaidia pengine Wilshere, Capitanyo RVP na pengine Nasri ( you never know) watacheza na Professa atakaa kwenye benchi - kibarua msimu huu ni kizito sana, lakini ni cha kujitakia wenyewe, tulifanya uzembe tukamaliza nafasi ya nne, tulifanya uzembe katika usajili na tunaendelea kufanya uzembe kutegemea wachezaji wasio na uzoefu.
Lini shilingi itadondoka kwa mabeberu (Arsenal board of Directors) Nahisi wanasubiri mapinduzi - Egyptian style.