Anaona aje huku kujipozaKule kwao kunachosha maana Kila comment ni ya malalamiko kwhyo akija huku stress zinapungua kdgo
Wenger orphans ifike wakati mkubali Jesus injury ni maisha yake hapo msijidanganye Jesus saizi hawezi kwenda miezi mitatu asipate injury.Jesus inabidi apone as soon as possible
Andaeni points 6 zetu, tutacheza na false namba 9 ya kaiJamaa unafaa kuwa comedian, nakushauri tumia hichi kipaji kupga hela.
System yetu ya arsenal hatutegemei mtu mmoja kwenye kufungaWenger orphans ifike wakati mkubali Jesus injury ni maisha yake hapo msijidanganye Jesus saizi hawezi kwenda miezi mitatu asipate injury.
Hapo muingie sokoni tu mtafute striker nyingine hapo mtaumia muanze kulia lia hapa kama Kawaida yenu.
Unaachaje kuja huku kutoa stress, mtu anakwambia Arsenal y makombe😂😂, muulize makombe yapi kama atakujibu😂😂😂Kule kwao kunachosha maana Kila comment ni ya malalamiko kwhyo akija huku stress zinapungua kdgo
Kwani hayo malengo ya kugombea ubingwa mmeyaanza msimu huu tu au? Siku mtu akiwaasha usingizini ndio mtajua Arse888 haijawah kuwa timu y kugombea ubingwa.Chelkenge wazee wakugombea kushuka daraja ,unafanya nn humu malengo yenu muingie top 10 , Arsenal malengo ni kupigania ubingwa
Imeisha hii....wao wanataka 30....wanaweza kuvutana Waka settle kwny 25EXCL: Arsenal have submitted opening bid for David Raya to Brentford tonight. The proposal is worth £20m fixed fee plus £3m add-ons️ #AFC
Raya told Brentford that he wants the move as personal terms are already agreed.
Mwaka jana mkuu na tuliteleza padogo...ila malengo ya kuwatandika nyny yalikuwa ya mda mrefu ndo maana mkageuka tawi letu rasmi yaani hata tukiamshwa saa 8 usiku tukacheze na Chelkenge basi ushindi lazimaKwani hayo malengo ya kugombea ubingwa mmeyaanza msimu huu tu au? Siku mtu akiwaasha usingizini ndio mtajua Arse888 haijawah kuwa timu y kugombea ubingwa.
Declan Rice mzee wa kukiwasha, oya ngoja ligi ianze akinukishe mnyama.
Mwaka jana mkuu na tuliteleza padogo...ila malengo ya kuwatandika nyny yalikuwa ya mda mrefu ndo maana mkageuka tawi letu rasmi yaani hata tukiamshwa saa 8 usiku tukacheze na Chelkenge basi ushindi lazima
Kronke pochi NeneHuenda tukatumia £250-300m dirisha hili
Kama unachukulia matokeo ya Pre season ndo u judge kwenye performance kwny ligi utasubiri sana....Chelsea Pre season kacheza na vitimu vya kawaida sana timu kubwa pekee alocheza nayo ni Dortmund...Man UTD tumeona mechi zake Pre season....Liverpool tumeona mechi zake pia zipo mechi la draw na zingine kadundwa....Ligi ni Marathon...mwenye kikosi kipana chenye quality ndo ana nafasi ya kufanya vzuri kwhyo kijana tukae tuangalie ligi ikianza halafu tutakuja kuambiana hapaYeah mwaka jana mliteleza bahati mbaya sana this season hata nafasi tu ya kuteleza hamtakuwa nayo.
Mwaka jana flow ya mpira wenu pre season it was best mzee na ilionesha mna kitu , tukicheki flow ya mpira this pre season mliyonayo na energy iliyotumika last season tunaona kabisa kama hamtoboiii hio top 4 na si kwa ubaya kabisa.
Liverpool karudii kwenye ubora sidhani kama kuna injuries zozote kwao ila last season kina diaz, thiago na jota walikua injuries now wapo full mkoko ,Chelsea madogo janja wakina mudryk, Jackson, nkunku , enzo na valhovic anakaribia kutua usiwachukulie poa mzee.
Wakati wenzenu wanapiga picha na trophies nyie mtabaki kupiga picha na clock la highubryView attachment 2707650
Ndio mseme malengo yenu ni kumfunga chelsea na nyumbu, ila sio ubingwa. Msimu huu mkibeba ubingwa nipgwe risasi.Mwaka jana mkuu na tuliteleza padogo...ila malengo ya kuwatandika nyny yalikuwa ya mda mrefu ndo maana mkageuka tawi letu rasmi yaani hata tukiamshwa saa 8 usiku tukacheze na Chelkenge basi ushindi lazima
Halafu wanakwambia Arse888 ya makombe. Hawa hata top5 ni kuwaonea hurumaYeah mwaka jana mliteleza bahati mbaya sana this season hata nafasi tu ya kuteleza hamtakuwa nayo.
Mwaka jana flow ya mpira wenu pre season it was best mzee na ilionesha mna kitu , tukicheki flow ya mpira this pre season mliyonayo na energy iliyotumika last season tunaona kabisa kama hamtoboiii hio top 4 na si kwa ubaya kabisa.
Liverpool karudii kwenye ubora sidhani kama kuna injuries zozote kwao ila last season kina diaz, thiago na jota walikua injuries now wapo full mkoko ,Chelsea madogo janja wakina mudryk, Jackson, nkunku , enzo na valhovic anakaribia kutua usiwachukulie poa mzee.
Wakati wenzenu wanapiga picha na trophies nyie mtabaki kupiga picha na clock la highubryView attachment 2707650
Unataka mangapi Sasa mkuu maana ww umesema mara uitwe Mwajuma sijui...mara Mbwa jike mara upigwe risasi..simama na moja basi Ili tukibeba ndoo tujue lipi la kukuita....halafu kuifunga Chelkenge sio malengo tena maana ni kama π...Labda Manyumbu ndo huwa yanatusumbua kidogo...nyie endeleeni kukusanya wakimbiza upepo wengine wapya mjaribu tena kutokushuka daraja ila Bora mmechukua kikombe kwa kuwafunga Fulham maana ndo kikombe pekee kwa msimu huu mtakachochukuaNdio mseme malengo yenu ni kumfunga chelsea na nyumbu, ila sio ubingwa. Msimu huu mkibeba ubingwa nipgwe risasi.