Hizo warm up za pre season zisiwahadae sana, ukitaka kujua Harvez ni takataka subiri mechi ya jumapili ya ngao ya hisani dhidi ya Mancity ndio utajionea mwenyewe tofauti ya Kai wa kwenye warm-up na Kai wa kwenye mechi.So what about a mountain who has played almost all games with zero effect. Last time we heard of him is from Romano.View attachment 2707138
Erik 7 hag a.k.a A Dutch David Moyes akiwa na Amrabat huko Utriech
Muendelezo ni ule ule ,7hag sajili zake ni za kitapeli ,hazingatii mahitaji husika anazingatia connection alambe % yake
Kwa Hali hii mtaendelea kuwaona Grazzer wabaya ,kumbe mchawi mnae hapo hapoView attachment 2707147
Lakini tukumbuke ligi Ina mechi 38...kwhyo tunategemea kuna mechi asicheze vzuri pia kama tunavyoamini kwmba hojlund hatavuka goli 5 ila atakuwa anasaidia kwny kukabia juu🤣🤣Hizo warm up za pre season zisiwahadae sana, ukitaka kujua Harvez ni takataka subiri mechi ya jumapili ya ngao ya hisani dhidi ya Mancity ndio utajionea mwenyewe tofauti ya Kai wa kwenye warm na Kai wa kwenye mechi.
Dili la Kai lilikua ni ufisadi dhidi ya pesa ya Kreonke.
Yaan unataka umpime Kai kwa mech ya ngao tu?Hizo warm up za pre season zisiwahadae sana, ukitaka kujua Harvez ni takataka subiri mechi ya jumapili ya ngao ya hisani dhidi ya Mancity ndio utajionea mwenyewe tofauti ya Kai wa kwenye warm na Kai wa kwenye mechi.
Dili la Kai lilikua ni ufisadi dhidi ya pesa ya Kreonke.
Mkuu hamis77 kwanza hongereni sana jana kwa kuchukua kombeYaan unataka umpime Kai kwa mech ya ngao tu?
Halland mlimpima pia kwa mechi ya ngao vs Liverpool alipoteana Sana ,mkaanza kumfananisha na Nunez na Martial
Kuna kila dalili had Sasa mount mmeuziwa mbuzi kwenye gunia
Na mount ni mzuri tu, ila pale kocha wenu ni kanjanja
Anasajili kwa connection,hata wewe unaweza kuwa mchezaji wa manjesta
How comes anaachwa CR7 , Anasajiliwa Weghost sababu ni mpwa wake ,anakuja anafunga goal 0
Shukran Sana kwa hongera zakoMkuu hamis77 kwanza hongereni sana jana kwa kuchukua kombe
Asenyo ujue nyinyi mna uhuni mwingi sana aiseeee, baada ya kuona kabati lenu lina uhaba wa vikombe mkashauriana na wadhamini wenu ili kuficha aibu hii kila pre season mnachakugua timu yoyote dhaifu ya kucheza nayo ili muifunge mjigee kombe.
Unaambiwa mpaka sasa hivi kabati la Asenyo lina makombe mengi zaidi ya Emirates kuliko makombe mengine yoyote.
Hongereni sana mashabiki wa Asenyo kwa hili hakika mmeupiga mwingi sana aiseeee.
Mount yule ni fundi wa boli, muulize Goginyo anaijua vizuri shughuli ya huyo mwamba.Shukran Sana kwa hongera zako
Vipi unazungumziaje usajili wa Mount had Sasa ,je sio ameshaingia kwenye list ya Sajili za kitapeli?
Ana mwaka na nusu Chelsea ana goli 1, kaja manjesta mechi 5 goals 0 assist 0Mount yule ni fundi wa boli, muulize Goginyo anaijua vizuri shughuli ya huyo mwamba.
Ngoja niwaite kina Mkohoti allypipi OllaChuga Oc Carasco Putin waje kuwapongezi kwa kunyanyua ndoo Jana.
Unajua Arsenyo ni timu inayoenda vice versa, wakati wenzao wanabeba makombe ya Epl, Europa, Uefa mwisho wa msimu, Arseno wenyewe kombe lao hua wanabeba mwanzo kabisa wa msimu.Ana mwaka na nusu Chelsea ana goli 1, kaja manjesta mechi 5 goals 0 assist 0
Huyu Mimi Kama mwenyekiti wa kupitisha sajili za kitapeli ,nampitisha kwa asilimia 100
Hatavuka Goli 5 huyu ,tutarudi hapa Kama nikivyowaambia kwa Anthony masebene
Ana mwaka na nusu Chelsea ana goli 1, kaja manjesta mechi 5 goals 0 assist 0
Huyu Mimi Kama mwenyekiti wa kupitisha sajili za kitapeli ,nampitisha kwa asilimia 100
Hatavuka Goli 5 huyu ,tutarudi hapa Kama nikivyowaambia kwa Anthony masebeKuna
Zinchenko arudi siku kuna timu zitamaliza mpira Zina ball possession ya 10%|| If Arsenal are listening to offers for Balogun, West Ham will want to be in the conversation
[Via - @Alex_Crook].
Hakika unachosema ,Jana combination ya Rice na Partey ilikuwa Safi na ndio Mara ya kwanza wanacheza pamojaKun
Zinchenko arudi siku kuna timu zitamaliza mpira Zina ball possession ya 10%
Si mmesema wiki sita mkuu au ile taarifa imekaaje na inasemekana atakosa mechi ya Manyumbu na wateja wetu TottenhamIf everything goes well, Gabriel Jesus should be in the squad for the Crystal Palace game.
[@LeGrove]
Ni guessing tu mkuu, Arteta kasema ni few weeksSi mmesema wiki sita mkuu au ile taarifa imekaaje na inasemekana atakosa mechi ya Manyumbu na wateja wetu Tottenham
Journalist Hawa Kila mtu anaandika lake...anyway ngoja tuoneNi guessing tu mkuu, Arteta kasema ni few weeks
Na tatizo lenyewe ni kusafisha kwenye goti
Ana goli ngapi?Nilikuwa namcheki hojlund mkuu aisee ni hatari...makipa inabidi wajiandae...jamaa ni noma😅😅
Ana goli ngapi?
Umewaza kama ambavyo niliwaza toka msimu ulivyoisha, huyu lukaku huyu akiwa ndani ya Arsenal watu watalia sanaTunahitaji ST
Tukijidanganya kwamba kuna Trossard au Kai kitatukuta kilichomkuta Chelsea.
Lukaku ingawa ni miyeyusho kwenye dressing room ila ni option nzuri ya muda mfupi.