Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,309
- 2,568
Tavares hakuna wanaomtaka hata bure mkuu....yaani yule naona anasahaulika naona kwny kutajwa..au atakayetoa hela ya Balogun tuwape na Tavares bure kama nyongeza
Nani kapeleka hyo helaHuyu raisi wa Napoli anakiburi Sana , amekataa €140m anataka €150m
Sasa hivi ukiwa na CF ana uhakika wa goli 20+ kwa msimu ndan ya Ligi 5 Bora ,Basi una asset kubwa
Napoli expected to turn down the €140m bid for Victor Osimhen as the club want at least €150m
Al HilalNani kapeleka hyo hela
Hawa jamaa sijui wanajikuta nani wenyeweAl Hilal
Hela ziko nyng zinakosa kazi ya kufanyia ndo haya yanatokea...Guardiola kashaanza kulalamika na bado ndo kwanza mchezo umeanzaHawa jamaa sijui wanajikuta nani wenyewe
Cedric huwa namuamini, labda tu ameshindwa kufanya kike kocha anapenda na pia umri unamuacha nadhani sasa hivi atakuwa kwenye 31 ama 32.Tavares is a gem.
Cedric was better alistahili chances
AUze.. atakuja jutia.Huyu raisi wa Napoli anakiburi Sana , amekataa €140m anataka €150m
Sasa hivi ukiwa na CF ana uhakika wa goli 20+ kwa msimu ndan ya Ligi 5 Bora ,Basi una asset kubwa
Napoli expected to turn down the €140m bid for Victor Osimhen as the club want at least €150m
Wanatuharibia mpira wetu tu, Sheria ya FFP inabidi iwe worldwideHela ziko nyng zinakosa kazi ya kufanyia ndo haya yanatokea...Guardiola kashaanza kulalamika na bado ndo kwanza mchezo umeanza
Cedric hamna kitu mule.....hata Fulham kashindwa kwenda kuji express wakati ni timu ambayo Haina presha kivile....Cedric huwa namuamini, labda tu ameshindwa kufanya kike kocha anapenda na pia umri unamuacha nadhani sasa hivi atakuwa kwenye 31 ama 32.
Itakuwa ngumu...na wachezaji sasahv hawaangalii tena ile heshima ya mafanikio ya kubeba Mataji m alimbali makubwa...they are more after money...tabia za wachezaji wa Kibrazil zimeshaanza kusambaa kwa wachezaji wte....maana Wabrazil wao ndo wanajulikana kwa kupenda mahela mengi kwa ajili ya anasaWanatuharibia mpira wetu tu, Sheria ya FFP inabidi iwe worldwide
Hii ikiwa dunian kote ,Simba na yanga zitaumbukaWanatuharibia mpira wetu tu, Sheria ya FFP inabidi iwe worldwide
Ana uhakika ,Kuna uhaba mkubwa wa ma CF, Kama Hojlund kafunga goli 9 seria A kauzwa €85m , Basi anaamini Victor atauzwa €150-200m ,alisema PSG tu ndio wanaweza ku afford maana watamuuza mbappe soonAUze.. atakuja jutia.
Wewe mgeni na huyo jamaa,yeye kila timu anaishabikia na kuiponda , kasoro Simba tu
Mimi nipo humu Jf toka 2011kumbe ushawajua wote umu
Kiumri katika mpira ni mkubwa lakini hakuna kijiji hakina wazee.Cedric huwa namuamini, labda tu ameshindwa kufanya kike kocha anapenda na pia umri unamuacha nadhani sasa hivi atakuwa kwenye 31 ama 32.
Tulikua na Alex Song. At Arsena tulimtreat kama mfalme.Itakuwa ngumu...na wachezaji sasahv hawaangalii tena ile heshima ya mafanikio ya kubeba Mataji m alimbali makubwa...they are more after money...tabia za wachezaji wa Kibrazil zimeshaanza kusambaa kwa wachezaji wte....maana Wabrazil wao ndo wanajulikana kwa kupenda mahela mengi kwa ajili ya anasa
Kijiji bila wazee ni kikundi cha wahuni hicho🤣Kiumri katika mpira ni mkubwa lakini hakuna kijiji hakina wazee.