Hivi hyu Pickford ndo yule kipa wa Everton ama...kama ni yule kwa lipi hasa awe na uspesho huo wa kuwa hata kwny top 5....average goalkeeper1.Dean
2.Raya
3. Pickford
Kama unazungumzia game za Man U na Newcastle maana sijaangalia fixtures za msimu ujao...still bdo sina wasiwasi...tupoteze tusipoteze ila narudia palepale msimu ulopita tumejifunza tulipoteleza na turudi vipi...mazoea ya kwmba eti ilikuwa fluke msahaumsahau
Hao wachezaji wte ulowaweka hapo juu... walienda Chelsea kwa spenders wa hela na wakapata mafanikio...Van Persie it was an era of Sir Alex Ferguson na akashinda kombe...kipindi cha Sir Alex hata Arsenal walishinda EPL....nipostie picha ya post Sir Alex Ferguson mkiwa na kombe la EPL hapa...kwahyo usijifiche kwny hcho kichaka mkuu...tukubali mpira umebadilika ukitaka mafanikio toa mahela upate watu wakufanyie kazi na ndo tunachofanya Sasa...lakini vilevile uwe na kocha ambaye ni tactical master ndo maana City anatusumbua hapa na Klop kwa mbali....kwhyo ni suala la muda kutoka Sasa makombe yatakuja....tena I bet tutaanza kushinda EPL kabla hata ya nyny Manyumbu kwa sababu hamna mpira mnaoeleweka na wachezaji wenu wengi ni average playersEti msimu ulopita tumejifunza tulipoteleza na turudi vipi,
Nyie mna miaka zaidi ya 20 kazi yenu ni kujifunza tu namna ya kurudi.
Tena msimu ujao ndio mtawasuprise vizuri mashabiki kwa kuikosa hata hio top4.View attachment 2703581View attachment 2703582View attachment 2703583View attachment 2703584
Hao wachezaji wte ulowaweka hapo juu... walienda Chelsea kwa spenders wa hela na wakapata mafanikio...Van Persie it was an era of Sir Alex Ferguson na akashinda kombe...kipindi cha Sir Alex hata Arsenal walishinda EPL....nipostie picha ya post Sir Alex Ferguson mkiwa na kombe la EPL hapa...kwahyo usijifiche kwny hcho kichaka mkuu...tukubali mpira umebadilika ukitaka mafanikio toa mahela upate watu wakufanyie kazi na ndo tunachofanya Sasa...lakini vilevile uwe na kocha ambaye ni tactical master ndo maana City anatusumbua hapa na Klop kwa mbali....kwhyo ni suala la muda kutoka Sasa makombe yatakuja....tena I bet tutaanza kushinda EPL kabla hata ya nyny Manyumbu kwa sababu hamna mpira mnaoeleweka na wachezaji wenu wengi ni average players
Oya unajua Jana mmechezea kipondo au umeamkia huku ya kwenu huna habari yenunyie endeleeni kujitafuta tu ila suala la kuchukua Epl hilo msahau kabisa, mkijitahidi sana ni kila baada ya miaka 3 mtakua mnabeba mwanaFA.
Huyo Masterclass in failure yeye mwenyewe anatambua hilo tokea alivyokua ni mchezaji wa Asenyo mpaka sasa hivi baada ya kua kocha.
Kikubwa sisi mashabiki wa Soccertunawashukuruni na kuwapongeza sana kwa kutuonyesha burudani maridadi kabisa ya pira biriani na kutufurahisha kwa vyenga, pressing na overloading. View attachment 2703620
Hii pre-season yote sisi tunafanya warm up tu, ni mechi moja tu pekee ya pre-season ambayo kocha wetu aliweka wazi kabisa kua hatutaichukulia kama Warm up, nadhani hata na wewe matokeo ya hio mechi unajua yalikuaje.Oya unajua Jana mmechezea kipondo au umeamkia huku ya kwenu huna habari yenu
Mount anazidi kuingia kwenye list ya Sajili za kitapeli
Mount For Man United;
Games - 5
Goals - 0
Assists - 0
Two more games and we get our new 007
Tutakumbushana haya maneno mzee wa Antony Masebenenyie endeleeni kujitafuta tu ila suala la kuchukua Epl hilo msahau kabisa, mkijitahidi sana ni kila baada ya miaka 3 mtakua mnabeba mwanaFA.
Huyo Masterclass in failure yeye mwenyewe anatambua hilo tokea alivyokua ni mchezaji wa Asenyo mpaka sasa hivi baada ya kua kocha.
Kikubwa sisi mashabiki wa Soccertunawashukuruni na kuwapongeza sana kwa kutuonyesha burudani maridadi kabisa ya pira biriani na kutufurahisha kwa vyenga, pressing na overloading. View attachment 2703620
Hii pre-season yote sisi tunafanya warm up tu, ni mechi moja tu pekee ya pre-season ambayo kocha wetu aliweka wazi kabisa kua hatutaichukulia kama Warm up, nadhani hata na wewe matokeo ya hio mechi unajua yalikuaje. View attachment 2703640
kamsikilize Jana alivyolalama
Sisi tunawangoja Emirates tu tuoneshane makali, yule onana toka afike anatoboka tu
Na Mechi hiyo ni ManU vs Arsenal mkachezea kichapo😃Hii pre-season yote sisi tunafanya warm up tu, ni mechi moja tu pekee ya pre-season ambayo kocha wetu aliweka wazi kabisa kua hatutaichukulia kama Warm up, nadhani hata na wewe matokeo ya hio mechi unajua yalikuaje. View attachment 2703640
Tutakumbushana haya maneno mzee wa Antony Masebene
Una miaka mingapi huna EPL mkuu....maana unasema 20 Arsenal...ww ni mingapi mkuu...na unavyoona kwa hii squad yako ya talent za ukweli...lini unabeba EPLkwenye Epl Asenyo ni sawa tu na kidonda cha sukari kilichogoma kupona.
Miaka 20 bila Epl,
Miaka 7 mfululizo unashindwa kuingia top4,
Miaka zaidi ya milioni hujawahi beba kombe lolote la Ulaya,
Halafu na wewe unaforce eti ni Big team, tena bila aibu unataka uwekwe daraja moja na Liverpool, Man Utd, Chelsea na Man City.
Nyie ni level za kina Brighton, Aston Villa, Leicester City, Tottenham n.k
Haya hapa makombe ambayo Utd tumeshinda ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita.Una miaka mingapi huna EPL mkuu....maana unasema 20 Arsenal...ww ni mingapi mkuu...na unavyoona kwa hii squad yako ya talent za ukweli...lini unabeba EPL
Tavares is a gem.Pepe...Cedric... Tavares...yaani Hawa inakera mpk sasahv wapo sijui wanafanya nn
Hivi hyu Pickford ndo yule kipa wa Everton ama...kama ni yule kwa lipi hasa awe na uspesho huo wa kuwa hata kwny top 5....average goalkeeper
Kwa hicho kipindi cha miaka 10 united imetumia shilingi ngapi ili kupata hiyo FA moja ambayo katika miaka 10 Arsenal alijimilikishaHaya hapa makombe ambayo Utd tumeshinda ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita.
Weka na wewe makombe uliyoshinda miaka 20 iliyopita halafu uvae viatu vyetu uone kama vinakutosha.
English League Cup winner. 2022-2023
Europa League Winner. 2016-2017.
English Supercup Winner. 2016-2017
FA Cup Winner. 2015-2016
English Champion. 2012-2013