Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hyo fee Sasa wakifanikiwa kumchukua naanza kuona RW back up ya Bukayo Saka itakuwa ngumu kupatikana maana sidhani kama kutakuwa kuna spend ya almost
RW ni £40m tu haitazidi hapo ,Arsenal wameamua kuspend ,wigo wa kuspend ni mkubwa ,

Leo Chelsea wamesajili CB anaitwa Axel Disasi ,Nizar kinsela mwandishi wa standard sport anasema Arsenal walimuhitaji ila hawakutaka kulipa €45m

Hii inaonesha Kuna surprise zinakuja , sitashangaa tukiongeza RW ,RCB na GK ,

Arsenal ilishajiandaa kuja kutumia pesa bila kufungiwa pale ilipoondoa wenye mishahara mikubwa, na usipouzika unavunjiwa mkataba eg Ozil, auba , now Pepe anafata
 
Come May tutakuja kuulizana hapa...Chelsea na Hawa Tottenham ni mechi nyepesi kwa arsenal kuliko dhidi ya Brentford....Newcastle top 4 mloingia ni uzembe wa Tottenham na Liverpool...ninyi bdo Sanaa...mko karai moja na kina Chelsea na Aston villa huko....narudia tena na tena....mlichokipata mwaka jana hakitakuja kutokea tena karibuni...msahau
 

Nahifadhi hii kitu then nitakua nakukumbusha game after game. Game 19 mtakuwa mshapoteza game hazipungui 3 game ya 4, 8 mnapoteza
 

Mashabiki wa Arsenal wanao onekana kipindi cha mapumziko tu ila mechi zikianza wanapotea mazima. Wewe ndiyo wa kuibeza Chelsea ok sawa tupo hapa usije kimbia kama msimu ulioisha
 
Nahifadhi hii kitu then nitakua nakukumbusha game after game. Game 19 mtakuwa mshapoteza game hazipungui 3 game ya 4, 8 mnapoteza
Mganga njaa,,et shabiki la newcastle.

Mambo haiko hivyo kwenye ground.

Misimu nyie kuku mnatamba hata Arsenal ilikuwa mbovu.

Sasa tuna watu,, hatuna mawazo,
 
Nahifadhi hii kitu then nitakua nakukumbusha game after game. Game 19 mtakuwa mshapoteza game hazipungui 3 game ya 4, 8 mnapoteza
Kama unazungumzia game za Man U na Newcastle maana sijaangalia fixtures za msimu ujao...still bdo sina wasiwasi...tupoteze tusipoteze ila narudia palepale msimu ulopita tumejifunza tulipoteleza na turudi vipi...mazoea ya kwmba eti ilikuwa fluke msahaumsahau
 
Ila eti Newcastle kuwa big match au sijui title contenders msahau hata kuwa top 4 contenders msahau...bdo mna safari ndefu kimabadiliko sana...come May mtayakumbuka haya maneno
 
Hilo kwangu ni kama sio kombe mkuu , sioni umuhimu wake bora hata FA cup winner hata kama haupo top 6 unaenda Europa. Na carabao lilivyokaa huwa naona kabisa halina mzuka as fan kulifurahia
Kwahiyo united wanavyosema waliua na msimu bora kuliko liva, chelsea au Arsenal ni wanajifurahisha?
 
Upo sahihi hata hii pre season wanaunyaunya tu

Yule tonali mashabiki washaanza kuona Kama wamepigwa
 
Sheffield United and Arsenal have agreed a £5m deal for Auston Trusty. Personal terms are still to be agreed but shouldn’t be a problem.

[@DarrenSmithTWIF]
 
Arsenal will bid soon for Raya

(@FabrizioRomano )
Hawa Brentford nadhani wanatakiwa waturahisishie tumpate huyu maana Hawa si community project yetu Hawa? Kila season tunacheza nao preseason friendly Kwa miaka kibao Ili wapate mapato na kuwapa matactics.

Walivyofika premier league Bado tunaendelea kuwalea na wakipata chance wanatupiga, hawana utani. Kifupi tukefanikiwa kuwafanikisha. Tuseme hii timu nayo ni miongoni mwa mafanikio ya Wenger. Hivyo basi, wasitubanie.
 
Mashabiki wa Arsenal wanao onekana kipindi cha mapumziko tu ila mechi zikianza wanapotea mazima. Wewe ndiyo wa kuibeza Chelsea ok sawa tupo hapa usije kimbia kama msimu ulioisha
Sio mkongwe saaana umu ndani ila toka nijiunge umu sijawahi kukimbia kisa matokeo, kwan kuna timu isiyopoteza duniani?
 
Sheffield United and Arsenal have agreed a £5m deal for Auston Trusty. Personal terms are still to be agreed but shouldn’t be a problem.

[@DarrenSmithTWIF]
Pepe...Cedric... Tavares...yaani Hawa inakera mpk sasahv wapo sijui wanafanya nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…