CF ambao ukigusa Bei lazima ulie
[emoji599]Olie watikns
Astonvilla ameanza jipambanua Kama kambale , ananunua mchezaji had wa €60m ,anamnunua CB Kama Pau Torres,
Unapoenda kumtaka Watkins jiandae kwa €100m+ ,nakumbuka Arteta alimtaka Sana watikns kipind anafika Arsenal, aligomewa Sana lakin hakukaza kipind kile
[emoji599]Ivan Toney
Amefungiwa lakini ndio muda sahihi huu wakumnunua kwa Bei nzuri na kusubiri kifungo chake kiishe , but hatujui atakuwa kwenye kiwango gani, mpaka January timu zitapigana vikumbo kumnunua , kocha wa Brentford alisema mwez wa 4 kabla Toney hajafingiwa kuwa Bei yake ni £100m.