Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Castr

BREAKING: Liverpool are preparing a new bid for Roméo Lavia — around £42.5m guaranteed fee plus £2.5m add ons up to total £45m package


Liverpool want to be fast as Chelsea are still interested in Lavia.

Arsenal gone quiet as Thomas could now stay. [@FabrizioRomano]
 
Hawezi kuleta hizi takwimu humu.
 
Ukisema Chelsea ilikuwa imeoza basi isingeweza kuuza wachezaji wake kwenye timu nyingine
Chelsea ni kweli ilikua imeoza, navyosema chelsea namaanisha team ilikua haieleweki inacheza mfumo gani? Inacheza vipi kuuza kwa wachezaji ni kutokana na uko wanakoenda wanajua hii profile la mchezaji huyu akija kwangu atafit vizuri na atarudi kwenye kiwango chache ndo maana yangu iyo ya Chelsea kuoza.
 
️ | Bitello seems just like the player who would shock all the fans and be a great signing for the Gunners!


His game seems to have improved over the past 6 months, really gone up a level.


Arsenal to wrap up £7m deal this week according to Italian reports.
#afc
 
Spurs naona Zama zake zimeenda ,simuoni Top 5 , timu yao inazidi kupungua Sana makali

Hapa soon wanamuuza Kane

First eleven Yao ndio hii ,ukimtoa Malang Sarr hapo

Hojberg nae wanamuuza
 
Eish
 
Havertz ni hasara tayari kumbe?.
Ni Ozil aliyepoa na mvivu zaidi. Hana ubavu wa kukaba na kushinda challenge, sio mfungaji kucheza tisa, Hana spidi kucheza winger, so anaweza chezea namba 8 ila Sasa hatoweza defend kabisa hivyo anakua mzigo hasa kama Zinchenko atakua anapanda juu kushambulia.

Mimi nilipinga sana huu usajili tokea mwanzo sijui Arteta aliona Nini ambacho hatuoni? Inashangaza sana huu usajili
 
Against Arsenal, Barça will face the squad with the highest Transfermarkt value in the world.

sport
 
Alichokiona ww huwezi kukiona...ngoja msimu uanze acheze hata mechi 10 mfululizo then utaona Sasa alichokiona Kocha kwake hyo jamaa
 
Mbona keshacheza mechi kibao Chelsea na Germany the man is a liability mara kumi tungesajili Mason Mount ni better fit kwa Xhaka.

Tutarudi hapa December kujadili what went wrong na Kai
Si mara ya kwanza wachezaji ku flop pale Chelsea na wakaonekana hamna kitu ila walipokwenda timu zngine wakawa tofauti kbsa
 
️ | New Arsenal signing shocked by level of quality at the club.

New signing Declan Rice on life at Arsenal: “Yes, it's crazy (training with his new teammates). It's honestly crazy. I'm already seeing football in a completely different way.”

“You think you know football growing up and when you play, but when you meet managers like Mikel, you realise you don't really know anything about football.”
 
Ila Chelsea kweli ilikua umeoza yan Felix nae unamuweka kwenye wachezaji waliofanya vizuri msimu ulioisha??

Yan kwenye hao uliowataja walikua bora hakuna hata mmoja anaeweza kuingia kwenye kikosi cha top 10 ya last season.
Thiago Silva anaingia alikuwa bora sana last season as individual
 
Sikutaka nikujibu kama ulivyoniuliza hali kukuonesha kuwa Pochettino ni mzuri sana kwenye kuona mchezaji kumfanya awe bora ndio maana nimekutolea mifano mingi sio kama ulivyotaka wewe
Binafsi Pochinene kwenye kuendeleza vipaji sijawahi kuwa na doubt nae ,amefanya hivo akiwa soton , akaenda Spurs ndiye akaitoa level 1 kwenda nyingine had leo wapo hapa ,

Ndiye aliibua vipaji vingi Sana soton na Spurs akiwepo Harry Kane, n.k Kama Kane alishakataliwa Sana , pale Arsenal walisema kwa unene wake ule hawez kuwa forward .

Pochinene sijawahi kuwa na uhakika nae kwenye kukimbizana hasa mbio ndefu kwa Ligi Kama EPL
 
Mkuu sina chuki nae kabisa ananikera anavyokosaga magoal ya wazi, Kai angen'gaa lakini si kwa uingereza jamaa ni mayai mayai, slow, hajui kuficha mpira ila Mzuri kwenye kufanya movement ndani ya box kwenye hapa mbona utamkubali ila linakuja kwenye finish sio clinical finisher kwenya chance 8 atafunga 2
 
Kwenye movement ni hatari anafanya Sana

Ni kweli yupo lain laini na ndio Mjadala mkubwa umejengwa hapo

Nina matumaini nae sababu Øde alifika Arsenal akiwa mlaini laini na mijadala ilikuwa mingi Sana

Ilimchukua muda kuzoea

In term of talent Kai anayo , so naona ni muda tu atazoea

David Silva , Gundogan wamecheza LCM pale mancity lakin awali ilikuwa ngumu ukiwaona unaweza kusema watacheza kweli eneo Hilo, baadae walikuwa hatari eneo Hilo
 
NKETIAH TO CRYSTAL PALACE?

Palace wanamtaka nketiah Kama Jean Philip Mateta anaondoka

Itakuwa move nzuri Kama tutawauza wote Nketiah na Balogun
 
Maurizio Sarri kaja Chelsea akiwa hana historia yakushinda makombe lakini kaja kuwin akiwa na club yetu, kushinda makombe inagemea na ambition ya club, historian yake pamoja na uwekezaji wa kikosi kwenye team pamoja na ubora wa kocha mwenyewe, kama unaletewa wachezaji wazuri na unapata msukumo wa mashabiki wakuhitaji makombe kwanini ushindwe kuchukua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…