Kwani Brighton wanataka kiasi gani kwa caicedo?Bado nina mtazamo tofauti na wengine, binafsi £100m zilizotumika kwa Rice, zingetumika kwa Caicedo nisingekuwa na la kusema.
Kile chuma ni underrated lakini shughuli yake si ya kitoto
Chelsea itamchukua Caicedo tu nimeona Taarifa chelseafc imepanga kupeleka offer nyingine kwa Brighton kwa kweli Brighton hawana masiala akikwambia bei fulani inabaki kuwa hivyo hivyoKwani Brighton wanataka kiasi gani kwa caicedo?
Bei ni hiyo hiyo
Advantage nyingine ni utaifa wa rice
Unajua kwanini magwaya au Shaw lazima waanze pale unyumbuni?
Kila timu lazima iwe na idadi flani ya wazawa on the pitch, and on the squad
Fafanua tueleweKwani ujui kai ni hasara ya waziwazi
Msimu wake wa mwisho kafunga goal 9 kwenye mechi 30 utasemaje mchezaji Mzuri? na hapo kacheza kama no 9 na kwenye takwimu ya wachezaji walishindwa kutumia nafasi nyingi za goal yeye ni mmojawapo aliyeingia kwenye top 10 unamsajili vipi 65M? Chelseafc ameshukuru kweli hawakutegemea kama watamuuza kwa hiyo bei kulingana na kiwango kibovu alichooneshaFafanua tuelewe
Kai Havertz has never really settled in the Premier League. Signed by Frank Lampard in 2020. Chelsea changed manager to Tuchel.Wins Chelsea Champions League, has a crappy pre-season. Chelsea hires Potter and then back to Lampard. 4*coaches, 3 different styles in 3yrs.I am RelaxedMsimu wake wa mwisho kafunga goal 9 kwenye mechi 30 utasemaje mchezaji Mzuri? na hapo kacheza kama no 9 na kwenye takwimu ya wachezaji walishindwa kutumia nafasi nyingi za goal yeye ni mmojawapo aliyeingia kwenye top 10 unamsajili vipi 65M? Chelseafc ameshukuru kweli hawakutegemea kama watamuuza kwa hiyo bei kulingana na kiwango kibovu alichoonesha
Kwan chelsea nzima nan alikua na msimu mzuri na makadilio ya bei yake yangekua vipi kwa uyo mchezaji bora ndan ya chelsea?Msimu wake wa mwisho kafunga goal 9 kwenye mechi 30 utasemaje mchezaji Mzuri? na hapo kacheza kama no 9 na kwenye takwimu ya wachezaji walishindwa kutumia nafasi nyingi za goal yeye ni mmojawapo aliyeingia kwenye top 10 unamsajili vipi 65M? Chelseafc ameshukuru kweli hawakutegemea kama watamuuza kwa hiyo bei kulingana na kiwango kibovu alichoonesha
Unaweza ukajustify hoja yako lakini uwezi kunishawishi nimuone kai eti kafeli kwasababu ya kocha kwasababu ndiyo mchezaji alikuwa anacheza mechi nyingi na akaaminiwa na makocha wote pamoja na hivyo uwanjani hana impact anakupa performance mechi 2 mechi zinazofuata anacheza ovyo hana consistent kitu kilichokuwa kinatukera watu wengi ni kwamba hata acheze vibaya kiasi gani lazima amalize dk 90 na mechi zijazo atapangwa tena.Kai Havertz has never really settled in the Premier League. Signed by Frank Lampard in 2020. Chelsea changed manager to Tuchel.Wins Chelsea Champions League, has a crappy pre-season. Chelsea hires Potter and then back to Lampard. 4*coaches, 3 different styles in 3yrs.I am Relaxed
Time will tellUnaweza ukajustify hoja yako lakini uwezi kunishawishi nimuone kai eti kafeli kwasababu ya kocha kwasababu ndiyo mchezaji alikuwa anacheza mechi nyingi na akaaminiwa na makocha wote pamoja na hivyo uwanjani hana impact anakupa performance mechi 2 mechi zinazofuata anacheza ovyo hana consistent kitu kilichokuwa kinatukera watu wengi ni kwamba hata acheze vibaya kiasi gani lazima amalize dk 90 na mechi zijazo atapangwa tena.
Mchezaji wetu bora wa msimu uliopita alikuwa ni Thiago Silva pamoja na kuwa na msimu mmbovu kuna baadhi ya wachezaji walionesha viwango vizuri ukiachana na Thiago Silva kuna Enzo Fernandez, Bashichile,Fofana, Jaoa Felix na Reece James basi.Kwan chelsea nzima nan alikua na msimu mzuri na makadilio ya bei yake yangekua vipi kwa uyo mchezaji bora ndan ya chelsea?
Natural number ya kai ndio iyo aliyocheza Chelsea kwenye msimu wake wa mwisho??
Nipe takwimu sahihi za wachezaji waliotumia nafasi vizuri ndani ya Chelsea na wachezaji walioshindwa kutumia nafasi ndani ya chelsea.
Hutaki kukili tu kua chelsea yooooote ilikua mbovu kuanzia kwa wachezaji hadi makocha wote waliopita paleMchezaji wetu bora wa msimu uliopita alikuwa ni Thiago Silva pamoja na kuwa na msimu mmbovu kuna baadhi ya wachezaji walionesha viwango vizuri ukiachana na Thiago Silva kuna Enzo Fernandez, Bashichile,Fofana, Jaoa Felix na Reece James basi.
Ila Chelsea kweli ilikua umeoza yan Felix nae unamuweka kwenye wachezaji waliofanya vizuri msimu ulioisha??Mchezaji wetu bora wa msimu uliopita alikuwa ni Thiago Silva pamoja na kuwa na msimu mmbovu kuna baadhi ya wachezaji walionesha viwango vizuri ukiachana na Thiago Silva kuna Enzo Fernandez, Bashichile,Fofana, Jaoa Felix na Reece James basi.
Nikija kwenye point ya kai kwa kiwango kibovu alistahili hata 10M mchezaji ambaye ninaweza kusema kiwango hakikuwa kibovu ni jorginho sema mashabiki hawakumpenda ni kwasababu Hawajui mpira na hawakupendezwa na aina yake ya soka lakini kwa jicho la mpira Jorginho ni mchezaji mzuri
Mchezaji wao Bora kwa kila kitu alikuwa KAIKwan chelsea nzima nan alikua na msimu mzuri na makadilio ya bei yake yangekua vipi kwa uyo mchezaji bora ndan ya chelsea?
Natural number ya kai ndio iyo aliyocheza Chelsea kwenye msimu wake wa mwisho??
Nipe takwimu sahihi za wachezaji waliotumia nafasi vizuri ndani ya Chelsea na wachezaji walioshindwa kutumia nafasi ndani ya chelsea.
Hehehe rudia kusoma nilichoandikaKane, Delle Ali, son, Dembele, Ericksen, Dan rose and walker
Kwanza tulikuwa hatuna mbadala wa kai kama tungekuwa na striker wa maana hata wa kiwango cha kati Kai asingepata numberkitu kilichokuwa kinatukera watu wengi ni kwamba hata acheze vibaya kiasi gani lazima amalize dk 90 na mechi zijazo atapangwa tena.
kwa hiki ulichokiandika unazani ni kwanini? Makocha walikua wanarudia kumpanga tena na tena na tena??
Ukisema Chelsea ilikuwa imeoza basi isingeweza kuuza wachezaji wake kwenye timu nyingineIla Chelsea kweli ilikua umeoza yan Felix nae unamuweka kwenye wachezaji waliofanya vizuri msimu ulioisha??
Yan kwenye hao uliowataja walikua bora hakuna hata mmoja anaeweza kuingia kwenye kikosi cha top 10 ya last season.
Ila mwanangu mna chuki Sana na Kai asee , Mimi naamin katika kipaji chake since yupo Germany, kipind hicho tunasema huyu ndiye mbadala sahihi wa Ozil, wengine wanamfananisha na Thomas Muller ,Kwanza tulikuwa hatuna mbadala wa kai kama tungekuwa na striker wa maana hata wa kiwango cha kati Kai asingepata number
Jambo la pili makocha wanakuwaga na wachezaji wao pendwa mfano Maguire pamoja na kiwango kibovu still alikuwa anacheza