Mkuu,Na hii ni hatari, amecheza gemu nyingi mnoo ni vizuri apate sub ya uhakika au awe rotated Kila wakati otherwise yatamkuta ya Wilshere au Diaby.
Hiyo pesa tuliyoingia hasara kwa Havertz ingefaa tusajili RW kma ni Diaby au Olise n.k
Hapo kwa rice ajikaze kwa kweli naona kama trossard ama zinchenko ni bora zaidi yake, arteta angewajaribu hao kidogo, napenda midfielde mnyumbulifu, kama akihitajika beki wa kuingia ndani timber anaweka fanya hivyo kwa uoamde wa kulia, hapo saka ajiandae kuwa jeshi la mtu mmoja.First eleven yangu Hadi Sasa ya kuanza nayo EPL View attachment 2699206
Mkuu usha-conclude Kai ni hasaraNa hii ni hatari, amecheza gemu nyingi mnoo ni vizuri apate sub ya uhakika au awe rotated Kila wakati otherwise yatamkuta ya Wilshere au Diaby.
Hiyo pesa tuliyoingia hasara kwa Havertz ingefaa tusajili RW kma ni Diaby au Olise n.k
Trosaard kashaonekana anaiweza vzr Sana ,anaitendea hakiHapo kwa rice ajikaze kwa kweli naona kama trossard ama zinchenko ni bora zaidi yake, arteta angewajaribu hao kidogo, napenda midfielde mnyumbulifu, kama akihitajika beki wa kuingia ndani timber anaweka fanya hivyo kwa uoamde wa kulia, hapo saka ajiandae kuwa jeshi la mtu mmoja.
Kwa nafasi hiyo inabidi mchango wa kushambulia na kukaba uwe sawa sawa, kwenye kushambulia atupe kitu atleast kinachokaribiana na odegaardTrosaard kashaonekana anaiweza vzr Sana ,anaitendea haki
RICE hapo ni ili ku offer ulinzi, ujue timu yetu huwa inahitaji assurance tu kuanzia kwa ode ,saka ,Jesus ,Nelli , wakiwa na uhakika wa ulinzi na kuletewa mipira , wanafunga Sana
Arteta amesema hata Jana Kai atamtumia namba tofauti tofauti
Kuna mechi tunaweza ku switch 4-4-2 , Kai anasimama pale mbele double Strikers
Trosaard kashaonekana anaiweza vzr Sana ,anaitendea haki
RICE hapo ni ili ku offer ulinzi, ujue timu yetu huwa inahitaji assurance tu kuanzia kwa ode ,saka ,Jesus ,Nelli , wakiwa na uhakika wa ulinzi na kuletewa mipira , wanafunga Sana
Arteta amesema hata Jana Kai atamtumia namba tofauti tofauti
Kuna mechi tunaweza ku switch 4-4-2 , Kai anasimama pale mbele double Strikers
Yah ,kaongea Jana ,Arteta anaamini runs za Kai zitamsaidia Sana kuongeza magoliKwa nafasi hiyo inabidi mchango wa kushambulia na kukaba uwe sawa sawa, kwenye kushambulia atupe kitu atleast kinachokaribiana na odegaard
Kuna sehemu nimesoma humu jamaa kamquote arteta kuhusu xhaka ukisoma pale utajua xhaka alikiwa hatupi vitu vizuri saaan linapokuja suala la kushambulia.
Caicedo sio typical lone 6 tofaut na Rice , kingine Caicedo amekuwa na msimu Bora mmoja tofaut na Rice , idea ilikuwa kuwapata wote, mwisho wamewekeza kwa mmoja ,Bado nina mtazamo tofauti na wengine, binafsi £100m zilizotumika kwa Rice, zingetumika kwa Caicedo nisingekuwa na la kusema.
Kile chuma ni underrated lakini shughuli yake si ya kitoto
Ndugu yangu zitto junior mi nakukumbusha tu kwa nia njema, humu ndani Mateka hua haongelewi vibaya shauri yako, ukianza kuleta habari za Mateka kufukuzwa hili jukwaa utaliona chungu.Trust me alishindwa deliver msimu huu atatimuliwa, expectations zikiwa juu sana ndio unapofukuzwa.
Tofauti ni Msimu uliopita expectations zilikua chini ndio maana akaonekana ame over achieve but akishindwa sustain Hilo basi ndio mwisho wake.
Kaongelea kufukuzwa , uhalisia ni kwamba Arsenal hawana Sera ya kufukuzana ,ukiona umefukuzwa ujue umevuka mipakaNdugu yangu zitto junior mi nakukumbusha tu kwa nia njema, humu ndani Mateka hua haongelewi vibaya shauri yako, ukianza kuleta habari za Mateka kufukuzwa hili jukwaa utaliona chungu.
Kaongelea kufukuzwa , uhalisia ni kwamba Arsenal hawana Sera ya kufukuzana ,ukiona umefukuzwa ujue umevuka mipaka
Na unamfukuza Arteta Sasa hivi unamleta Nani ?
KSE wanampenda Sana Arteta usitarajie kusikia ujinga wakufukuzwa , 2020 alipoteza mech 3 mfululizo ,asubuhi wakampa mkataba mpya zaidi na kumuongezea mshahara
Walimtoa kutoka kuwa kocha ,had kuwa manager cheo kile kile Cha Wenger
Alikuta Thaman ya Arsenal imeshuka Sana ,na jamaa walikuwa hawana uhakika wa kuwekeza pesa ,Sasa hivi thaman ya klabu imepanda , na wanazidi kuwekeza Zaid na zaidi
Klopp pale Liverpool Kama Arteta Arsenal , Klopp miaka 7 ana EPL 1 , uliwahi sikia atafukuzwa ,ukimfukuza klopp pale unamleta Nan?
Arsenal wakimfukuza Arteta wamlete Nan? Conte tupaki Basi?7hag?
View attachment 2699508
Sidhan Kama jamaa ana mtazamo huo unaousema na sijaona sehemu kasema kahamia atleticondio maana nimemtahadharisha mapema ndugu yangu zitto junior asilete hizo story za kumfukuza Masterclass, anatakiwa ajue hapo Arsenyo Mateka ndio Alfa na Omega, habari za kumsema Kocha la boli jukwaa ataliona chungu hili shauri yake.
Kuna wakereketwa tayari wameshamkumbusha kua yeye ni mamluki alishahamia Atletico Madrid.