100 points > invisible.Kwamba kumaliza unbitten Ni rahisi kuliko kupiga points 100 we jamaa famasiala kabisa
Kuna muda mnajizima Sana data , tutawaunga bando hivo hivo100 points > invisible.
Sasa nyie mnatoa mdoroo yote yale unafikiri kumaliza na point 100 rahisi mashabiki wa Arsenal mnafurahisha kweli.
Centurion > invincibleKuna muda mnajizima Sana data , tutawaunga bando hivo hivo
Sir Fergie alisema hivi
I won thirteen leagues, but I was never near going through a season undefeated", the Scotsman said. Ferguson went on to add:
"The achievement (Invincible season), it stands aside- stands above everything else and it was Arsenal's"
sikieni hii kondoo inajidanya kuwa Arse88 haijawahi kushuka daraja. Ndio makondoo wenzio wanakudanganya huko vijiwe vy kahawa.Arsenal haijawahi kugombea nafasi hizo Wala kushuka daraja toka ianzishwe ,
Wewe subiri had mech ya 5 mtaanza kumjadili pochinene afukuzwe
Flano abaki hmu...mi namkubali...ni mtu ambaye unaona anatuponda sana lakini ukisoma psychology yake unaona kabisa anakubali kwmba arsenal tumerudi ulingoni rasmiFlano nenda jukwaa lenu mkajadili uuzwaji wa timu ,
Tunataka Wana arsenal humu tujadili timu yetu ,mipango kuelekea kupambania EPL na UCL
Kenge wa darajani ,Arsenal hajawahi na Hakuna dalili ya hata kugombea kushuka darajasikieni hii kondoo inajidanya kuwa Arse88 haijawahi kushuka daraja. Ndio makondoo wenzio wanakudanganya huko vijiwe vy kahawa.
Flano Hana Shida ,tatizo lake moja tu tunamjua ni nyumbu wakutukuka ,Ila akiona Kuna ujinga anateteaFlano abaki hmu...mi namkubali...ni mtu ambaye unaona anatuponda sana lakini ukisoma psychology yake unaona kabisa anakubali kwmba arsenal tumerudi ulingoni rasmi
Hii nzuri sana....na huo ndo uanamichezoFlano Hana Shida ,tatizo lake moja tu tunamjua ni nyumbu wakutukuka ,Ila akiona Kuna ujinga anatetea
Huyu jamaa nataka nifanye mpango mechi ya Emirates itakuwa ya nne ,nimtafute tuangalie nae wote mechi huku tunakula nyama pori
Hongera sana toobiter hapa umeongea kama mpenzi wa mpira sio kama shabiki wa Arsenal.Kwa kawaida dunia imeundwa kwa pande kuu mbili zinazokinzana,na vitu vyote ndani ya dunia nikama vinafata kanuni hii.mfano kinyume cha kufunga ni kufungua,kubana ni kuachia,magharibi kinyume chake mashariki,kaskazini ni kusini. Huu utofauti ndo unaleta ladha na uwiano.Forget about perfection.
Katika soka dunia imeshuhudia zama za wachezaji,makocha,philosophy of play na kila kitu kilikuwa na mpinzani waake.
Gurdiola anatazamwa na wengi kama shujaa wa kizazi hiki hasa wapenzi wa sex football.amepita barcelona kama kocha na kama mchezaji.Uzito wa jina la guardiola unatoka BRCELONA. Amevutia wengi na aina yake ya soka linalopendeza kwa macho wengine kama mashabiki,wachezaji na hata makocha.Inapendeza saana kumtazama kwa anachofanya na uanaweza dhani ni rahisi kufanya.
Lakini kuna upande wa pili ambao wengi hatuujui kuhusu guardiola hasa tangu akiwa barca na zaidi baada ya kutoka barca na style yake ya POSSESSION BASED STYLE OF PLAY.jamaa ameteseka na kuhangaika mno.
Swali ni wapi na nani kamtesa?
Guardiola ameteswa sana na watu wa COUNTER BASED FOOTBALL na WATU WA TRANSITIONAL FOOTBALL.hawa wamemnyima usingizi kote alikopita kuanzia barca,bayern hadi city kwa sasa. Haya mateso huwezi kuyaona kwenye ligi kuu bali utayaona UEFA. Jamaa ameteseka mno.Intermilan,chelsea,liverpool,man u,mardrid etc wamekuwa kama mzimu wanapokutana na timu zenye mapokeo ya guardiola.
Unataka kumcheka?hapana acha!!!.sio yeye tu kuna wenger na sasa arteta ameungana nao.ameteseka na atazidi kuteseka sana kama asipojitazama.
Tatizo la arsenal kwa muda wengi wamedhani ni kukosa quality tu,lakini kwangu mimi tatizo la arsenal ni UTAKATIFU.barca wanasumbuliwa na utakatifu,bayern walisumbuliwa na utakatifu na hata city ya guadiola bado ina shida ya UTAKATIFU.Transitional na counter football hazina utakatifu ziko phisical zaidi.style of play ya possession ya arsenal inawaandaaa wachezaji kuwa WATAKATIFU haziko brutal kama nature ya football.
Unajua kwanini guardiola amemleta halland?halland sio mchezaji wa possession based football.halland ni mchezaji wa counter na transitional football.kwanini yuko city? Pep amejitazama na akajiuliza kwanini tangu akiwa barca,bayern na city hapati matokeo muhimu UEFA licha ya kucheza soka zuri?.Akapata jibu,Akagundua anakosa ukatili.
Ukatili unaupata wapi? Jibu likaja kwa HALLAND.brutal,lethal and deadly.
Hampendi ila anajua anakitu anachokikosa.
Jesus,ednzeko,aguero,stering,silva,gundo na wengine wengi walimpa magoli ila hayakuwa MUHIMU, yaliyokuwa muhimu hayakuwa ya KIKATILI.
Ili ushinde UEFA unahitaji magoli MUHIMU na YA KIKATILI.forward katili anatengeneza HOFU kwa viungo na mabeki.Arsenal hatuna huyu mtu katili ila tuna wafungaji wa magoli ya kawaida.
Jesus,trossard,saka,martinell na nketiah wanakupa magoli ila hawakupi magoli muhimu wala magoli ya kikatili.kama kuna kitu arsenal inamiss ni killer striker.Ligi ni rahisi kubeba na forward tulionao ila sio uefa.
Guardiola kabadilika,wenger hakubadilika.arteta atabadilika?
Ligi inaanza tutaona mengi tusiyoyatarajia.
Unaweza dhani kwa sasa kikosi kimejaza quality,ni kweli.hata nyuma walikuwepo.ngoja nikukumbushe.unamkumbuka nasri,denlson,coquelin,fabrigas,carzola,rosisky,wilshere,diaby,sagna,clitchy,na wengine wengi?.walitengeneza nafasi za kutosha mno,walimiliki mno mpira na walikimbia sana.Unajua kwanini hawakubeba EPL au UEFA?
Angalia foward zao
Chamakh,gervinho,eduardo,podolsk,RVP,sanogo,arshavin,adebayo nk.
Wote hao walifunga magoli ila hayakuwa MUHIMU wala KATILI.
Pengine arteta atafanya jambo jipya.ngoja tuoneHongera sana toobiter hapa umeongea kama mpenzi wa mpira sio shabiki wa Arsenal.
Hichi ulichoongea kwa mpenzi wa Arsenal ni lazima atakubaliana na wewe kwa 100% ila ninaimani watakuja mashabiki wa Arseno (sio wapenzi wa Arsenal) watakuponda.
Arsenal miaka yote ninayoijua mimi hua wanacheza mpira mzuri wa burudani ila mwisho wa siku wanakosa matokeo kwa sababu tu ya kukosa clinical stricker au uchochoro wa mabeki, ila upande wa viungo tokea kipindi cha marehemu Wenger Arsenyo hawajawahi kua na viungo wabovu.
Una uhakika Arsenal haijawahi kushuka daraja au unatumia kipaji chako ch u Mc kubisha?Kenge wa darajani ,Arsenal hajawahi na Hakuna dalili ya hata kugombea kushuka daraja
Last season Kama sio point za Tuchel ,Sasa hivi mngekuwa championship na kina waycombe wanderas, kina Wimbledon , shukuruni Sana zile point za Tuchel alizowaachia kabla hamjamfukuza
Nakushangaa Sana unakuja kupiga kelele humu ,
Mwaka gan Arsenal alishuka daraja?Una uhakika Arsenal haijawahi kushuka daraja au unatumia kipaji chako ch u Mc kubisha?
Kwa taarifa yako Arse888 ilishawahi kushuka daraja. usibishe kwa kitu usichokijua, hiv kwanza unajua Arsenal kabla ya kuitwa Arsenal ilikua inaitwaje? Tuanzie hapo
Nimekuelewa mkuu ,tatizo Sasa tupo kwenye Zama ambazo Hakuna ma CF wengi,Kwa kawaida dunia imeundwa kwa pande kuu mbili zinazokinzana,na vitu vyote ndani ya dunia nikama vinafata kanuni hii.mfano kinyume cha kufunga ni kufungua,kubana ni kuachia,magharibi kinyume chake mashariki,kaskazini ni kusini. Huu utofauti ndo unaleta ladha na uwiano.Forget about perfection.
Katika soka dunia imeshuhudia zama za wachezaji,makocha,philosophy of play na kila kitu kilikuwa na mpinzani waake.
Gurdiola anatazamwa na wengi kama shujaa wa kizazi hiki hasa wapenzi wa sex football.amepita barcelona kama kocha na kama mchezaji.Uzito wa jina la guardiola unatoka BRCELONA. Amevutia wengi na aina yake ya soka linalopendeza kwa macho wengine kama mashabiki,wachezaji na hata makocha.Inapendeza saana kumtazama kwa anachofanya na uanaweza dhani ni rahisi kufanya.
Lakini kuna upande wa pili ambao wengi hatuujui kuhusu guardiola hasa tangu akiwa barca na zaidi baada ya kutoka barca na style yake ya POSSESSION BASED STYLE OF PLAY.jamaa ameteseka na kuhangaika mno.
Swali ni wapi na nani kamtesa?
Guardiola ameteswa sana na watu wa COUNTER BASED FOOTBALL na WATU WA TRANSITIONAL FOOTBALL.hawa wamemnyima usingizi kote alikopita kuanzia barca,bayern hadi city kwa sasa. Haya mateso huwezi kuyaona kwenye ligi kuu bali utayaona UEFA. Jamaa ameteseka mno.Intermilan,chelsea,liverpool,man u,mardrid etc wamekuwa kama mzimu wanapokutana na timu zenye mapokeo ya guardiola.
Unataka kumcheka?hapana acha!!!.sio yeye tu kuna wenger na sasa arteta ameungana nao.ameteseka na atazidi kuteseka sana kama asipojitazama.
Tatizo la arsenal kwa muda wengi wamedhani ni kukosa quality tu,lakini kwangu mimi tatizo la arsenal ni UTAKATIFU.barca wanasumbuliwa na utakatifu,bayern walisumbuliwa na utakatifu na hata city ya guadiola bado ina shida ya UTAKATIFU.Transitional na counter football hazina utakatifu ziko phisical zaidi.style of play ya possession ya arsenal inawaandaaa wachezaji kuwa WATAKATIFU haziko brutal kama nature ya football.
Unajua kwanini guardiola amemleta halland?halland sio mchezaji wa possession based football.halland ni mchezaji wa counter na transitional football.kwanini yuko city? Pep amejitazama na akajiuliza kwanini tangu akiwa barca,bayern na city hapati matokeo muhimu UEFA licha ya kucheza soka zuri?.Akapata jibu,Akagundua anakosa ukatili.
Ukatili unaupata wapi? Jibu likaja kwa HALLAND.brutal,lethal and deadly.
Hampendi ila anajua anakitu anachokikosa.
Jesus,ednzeko,aguero,stering,silva,gundo na wengine wengi walimpa magoli ila hayakuwa MUHIMU, yaliyokuwa muhimu hayakuwa ya KIKATILI.
Ili ushinde UEFA unahitaji magoli MUHIMU na YA KIKATILI.forward katili anatengeneza HOFU kwa viungo na mabeki.Arsenal hatuna huyu mtu katili ila tuna wafungaji wa magoli ya kawaida.
Jesus,trossard,saka,martinell na nketiah wanakupa magoli ila hawakupi magoli muhimu wala magoli ya kikatili.kama kuna kitu arsenal inamiss ni killer striker.Ligi ni rahisi kubeba na forward tulionao ila sio uefa.
Guardiola kabadilika,wenger hakubadilika.arteta atabadilika?
Ligi inaanza tutaona mengi tusiyoyatarajia.
Unaweza dhani kwa sasa kikosi kimejaza quality,ni kweli.hata nyuma walikuwepo.ngoja nikukumbushe.unamkumbuka nasri,denlson,coquelin,fabrigas,carzola,rosisky,wilshere,diaby,sagna,clitchy,na wengine wengi?.walitengeneza nafasi za kutosha mno,walimiliki mno mpira na walikimbia sana.Unajua kwanini hawakubeba EPL au UEFA?
Angalia foward zao
Chamakh,gervinho,eduardo,podolsk,RVP,sanogo,arshavin,adebayo nk.
Wote hao walifunga magoli ila hayakuwa MUHIMU wala KATILI.
Bila mataji mkuu?
Wewe umeshaona yaliyo mbele miaka 20+?Bila mataji mkuu?
Nimehoji tu kujua kama anaweza kuvumiliwa miaka 20+ bila mataji?Wewe umeshaona yaliyo mbele miaka 20+?