Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna mtu atakuja na Gazeti akisema tunajikweza,

When Arsenal bid for Caicedo in January, the man wrote to Brighton begging for a transfer

Plastic clubs are realising you don't get Arsenal 100 years of influence with oil & gas
 
Zinchenko moja ya wachezaji mafundi niliowaona

Arsenal ili iflow vizuri ,mashambulizi mengi angle zote ,Basi lazima kuwe na vyanzo viwili ,

Thomas Partey na Zinchenko

Ndani ya dakika 5 watapiga pass za mbele 20 , kwanini wale watoto kule mbele wasikudhuru ?

Kayle Walker aliwahi ulizwa ni mchezaji gani technical akasema wapo wengi lakini Zinny ni habari nyingine

Zinny ndiye ana unlock our midfield kwa kupata mipira mingi ,

Weakness yake ya defense ni ndogo ukilinganisha na faida zake nyingi ,

Lineup itakapokuwa na Partey x Zinny , LCM akicheza Rice au Kai , tutaona ile sex football, mwalimu bado anatafuta balance ya Rice Kai na Øde ,na ndio midfield ya Ndoto yake .

Kama Arteta ningetaman aichezeshe Tena vs Barcelona walau dk 45 tu wazidi kuzoeana ,

Kwasasa First eleven ya kuingia nayo EPL ni hii
 
Ule mkataba aliosaini niliona kabisa anaenda kujipiga pini mwenyewe.
 
Barca tumchape ata goals mbili Kama salamu za kuanza ligi
Ikitokea tunarudiana na nyumbu, nitaombea tufungwe Tena.
Sijui unanielewa? jinsi gani tucheze na akili za mjinga ili ajione yupo vizuri
 
Kitu pekee mnajivunia Arsenal ni golden Epl ambayo mlimaliza na madroo kibao
.

Unpopular opinion:Manchester City iliyomaliza na pointi 100 ni kali kuliko Arsenal ya invisible
Kwamba kumaliza unbitten Ni rahisi kuliko kupiga points 100 we jamaa famasiala kabisa
 
Barca tumchape ata goals mbili Kama salamu za kuanza ligi
Ikitokea tunarudiana na nyumbu, nitaombea tufungwe Tena.
Sijui unanielewa? jinsi gani tucheze na akili za mjinga ili ajione yupo vizuri
I wish tujaribu hizi midfield mbili ya kuanzia ligi

Rice Partey Ødegaard

Ya kuendelea kutafuta wazoeane

Kai rice Øde

Dawa ya nyumbu ipo karibu ,wanakuja Emirates mechi ya 4 tu ,
 
I wish tujaribu hizi midfield mbili ya kuanzia ligi

Rice Partey Ødegaard

Ya kuendelea kutafuta wazoeane

Kai rice Øde

Dawa ya nyumbu ipo karibu ,wanakuja Emirates mechi ya 4 tu ,
Barca sio wahuni Kama unyumbuni Kule, display ya mpira itakua nzuri na ya kuvutia

Naiman Kuna kitu tutakiona hasa attacking force yetu na dynamic flows

Ni kipimo kizuri kuangalia technical analysis ukicheza na Barca, Madrid au city
kuliko kwa nyumbuzi, kikundi Cha wahuni walioamua kubutua butua mpira
 
Yah manjesta walisema kabisa mech sio ya kirafiki

Walitaka kumvunja saka asee ,Arteta alipanik Sana

Magwaya ndio anaparamia watu kurudisha namba yake


Barcelona vs Arsenal itakuwa mech nzuri Sana , Barca wanacheza mfumo the same na sisi kila kitu
 
Yeah, 20+ years plus enough kwa kutembeza FIMBO ulaya
Nimeona sehemu alipondoka Wenger ,Walitaka wampe timu pale pale Arteta , wakahofia experience , nahisi hata move ya kwenda kwa Pep ni ujasusi

Pep anasema Arteta hakuwahi kushangilia Arsenal ikifungwa , na alikuwa anaumia Sana

Emery alikuwa Kama day worker tu ndio maana hawakumuamin hata kumpa madaraka ,

Arteta mtoto mdogo now wamempa madaraka makubwa ,anaingia kwenye bodi ya timu ambayo ina watu almost 10 tu, humo hata kumfukuza unaanzaje
 
We scored almost 120 goals in all comps too.

With Jesus kukosa miez mitatu na bado alifunga goals 11 assist 5

Je siokwamba Mjadala wa kuongeza CF ni kumu underrate Jesus?

Kazi aliyo nayo mwalimu ni kuiweka sawa Midfield , fitness ya Jesus imerejea , naiman atatupa Goals 20 all competition zinatosha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…