Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Namuangalia Liverpool hapa , kazi anayo asipongeza depth ya kikos ,asipotafuta DM , Lakin pia anahitaji muunganiko wa haraka kwenye midfield , VVD ,matip umri unawatupa mkono

Bado siamin Kama Liverpool ni title Contender Kama hataongeza wachezaji wanne zaidi

Mwisho wa dirisha nitajua baada ya usajili wake kukamilika
 
End 4-4

Beki Yao bado inacheza like last season,
 
“The idea is to be more unpredictable every year."

Mikel Arteta now boasts an #AFC squad brimming with options, and a tactical fluidity aimed at flummoxing anyone they face.

@JordanC1107

theathletic.com/4697660/?sourc…


 
Tafuta tafsiri ya neno USHABIKI
 
Pesa ya kumsajili Mbappe pamoja na huo mshahara wake wa mwaka mmoja inatosha kabisa kununua mid table team kama kaArsenyo.View attachment 2697889
manjesta bhana ,sindio nyie mmefilisika , how comes klabu inayojitanabaisha tajiri inashindwa kununua wachezaji wakueleweka inaenda kuokota kina Weghost ambaye hata Burney walimshindwa

Manjesta katika historia yenu hamjawahi nunua mchezaji zaidi ya £100m+

Na Graza hawauzi Tena timu,wameshawadanganya ,mkija kushtuka mnagombea top 6
 
Walikua wanaakwambia we don't play friendlies. Eti hii ni war hakuna mechi ya kirafiki ya Arsenal vs Man U😃. Wakaweka full mkoko baada ya kichapo wanasema tulikamia.
Itabidi mtuzoee tu mkuu. Huo full mkoko unaolalamika, sisi kwetu ndo kikosi cha majaribio hicho. Mtuzoee tuuu.

Au unataka turudi enzi hizi chini??
 
Ambacho sielewi ni Mbappe ana nini cha kufanya hii klabu iwe ina tabia za vilabu vya bongo.

Alitaka kuondoka mwanzo wakalazimisha asaini mkataba imefika sasa hivi wanalazimisha tena asaini.

Mchezaji hataki kubaki si umuachie? Walimkabidhi mpaka timu na bado anataka kuondoka.
 
View attachment 2697981View attachment 2697982Hapa the gunners, Kroenke anaweza kuinunua hiyo PSG yote, sio mbappe tuuu. Na change inayobaki tunainunua nyumbuz f.c af tunaigeuza timu ya rede.Piga spana piga spana
Huyo hawez kuelewa,mpira kwa ulaya umedhibitiwa kwa FFP,

Saudia au hata bongo Hakuna FFP, zingekuwepo huenda kina Simba na Yanga wangekuwa Wana bajet ya usajiri million 200
 
Mazungumzo kati ya Brighton na Chelsea kwa Moisés Caicedo yanafahamika kuwa yamefikia pabaya na yamekwama.

[@JacobSteinberg]



Brighton walitukazia Sana January tulipofika £70m tunataka kutia mzigo wakasema hivi hamuelewi NOT FOR SALE

Akili Yao yote ,dirisha kubwa watapata £100m, Chelsea kagoma akili zimewakaa sawa dirisha hili tabia za kukurupuka ,kuhijack deals za watu ziliwapeleka 12th


Nikionacho Brighton wasipomuuza Sasa ,watakuja kumuuza kwa Bei ya kawaida Sana
 
Wakimbakiza watakuwa hawajamtendea haki maana walimuahidi kumuuza dirisha hili ndo maana akasainj mkataba mpya Ili klabu ije kufaidika na mauzo yake...wamuuze tu hata kama 100 haitafikiwa
 
Wakimbakiza watakuwa hawajamtendea haki maana walimuahidi kumuuza dirisha hili ndo maana akasainj mkataba mpya Ili klabu ije kufaidika na mauzo yake...wamuuze tu hata kama 100 haitafikiwa
Wachezaji wenye rangi nyeus tuna shida Sana

Aliandika had barua na kulalamika kwenye media kuhusu maisha Yao ,akaomba aachiwe aje ARSENAL, akabaniwa , means dirisha hili wangemuuza kwa Bei ya kawaida angesepa ,akasaini miaka mitano kwa watu waliokubania usiondoke

Mwenzie Mac Allister alisain akaweka release clause ya £35-50m nadhani ,


Kwenye hili swala nimegundua mchezaji ndio hajielewi
 
Ilibidi asisain kabisa, unajua kabisa nikisain kwenye bargaining za clubs itakua kipengelea

Tena waliokubania, unasain mikataba nao Tena

Msimu ujao tunabeba kwa 50 huyo Wala usiwaze
 
Kufungwa na timu mbovu kama Man u binafsi naamini either ni kukosa balance au overconfidence ni dhambi kwa Arsenal hii kufungwa na timu kama Man u, Chelsea au Liverpool.
naona kondoo mnajitekenya wenyewe
Watasema tuna arrogance, but huo ndio uhalisia but I understand what u say ,
Tunajua nyie ndio mabingwa wetu wa EPL 2023/2024 dunia nzima inajua mana Arse88 nyie ndio mna kocha mwenye mbinu, makocha wengine hawana. Mna mabeki wanaojua kuzuia timu nyingine hazina, mna mido zinajua kuoffload na kuoverload timu nyingine hakuna.

Kiufupi Taito kontenda ni Arse88 wenyewe,Hivi ikatokea mkakosa ubingwa mchawi anaweza kua nani?
 
Toka chelkenge ishike 12th na iwe timu yakugombea kushuka daraja ,hata akili zako nazo zimekuwa zakushuka daraja

Akili zako zipo mid table ,haukawahi kuwa sawa
 
Ilibidi asisain kabisa, unajua kabisa nikisain kwenye bargaining za clubs itakua kipengelea

Tena waliokubania, unasain mikataba nao Tena

Msimu ujao tunabeba kwa 50 huyo Wala usiwaze
Ndio maana nasema akili Hana ,sisi weusi tuna shida mahali

Dirisha lilivyofungwa akasain ,bila kuweka release clause akakubaliwa kwa mdomo ataachiwa

Mac Allister yeye aliweka Release clause nyepes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…