Kwan manjesta imekaa miaka 6 bila kombe hata la uji na mnasema ni timu tajiri dunianimost valuable squad inawasaidia nini ikiwa huu ni mwaka wa 20 bila Epl na tokea kuumbwa kwa dunia hamjawahi kushinda kombe lolote la ulaya sio conference, Europa wala Uefa?
#Poor Arsenyau
Fofana ni bonge la mchezaji mkuu, mudryk ni mchezaji Mzuri ndio maana mpaka Leo roho inawauma kumkosa na kizuri zaidi anakutana na kocha wa ball Maurizio PotenshinoHamtaki au hamna pesa ?
Mbona mlinunua magarasa kina fofana 80, mud 100, Rahim 50, n.k
Kumbe mnaumiaAcha kutafuta uwiano wakati ulikua unatapatapa hapa mara man u wasilete wachezaji mara atateta arushe nini watakaookata ndiyo waanze. Baada ya kufungwa misumali miwili ohoo tunatafuta uwiano.
Uwiano by footpole sana inauma lakini
Walikua wanaakwambia we don't play friendlies. Eti hii ni war hakuna mechi ya kirafiki ya Arsenal vs Man U😃. Wakaweka full mkoko baada ya kichapo wanasema tulikamia.Acha kutafuta uwiano wakati ulikua unatapatapa hapa mara man u wasilete wachezaji mara atateta arushe nini watakaookata ndiyo waanze. Baada ya kufungwa misumali miwili ohoo tunatafuta uwiano.
Uwiano by footpole sana inauma lakini
Kwahiyo Sasa mna timu ya ubingwaWalikua wanaakwambia we don't play friendlies. Eti hii ni war hakuna mechi ya kirafiki ya Arsenal vs Man U. Wakaweka full mkoko baada ya kichapo wanasema tulikamia.
Walikua wanaakwambia we don't play friendlies. Eti hii ni war hakuna mechi ya kirafiki ya Arsenal vs Man U. Wakaweka full mkoko baada ya kichapo wanasema tulikamia.
Sisi hatuna ubingwa ubingwa mtachukua nyie wazee wa kupress, ku-overload na ku-invert 😃. Eti We don't play friendlies mkaambulia kichapo. Ila West Ham mungu anawaona wakatupiga bei yote ile kwa Rice.Kwahiyo Sasa mna timu ya ubingwa
Hiz kelele ndio zilifanya pale Emirates tuwageuze Kama namungo
Mimi nacheka maana najua bado mna timu mbovu ,ila haya matokeo yatawadanganyeni
Soon nitawakumbusheni
Yaan mnaumia Sana,mnataka tufanane kwenye kupigwaSisi hatuna ubingwa ubingwa mtachukua nyie wazee wa kupress, ku-overload na ku-invert. Eti We don't play friendlies mkaambulia kichapo. Ila West Ham mungu anawaona wakatupiga bei yote ile kwa Rice.
Na hii itawadanganyeni mna timu Bora kumbe hata Astonvilla anawazid quality had kochaWest Ham wakatuzuuia ubwabwa (Rice) kwa bei ya Boeing. Tukauziwa na mbao (Timber) kwa bei ya Bombardier.
The same to nyumbu wanaamini 7 hag ni kocha wa total footballUtakua pimbi kama unaamini Pochettino ni kocha wa kucheza possession football itakayowapa wachezaji wenu muda wa kufanya 1,2 au kumnyanyasa mpinzani
Hata mashoga wanaanzaga hivi hiviLaana fc mkimaliza top 4 nipigwe Ban LA mwaka