Ødegaard alifika alikuwa anasemwa ni legelege na lain Sana ,alikuwa the same to KaiKati ya Martin na Kai mmoja wapo inabidi akubali kuongeza uwezo wa kudefend, so awe anajua kutrack, tackling both sliding na standing na awe na pumzi ya kupanda na kushuka.
Na kila tukiangalia hapo ambaye anaweza yote hayo atakua Martin, Kai sijawahi ona kama ana uwezo huo.
Anyway, mtandaoni kuna troll nimeiona nimnecheka
"Arsenal bought Rice and Timber but it is Man United who is cooking"
Jesus amekuwa underrated SanaKuna mtu anampinga Jesus humu? Atakua haangalii mechi anasubiri aangalie matokeo Fotmob
Wewe unadhani hiyo ni sport extra ya Dauda ? hata hivyo picha hauoni ?Chanzo Sport extra [emoji1787]
Aliyewaita nyumbu hakukosea
Yaani mechi za majaribio mshaona mna timu ya ubingwa
Sancho ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Anthony masebene ni best RW
Sasa hivi kelele za Grazzer out hatuzisikia ,na Grazzer family wanavyojua kucheza na akili zenu timu haiuzwi Tena
Mkija kushtuka Sancho ana goli 3 msimu mzima , Anthony masebene goli 5
Mnaanza kuimba Grazzer out
Yaan umekaa unaleta udaku ,Wewe unadhani hiyo ni sport extra ya Dauda ? hata hivyo picha hauoni ?
Watu wamechoka False hopes huyo aliyepigwa atakuwa kama wewe sasa wenzake wamechoka kufanywa makondoo akaamua ampe kipondo..View attachment 2697473
Chelsea kama kawaida yao, wameshaingilia dili la Kudus ..! hawataki Arsenal tusajili kwa amani hawa jamaa [emoji23][emoji23]Club is very keen on Kudus. Let’s see what happens. There’s dialogue with all parties now.
Natunamchukua soon natunafurahia namna jinsi tulivyowapiga kwa kaiChelsea kama kawaida yao, wameshaingilia dili la Kudus ..! hawataki Arsenal tusajili kwa amani hawa jamaa [emoji23][emoji23]
Mchukueni tu, sisi tutapata options zinginezoNatunamchukua soon
Nyinyi siku hizi mmekuwa mnapigwa angalia kwa kai na RiceMchukueni tu, sisi tutapata options zinginezo
Mnataka muwe mnapigwa nyie wenyewe kila siku? kupigwa kwa zamu mkuuNyinyi siku hizi mmekuwa mnapigwa angalia kwa kai na Rice
Sisi hiki kitu atutaki kwa msimu huu ndo maana tunaogopa kusajili kwa pesa kubwa hadi sasa tumesajili wachezaji sio kwa pesa kubwa na tupo kwenye mazungumzo na Brighton kutupunguzia bei ya CaicedoMnataka muwe mnapigwa nyie wenyewe kila siku? kupigwa kwa zamu mkuu
Hamtaki au hamna hela?Sisi hiki kitu atutaki kwa msimu huu ndo maana tunaogopa kusajili kwa pesa kubwa hadi sasa tumesajili wachezaji sio kwa pesa kubwa na tupo kwenye mazungumzo na Brighton kutupunguzia bei ya Caicedo
Mkuu ushasahau kwamba Chelsea ndio team iliyoingiza pesa nyingi hadi sasa kuliko team yoyote pale epl kwa kuuza wachezaji wengi tumepata more than 300M paund tumeuza kai,Mount,kovacic,Pulisic,Kante,koulibaly,Ruben Loftus cheek, edourd Mendy na Auba na bado tuna mpango wakuwauza Lukaku,Ziyech,odoi so tutapata tena hela nyingi so kwenye pesa hatuna shida mkuuHamtaki au hamna hela?
Kwahiyo Mudryk mlinunua kwa bei poa eeh...
Nyie hamna transfer policy mkuu [emoji23], hamna vision! hata hamjui nafasi gan hamna mchezaji.
Mkisikia tetesi Arsenal inataka kusajili ndo mnaanza kujiuliza , hee mbona huyu mchezaji mzuri afu bei poa? si atatufaa basi mnaingia jumla, hata hamjui mtamtumiaje.
Kocha ana yake, tajiri ana yake, yaani vurumai tu
Hapa kwenye jukwaa letu la Arsenyau ni mwendo wa kusifu na kuabudu tu, Jukwaa linaendeshwa kidikteta hili sijapata kuona, humu hamna uhuru wa kukosoa.Hatujakataa ila inabidi u invert new style of football analysis achana na majigambo yakupitiliza uwe unasema positive in a place to be said na negative sehemu sahihi why...???
1 inasaidia mtu kuona a true progress kwenye phase ya build up na sio tu kusema positive in a awful moment unakosea mpira ni mchezo wa makosa anae kosea inabidi awe criticized na anae patia apewe credit
2 embu pitia thread zengine jinsi hard die fans wake wanavo isifia na kui criticize team na form unatoka umejifunza jambo sasa kwanini iwe ni wewe humu hamiss wanakuimba..because we unachojua ni mnafanya best and mnatisha una aminisha umma wa humu mko na best team in the world ukija na evidence zako
(i) mko na team with the highest value na under age of 24-26 ukifikiri value na age ndio zinacheza vali ni ambitions quality na experience
(ii) una lilia personal mistake za wachezaji wenu zime wanyima ushindi... Remind you mpira mchezo wamakosa the same mistakes ndizo zilizo wakosesha ubingwa na ukizibeza eti ni personal mistake tu bro uefa kunawakatili uko just imagine mbappe yupo real na kane katua hapo bayern then kundi lenu ya uefa group liwe arsenal real bayern napoli au benfica ...tuseme ukweli hapo
(iii) unajificha kwenye build ya formation na team selection ukisema kwa mid ya kai ode rice au rice partey ode hapa amna team italeta team yake uwanjani japo kadri muda unavozidi kwenda tunaona kabisa hapo kati partey akiondoka ni uchochoro na tobo zito uwezi mtegemea rice kama lone dm ni ubakaji hapo kwenye kipa na beki sigusi maana....!!!
Lastly arsenal sio kwamba ni timu tushio hivo kusema kuna watu wataiogopa
Mark my words mi naona hawa wata challenge ubingwa msimu huu zaidi Liverpool man utd chealse pia na arsenal ila hao niliowataja hapo mwanzo usiwachukulie poa poa kaka
Less zaidi ya hapo ni man city anakuja kuji bebea tena ELP
Mpaka wewe unauzwa mkuu 🫣🫣Mkuu ushasahau kwamba Chelsea ndio team iliyoingiza pesa nyingi hadi sasa kuliko team yoyote pale epl kwa kuuza wachezaji wengi tumepata more than 300M paund tumeuza kai,Mount,kovacic,Pulisic,Kante,koulibaly,Ruben Loftus cheek, edourd Mendy na Auba na bado tuna mpango wakuwauza Lukaku,Ziyech,odoi so tutapata tena hela nyingi so kwenye pesa hatuna shida mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaaahhh adriz umezifanya mbavu zangu ziteseke.Wewe unadhani hiyo ni sport extra ya Dauda ? hata hivyo picha hauoni ?
Watu wamechoka False hopes huyo aliyepigwa atakuwa kama wewe sasa wenzake wamechoka kufanywa makondoo akaamua ampe kipondo..View attachment 2697473
Nyumbu hamjawahi kuwa na akili ,tutawapiga spana mpaka muweleweHapa kwenye jukwaa letu la Arsenyau ni mwendo wa kusifu na kuabudu tu, Jukwaa linaendeshwa kidikteta hili sijapata kuona, humu hamna uhuru wa kukosoa.
Ukimkosoa Arteta, mchezaji au Masingeli utaonekana ni mamluki au Mhaini, utashambuliwa na kupewa kila aina ya majina mabaya.
Atachosema Masingeli humu ndio alfa na Omega, ukimkosoa unapigwa marufuku hadi kumquote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#Poor Arsenyo
Kai ana poor finishing ujueØdegaard alifika alikuwa anasemwa ni legelege na lain Sana ,alikuwa the same to Kai
Mimi kwasasa ningependa kuona Kai akiingia taratibu kwa kikos ,au pia tukicheza 4-4-2 asimame pale mbele na Jesus ,Kama ilivyokuwaga Henry na bergkamp
Kai acheze Kama Second Striker
Shida mnayo.Mkuu ushasahau kwamba Chelsea ndio team iliyoingiza pesa nyingi hadi sasa kuliko team yoyote pale epl kwa kuuza wachezaji wengi tumepata more than 300M paund tumeuza kai,Mount,kovacic,Pulisic,Kante,koulibaly,Ruben Loftus cheek, edourd Mendy na Auba na bado tuna mpango wakuwauza Lukaku,Ziyech,odoi so tutapata tena hela nyingi so kwenye pesa hatuna shida mkuu