Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sio kwamba tunamshambulia. Tunamuongelea yeye mana ndio huwa anatufungaga kamba kila siku, kuwa Arse888 ni shallon soccer ya EPL na dunia nzima. Ifike mahali na nyie kondoo muamke usingizini sio kila siku tu awaburuze.

Arse88 sio timu mbovu ila pia sio timu kaaali kama anavyowaaminisha nyie kondoo kuwa hakuna timu wa kuifunga Arse88. hapo tu ndiko anakosea.
 
Hahaaa karibu mkuu hapa kama maji tu.hamiss77 piga spana hizi kuku za maji za man u
 
Asenyege wanahs wapo peke yao uwanjan. Wanahs n shadowboxing hii.
 

Nafikiri kapewa back up kubwa kuliko kocha yeyote arsenal, kichwa lazima kiwake moto.
Huyu kali havertz nisiseme sana tusubiri game kama 8 ivi tuone ila kuna dalili zote za arsenal kuwa wamepigwa hio 65 , arteta ana kazi kweli yaani ya kugombania big 4 na pia kuonyesha kuwa hela ya kai imeenda kwa halali maana tuliambiwa anataka kumrudisha kai kwenye position yake awe kama kai wa leverkusen ila asilimia kubwa ni arsenal kapigwa kwenye hilo dili
 

Hapo ndo huwa namshangaa huyu jamaa Hamis.
Baada ya kuwafunga MLS All stars, akaleta hadi head to head ya hiyo timu(MLS) na timu zingine za Ulaya miaka ya nyuma ila ku justify wao ni bora. Kabla ya mechi umetamba kinoma, baada ya kufungwa unaanza ngonjera na taarab.
Ujinga ni kudhani kwamba Arteta ana akili na anajua mpira kuliko makocha wengine pale EPL. Pengine ndio anachofikiria Hamis.
 
Pia inawezekana ukawa ni new member humu last season nilishawahi kumuonya Hamis games za Liverpool Manchester City Brighton na ukitaka ushahidi humu upo utatutafuta utauona mimi huwa ni Msema kweli Daima kuwa kwa sisi ambao tumecheza football
️ huwa inaongelewa kwenye pitch na sio kwenye karatasi na results aliziona akapotea miezi 2 humu!so ukisema unamtetea Hamis mteteee tu Ruksa but ukweli unafahamika
 
Yes games za Barcelona and Manchester City (hasa huyu maana tumefungwa na pep mfululizo nahisi kati ya games 12 vs PEP tumeshinda moja pekee)huyu tukimpiga na tukabeba community shield team itakuwa na confidence ya kutosha sana
Usajiri Jambo moja kuzoeana Jambo lingine
Kuna chemistry inabidi ikae sawa pale Kati for batter performance
Ndio maana fans wengi hadi legends wetu hawakupendezwa habari za partey kuondoa msimu huu. Yani tungekua Kama tunaanza upya

Kiungo: rice, ode na partey
Hapo kazi ni rice kuwazoea movements za hao wawili

Forward : Jesus, saka na martinel

Kai ni kilaka akitokea sub aingie Kama forward au sehemu ya ode/rice

Joginho sub ya partey

Hapo tuna trossad ambaye ni mzuri na mifumo ameshazoea,
Muweke winger au midfield

Nelson yupo vizuri as backup ya saka

Rowe amekuja na energy kubwa Sana

Hadi hapo Barca tukiamua kutafuta matokeo tunayapata
 

Ni ujinga huu huu ulimfanya Hamis ajiaminishe kwamba wakienda Anfield watampiga Liverpool endapo akicheza mpira wa kupishana nao, mwisho wa siku mkaambulia sare.
Ni ujinga huu huu ulimfanya Hamis atambe kwamba wakienda Etihad watampiga Man city afu watangaze ubingwa, kilichotokea almanusura wapigwe 6 au 7.
Hatukatai kwamba Arsenal ni bora, lkn hiyo haizuii timu nyingine kuwa bora.
Arteta kuwa kocha mzuri au kuwa na mbinu nzuri haiwafanyi makocha wengine wasiwe na mbinu.
These are two independent events
Sasa MC Masingeli anazunguka majukwaa yote kukebehi makocha wengine🤣🤣🤣🤣
 
FACT ukiangalia squad yetu sio mbaya tatizo kubwa naloliona ni FOCUS na huwa inatokea kwenye baadhi ya games for almost 4 years in a row hili limekua ni tatizo kubwa sijui ni kwa nini hasa kwenye Mid ,Defence na Goalkeeper kuhusu forwards zetu sina shaka nazo kabisa kabisa mf Gabriel Ramsdale Zenny White Partey hawa ni 11st eleven wetu ila concentration huwa ni tatizo tusipotibu hili tatizo hata kwa formation tofauti yatajirudia yale yale!
 
Wewe mbona unatokwa povu Sana

Kwahiyo unataka niseme tunafungwa ili ufurahi

Mnachonishangaza mnatokea pale Arsenal ikifungwa

Yaan unataka ni toxic na Arsenal ,never

Niliamini game nyingi tunashinda na nying tulishinda , wewe subiri tukipoteza ndio muwe mnakuja humu kubwabwaja
 
Kwamba!?

Mimi siyo deluded fan kama wewe. Arsenal kwa kikosi bado sana.
ni wachezaji wawili au mmoja tu ndio anweza kuingia first eleven ya Arsenal

Muda utaongea Mimi hata top 6 siwaoni mkiingia

Kama ile mech imewadanganya Basi mnakazi Sana

Last season pale OT mlivyoshinda nilisema tumecheza hivi makosa ya refa na makosa binafs ya Lokonga , ndio yaliwapa kiburi ,but tutashinda mech nyingi mbele na ndicho kilitokea

Mimi sio shabiki wakuishia kuangalia matokeo tu

Kushinda Jana ni sawa na kunguru kumnyea binadamu


Two own individual errors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…