Arsenal (The Gunners) | Special Thread

timu nzima imecheza ovyo kipindi cha kwanza.. makosa mawili ya ramsdale na GM6 ndio yameipa mabao ya kuongoza man utd.
 
Mimi naombea nyumbu washinde Leo waanze huu. Uchizi wao kujiita Tito Kontenda
Alafu wajisahau kuongeza watu, ili ile kwao vizuri[emoji1][emoji1][emoji1]
Mjinga mmpe cheo[emoji115]
Maana baada ya leo mtajihishi mpo fit, kumbe ni weupe

nyumbu kamieni mazoezi, namba mtaisoma vizuri kwenye ligi
 
Tunaambiwa Rice ni kiongozi uwanjani. Labda uongozi wa kuongoza vikao vya Zincheko vya kufundisha pressing, kuinvert RB LB, na kuoverload
View attachment 2696560

Hivi vikao tulishavikataaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani vikao haviishi hasa sijuiii huwa zincheko anawaambia nini embu fikiri game na Brighton zile 3 vikao vilikua jumla 4, kabla ya gemu na hivyo vya magoli 3[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kushtukiza wapi bhn. Sijui matokeo ya mwisho yatakuwaje ila first half man u wamecontrol mechi.
Give credit where it is due. Shida yako ni kwamba hutaki ku acknowledged hatua ambazo Man u imepiga.
 
Kamba mbili half time tayariii vikao 2 , tulisema hii timu ni upepo tu [emoji23][emoji23].
Sizioni hizo mara timber anaingia kati mara sijuiii zincheko maneno kibao mpira zero
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…