Ogopa mtu anayeona mapungufu au udhaifu wa wenzie tu na hajisikii kuwajibika kwa matokeo ya jumla ya timuKatika vitu sitamani kuona basi ni arsenal wakimsajili mbape.dogo ni tatizo
Bwana mponzi wewe ni shabiki wa arsenyani lazima uweke mapenzi mbele.Huyo jamaa ni shabik wa Chelsea
Combined XI anayeingia ni Martinez tu
Hakuna mchezaji wa manjesta ukitoa Martinez anaingia kikos Cha Arsenal
Wachezaji wenu wengi miguun Kama wamefungwa mawe wakipewa mpira
Fernandes vs odegaard, casemiro vs partey, shaw vs zinchenko, Martinez vs maghales. Sion kama hao wanapishana sana viwango afu ukizingatia arsenal tuna back up zao nzuri tu imagine kwa zinchenko yupo kiwior/tomiyasu/tierney. Kwa Partey tuna Rice/joginho/elnenyHapa Wenger orphans wamependelea kuwekwa hapa Ila bado wataanza kulia lia.
Hapa mwenye uhalali wa kuwa kwenye kikosi ichi Ni saka tu.View attachment 2696253
Hakuana mambo ya kuacha kumquote, kw kumquote sisi pia tunajifunanza mambo mengi anayotudanganya. Uzuri unaquote na mifano ya kutosha hata mtoto anaelewa. Sema hii misukule ndio imetia pamba masikioni.Nimemuelewa jamaa sita quote chochote, kwamba nimuelewe mchizi kama nguli wa kuchambua humu jfhuyu huyu rice alivyokuwa westham anasema ni mvunja kuni lakini kaenda arsenal uvunja kuni umepotea , mudryk anaitwa new neymar then kaenda chelsea anakuambia mudryk garasa hakuna mchambuzi anaweza kuwa na akili za kusema ivyoo, umaarufu utafutweJF, kweli ni akili ndogo zinaweza kuwaza hivyo.
Anyway false hope tutaendelea kuzikataa humu na spana tutazipiga akili ikae sawa
Anamzidi Uefa yeye anazo 5 partey zipo ngapi?Fernandes vs odegaard, casemiro vs partey, shaw vs zinchenko, Martinez vs maghales. Sion kama hao wanapishana sana viwango afu ukizingatia arsenal tuna back up zao nzuri tu imagine kwa zinchenko yupo kiwior/tomiyasu/tierney. Kwa Partey tuna Rice/joginho/elneny
Pamoja na yote nitakua wa mwisho kuamin Martinez anamzid Maghales uwezo, ata Casemiro sionagi anamzidi nn Partey ngoja labda nitakujaga kuelewa huko mbele
Kiwango chako Cha football ni finyu ,hapo wanajadili individual ,wewe unajadili mafanikio ya timuAnamzidi Uefa yeye anazo 5 partey zipo ngapi?
Wala hujakosea pale Arsenal , Magalhaes ni underrated Sana ,lakin kiuhalisia hakuna mchezaji wa manjesta naweza muweka kwenye timu ya Arsenal first elevenFernandes vs odegaard, casemiro vs partey, shaw vs zinchenko, Martinez vs maghales. Sion kama hao wanapishana sana viwango afu ukizingatia arsenal tuna back up zao nzuri tu imagine kwa zinchenko yupo kiwior/tomiyasu/tierney. Kwa Partey tuna Rice/joginho/elneny
Pamoja na yote nitakua wa mwisho kuamin Martinez anamzid Maghales uwezo, ata Casemiro sionagi anamzidi nn Partey ngoja labda nitakujaga kuelewa huko mbele
Hahaa sawa nimekupata mzeeAnamzidi Uefa yeye anazo 5 partey zipo ngapi?
Wala hujakosea pale Arsenal , Magalhaes ni underrated Sana ,lakin kiuhalisia hakuna mchezaji wa manjesta naweza muweka kwenye timu ya Arsenal first eleven
Nitawachukua Bruno na Martinez Kama sub
Hapa naongea kiufundi kabisa sio mapenzi
Huwez niambia nimuache nje Gaby Martinelli ,top scorer wa Arsenal nimuweke sijui Rashford ambaye msimu uliopita alikuwa kwenye peak
Unakuta mtu anamuweka Shaw ,mbele ya Zinny ,dah
Pale Arsenal chanzo Cha mashambulizi kwenda mbele huwa ni Zinny ,unani convince vipi akae nje kisa Shaw?
Casemiro huyu nishamuelezea Sana hata akiwa Madrid ,hakuwa anahusika kwa buildup,ni mafundi wawili kross na modric ndio wanahusika had Sasa,casemiro yeye kukaba tu ,Sasa now days casemiro huwez kumuweka kwa timu zinazotaka ku possess
Sasa utani convince vipi nimuweke nje Partey
Umeandika kishabiki mno, at least two Man United players could appear in a composite team
Ni mtazamo wangu ,nikizingatia tunavyocheza ,Umeandika kishabiki mno, at least two Man United players could appear in a composite team
Sijifurahishi ,mm Sion mchezaji wa manjesta wakuingia first eleven, kwa jins tunavyochezaMuache Mc ajifurahishe nafsi yake.
Muda wa binadamu kwenda kunyewa na kunguru unazidi kukaribiaArsenal dressing room at the Metlife stadium ahead of game vs Manchester United.
Look like Øde startView attachment 2696384View attachment 2696385
Muda wa binadamu kwenda kunyewa na kunguru unazidi kukaribia
Mc Hamis andaa tissues za kutosha za kujifutia kinyesi.
Ni mtazamo wangu ,nikizingatia tunavyocheza ,
Wachezaji gan hao wawili wataje , ambao wakiingia moja kwa moja watakupa ambacho waliopo hawakupi
haitakuwa habari Tukishinda
Ila itakuwa breaking news mkishinda