Arteta arushe jezi watakao Wai ndio waanzeKikosi gani unapenda kianze leoView attachment 2696158View attachment 2696160View attachment 2696161View attachment 2696162
Ndiyo maana nikawaambia tunawaanzishia Havertz. Huko mbeleni watakutana na MbappeMimi naombea nyumbu washinde Leo waanze huu. Uchizi wao
Alafu wajisahau kuongeza watu, ili ile kwao vizuri
Hii c minyumbu kwaio watajiona wamekamilikaNdiyo maana nikawaambia tunawaanzishia Havertz. Huko mbeleni watakutana na Mbappe
Havertz mzuri tu atawawekaNdiyo maana nikawaambia tunawaanzishia Havertz. Huko mbeleni watakutana na Mbappe
Mimi hamis77 nakushangaa sana yani Unataka uniambie hii ni arsenyani Kali kuliko zilizowai kutokea maana hata iyo Arsenal invincible mnayojivunia hawakuwai kutuchapa hata goal 4Hakuna Raha Kama kuwafunga manjesta
Na msimu huu mtatuchangia points 6 ,
Leo Kuna 4-0
Muhind kawaweka Kama underdog asee
Kwan hata manjesta hii ni sawa na hiyo ya miaka hiyo?Mimi hamis77 nakushangaa sana yani Unataka uniambie hii ni arsenyani Kali kuliko zilizowai kutokea maana hata iyo Arsenal invincible mnayojivunia hawakuwai kutuchapa hata goal 4
Nikuulize wewe hamis77 hii arsenyani ni Kali kuliko ile ya 2004?
Partey hakupi goal nyingi na asisst bora Rice awe juu na ode kuliko ParteyStatistically, Rice ndiye anatakiwa aanze chini halafu Partey na Odegaard waanzie juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa sio tunashinda unageuka tena kuwa hatuchezi mpira wa burudani maana wewe jamaa ni kigeugeu kweli Mara mmeshinda Ila mlikuwa mnakaa nyuma muda wote.Kwan hata manjesta hii ni sawa na hiyo ya miaka hiyo?
Kuanzia Sasa tegemea 4+
Believe me ,Degea alikuwa anawaokoa Sana ,Sion onana akizuia mafuriko
Hamna viungo wanaoweza kukaa na mpira ,Hilo tatizo kubwa Sana na litawakost
Bado nawaona mkitegemea Sana kaunta ,mipira kutoka kwa onana kuja Kati mfanye kaunta
Kwa mpira huo ,muda utaongea Ally ,
Arsenal hii ni mpya inafunga magoli kuliko hata ya kina Henry ,
Sasa sio tunashinda unageuka tena kuwa hatuchezi mpira wa burudani maana wewe jamaa ni kigeugeu kweli Mara mmeshinda Ila mlikuwa mnakaa nyuma muda wote.
Yani unatupangia na namna ya kucheza.
Kila mwaka mmekuwa mkicheza mchezo mzuri lakini hakuna jipya kwenu ni vichapo tu toka kwa baba yenu Wenger.dah
Hapana mm naiogopa timu inayoshinda kwa ku dominate mchezo maana ina uhakika wakushinda mechi nyingi
Hapa ndio unashindwa kunielewa, mwaka Jana nilifarijika Sana tulikuja OT pale kwenu mlishinda 3-1 lakin kwa mpira tuliocheza nilisema tutashinda mech nyingi mbele ,
Jifunzen kuchukua positive kwenye mechi ,sio kwamba timu mbovu haiwez kushinda vs timu Bora ,kubahatishwa kupo
Kama leo mtashinda na mpira mkubwa hiyo itakuwa sign mnaenda kugombea ubingwa na nitasema waziwazi ,
Kwahiyo sisi hatushind?Kila mwaka mmekuwa mkicheza mchezo mzuri lakini hakuna jipya kwenu ni vichapo tu toka kwa baba yenu Wenger.
Huyo jamaa ni shabik wa ChelseaHapa Wenger orphans wamependelea kuwekwa hapa Ila bado wataanza kulia lia.
Hapa mwenye uhalali wa kuwa kwenye kikosi ichi Ni saka tu.View attachment 2696253
Chelsea wameanza mazungumzo na Ajax juu ya kumsaini Mohammed Kudus...Arteta atafute winger mwingine...tajiri miluzi anavyozungushwa na Brighton hasira atazimalizia kwa AjaxHuyo jamaa ni shabik wa Chelsea
Combined XI anayeingia ni Martinez tu
Hakuna mchezaji wa manjesta ukitoa Martinez anaingia kikos Cha Arsenal
Wachezaji wenu wengi miguun Kama wamefungwa mawe wakipewa mpira
Hao wazee wakuvamia vamiaChelsea wameanza mazungumzo na Ajax juu ya kumsaini Mohammed Kudus...Arteta atafute winger mwingine...tajiri miluzi anavyozungushwa na Brighton hasira atazimalizia kwa Ajax
Na kocha wao nani?Hapa Wenger orphans wamependelea kuwekwa hapa Ila bado wataanza kulia lia.
Hapa mwenye uhalali wa kuwa kwenye kikosi ichi Ni saka tu.View attachment 2696253