arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Work permit ni mchakato mrefu sana kwani kwa wachezaji wanaotoka nje ya Europe???...Maana kuna kama mwezi mmoja na masiku kadhaa mpk dirisha likamilikeNasikia bitello wanaweza msajili wakamuacha Brazil maana Kuna Mambo ya Visa / permit mpaka mwakani
Kwa south America huwa naona wengine wanasubiri had January kabisaWork permit ni mchakato mrefu sana kwani kwa wachezaji wanaotoka nje ya Europe???...Maana kuna kama mwezi mmoja na masiku kadhaa mpk dirisha likamilike
Ila hii EAradio katika habari za michezo EPL wasipopunguza unazi wa unyumbuni hawatakaa wafike popote
Diaby kashakubari kujiunga na Aston villa, kakataa kwenda uarabuniAstonvilla na wapo kwenye bidding war na timu Fulani ya Saudia, kumchukua Diaby. It means Arsenal akiingia price yake itazidi kupanda
daah kuna radio kusikiliza hata huwezi pata kipya wanachochambua kabisa hasa hasa ligi za nje..Ila hii EAradio katika habari za michezo EPL wasipopunguza unazi wa unyumbuni hawatakaa wafike popote
Labda tuna option nyingine eneo hilo, yawezekana hata isiwe kudus akawa mwingine kabisa.Diaby kashakubari kujiunga na Aston villa, kakataa kwenda uarabuni
kwakuwa Arsenal hawakuwa serious nae ndo basi tena
Huyu smith rowe nikimuangaliaga nasuuzika sana roho...Mimi nakusisitiza tu last season nilikwambia we are going to be title Contender na ilikuwa hivo
Msimu huu mjiandae kutoa points 6 bila shuruti
Hatutaki Tena Mambo yakupotezeana muda
Kwa Midfield hii unaponaje
Ukisimama nchale ukikaa nchale
View attachment 2693674
Inawezekana maana Arsenal kwenye kusaka mchezaji likitoka jina Basi wanakuwa wapo advanced stageLabda tuna option nyingine eneo hilo, yawezekana hata isiwe kudus akawa mwingine kabisa.
Yaani Hii Timu Sasa Hivi Kila Nikiandaa First 11 Naona Nakosea,Yaani Sioni Wa Kumuweka Nje.Sasa Hivi Arteta Pale Dressing Room Ni Kurusha Tu Jezi Juu Atakayewahi Kudaka Huyo Huyo AnachezView attachment 2695064
🤣🤣🤣...tuoneshane makali siyo
Arteta amesema hataki kutabirika msimu huu ,
So kumbe tunaweza kucheza na back 4 ya Timber white Saliba na Magalhaes
Halafu tukiwa na mpira nyuma wanabaki watatu White Saliba Magalhaes
Hapo wote wapo comfortable na mpira hakuna fala
Timber anakuwa Kiungo anaungana na Rice, Øde
Kai anapanda juu anakuwa anacheza Kama Second Striker lakin pia Kama no.8 wa uongo na kweli ,Kai Kama Second Striker anakupa vitu vingi atawin mipira ya juu ambayo ni tatizo kwa Arsenal ,Kai ni mrefu kuliko mchezaji yeyote Arsenal ,
Huo ni mfano tu tunavyoweza kubadilika tofauti tofauti
Kuna combination nyingi tunaweza kuzitumia
Mfano kiungo Cha Partey Ødegaard na Rice
Kuna siku tutaweka wote Partey , Ødegaard,rice , zinchenko,timber ili tuoneshane makali
Kipepe anagoma kuondoka anataka nn??....Tumpate Kudus mapema tupumzike Sasa na usajili siyo kuwa roho juujuu tena....Balogun aende kama anataka kuwa faza bila kupigania namba
Arteta amesema hataki kutabirika msimu huu ,
So kumbe tunaweza kucheza na back 4 ya Timber white Saliba na Magalhaes
Halafu tukiwa na mpira nyuma wanabaki watatu White Saliba Magalhaes
Hapo wote wapo comfortable na mpira hakuna fala
Timber anakuwa Kiungo anaungana na Rice, Øde
Kai anapanda juu anakuwa anacheza Kama Second Striker lakin pia Kama no.8 wa uongo na kweli ,Kai Kama Second Striker anakupa vitu vingi atawin mipira ya juu ambayo ni tatizo kwa Arsenal ,Kai ni mrefu kuliko mchezaji yeyote Arsenal ,
Huo ni mfano tu tunavyoweza kubadilika tofauti tofauti
Kuna combination nyingi tunaweza kuzitumia
Mfano kiungo Cha Partey Ødegaard na Rice
Kuna siku tutaweka wote Partey , Ødegaard,rice , zinchenko,timber ili tuoneshane makali
Pepe ni mwehu ,katukosesha pesa ,kapata timu saudia ,anataka mshahara mkubwa ,wamempiga chiniKipepe anagoma kuondoka anataka nn??....Tumpate Kudus mapema tupumzike Sasa na usajili siyo kuwa roho juujuu tena....Balogun aende kama anataka kuwa faza bila kupigania namba