Msemaji wao Mc Hamis77 anawapotosha, wanajiona wana timu kumbe kikundi ch mateja.Kwa hili pira nilililoliona hapa [emoji23][emoji23] itoshe kusema upepo wa arsenal ulikua last season and they bottled it. Leicester upepo ulimjia akafanya kweliii lakini hawa wenzangu hata pasi hawawezi kabisa maboko kama yote . Pira bovu ndani ya dk 25 MLS wamefika golini mara nyingi zaidi ya bottlers.
Niwahakikishie kabisa wanangu kina mkohoti , flano na wengine wote kuwa humu ifikapo september kijana wetu mpendwa atakua tayariii kashakimbia yupo mafichoni wala hatuhitaji kufika January or April.
Huyu viera alisajiliwa kwa bei gani [emoji23][emoji23] huyu hata championship tu hawezi kucheza mtaliii huyu [emoji23][emoji23]
Timber na Rice naona wanashangaa tu hawaamini wapo phase 4 ama ni phase 1 wanaona kabisa si akili zao kuwepo hapo arteta kawapiga juju.
Puig alieachwa na barca dimba kalishikilia vile sasa huko uefa si mnaenda kuleta vifo vingine vya arsenal fans wa kenya
Ok ,Mimi napotosha , na Li supercomputer nalo linapotosha?[emoji1787][emoji1787]Msemaji wao Mc Hamis77 anawapotosha, wanajiona wana timu kumbe kikundi ch mateja.
Yani mmetufunga 3kwa2 na wewe unajitapa kweli timu zilizozoea Shida tabu sana.Kumbe lengo mpigwe nyingi, aliyekuwa anawaokoa Sana hapa Kati Degea kaondoka ,Basi subirini, Mechi ya mwisho umesahau Nini kiliwakuta , katika misimu ya karibuni mmekuwa vibonde wetu
Mimi nimefurahi Degea kuondoka maana alikuwa anapunguza Sana magoli, Kuna mechi mpango ilikuwa mle goli 15
Alichomoa michomo ON TARGETS ZOTE 14 , hii ipo kwenye record za EPL
Sasa huyu Onana atawezana kweli ?
Ndio maana nasema kumbe mnataka goli nyingiYani mmetufunga 3kwa2 na wewe unajitapa kweli timu zilizozoea Shida tabu sana.
Poleni sana Wenger orphans maana kushinda 3kwa 2 ni mafanikio yenu makubwa.
Mshindwe kutupiga wakati tuna Moyes mje mtupige saizi amka kijana.Ndio maana nasema kumbe mnataka goli nyingi
Basi subirini tunaanza wikiend hii
[emoji1787][emoji1787] nyie Sasa hivi mzuie sare ,unakumbuka mech ya mwisho mlianza kuomba sare ,tukawapiga msako mkaachiaMshindwe kutupiga wakati tuna Moyes mje mtupige saizi amka kijana.
Hii ikitokea ikakamilika itakuwa nzuri sana....na Bitello ikikamilika nayo basi tutakuwa zaidi ya vzuriArsenal have contacted the representatives of Mohammed Kudus and want to advance the deal[emoji3504]
Nasikia bitello wanaweza msajili wakamuacha Brazil maana Kuna Mambo ya Visa / permit mpaka mwakaniHii ikitokea ikakamilika itakuwa nzuri sana....na Bitello ikikamilika nayo basi tutakuwa zaidi ya vzuri