Kikosi chenu ndo Bora basi tufanye mkuu...na mtashinda ubingwa mwaka huu maana mna squad Kali kwlikwli
Wewe endelea kumdanganya huyo jamaa ako wa Chelsea , ukifika muda muanze kuungana kumshabikia cityHawa Arsenyau jinsi wavyoongopeana humu na kuaminishana kua timu yao kwa sasa ndio bora kuliko timu nyingine yoyote hadi unabaki una
Mc Hamisi Masingeli muogope Mungu ndugu yangu, hizi zambi za kuwapa false hope hawa viumbe hazitakuacha salama mwisho wa msimu shauri yako.
goood news very good news indeedThomas Partey amejiunga na timu ya Arsenal nchini Marekani kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya. Hapo awali hakuondoka na timu walipoondoka Jumapili.
Arsenal hawana nia tena ya kumuuza kiungo huyo raia wa Ghana.,labda ofa kubwa ndio itawabadili mawazoView attachment 2692905
Away kit mwaka huu sio nzuri
3rd kit ndio imetulia sanaView attachment 2691773View attachment 2691774
kwa season hii tubaki tu na partey. Pia tuna elneny, jorginho na rice. nadhani wanatutosha. tulekeze nguvu kwenye attack. hasa forward na right wing kama tutamuuza balogunThomas Partey has a full agreement with Saudi Arabia regarding personal terms, but no official offer was made to Arsenal, which does not want to sell at present or in the future if it does not find a suitable alternative.
(@nawaf__oga )
Taarifa za Leo zinasema Arsenal hawana MPANGO wakumuuza Parteykwa season hii tubaki tu na partey. Pia tuna elneny, jorginho na rice. nadhani wanatutosha. tulekeze nguvu kwenye attack. hasa forward na right wing kama tutamuuza balogun
Hii itakuwa 23:00 kwetu huku
Sio alfajiri kwa saa za huku kwetu mkuuHii itakuwa 23:00 kwetu huku
Acha majungu kijana , umesikia wapi, mashabiki wa Chelsea mnamuandama ili tu aonekana Kama magarasa yenuNasikia havertz hamumtaki tena