Hapo Kati ndio tunapahitaji ,Hii
Hii kitu anayopika arteta ikikubali 80%-90/% itakuwa mpera mpera sana hasa hiyo safu ya ushambulizi...
Kuna hii version nilipewa humu inafungua picha vzr tu ,hata nikiwa site Kuna internet ya kusumbua Sana bado zinafunguka vzr tuJf app kwenye kufungua picha imeanza kufanya wenge
ni hii old version ndio natumia sometimesKuna hii version nilipewa humu inafungua picha vzr tu ,hata nikiwa site Kuna internet ya kusumbua Sana bado zinafunguka vzr tu
Ni version 8.8.57 hii ndio natumia ipo poa Sanani hii old version ndio natumia sometimes
Nikitoka nikirudi Tena ndio naona pcha zinafunguka
Ila haina shida mkuu
Ndio hiiNi version 8.8.57 hii ndio natumia ipo poa Sana
Ndio hii ipo poa ,labda kutakuwa na tatizo la mtandao ulipo
Tukimpata huyu jamaa basi tutakuwa tumemaliza kazi....ana Kila kitu hyu mtu unachokihitaji kwa mchezaji mpambanajiArsenal are waiting to confirm a few outgoings before making a move for Ajax star Mohammed Kudus, as reported by @SamiMokbel81_DM.
Arteta wants one more midfielder & a right winger in this summer and Kudus is a player who can operate in both positionsTu
Nyie Arse88 ni mafuta ya taa kinoma, Yaani mnapenda kudanganyana nyie kondoo,Ngolo Kante ni mrefu ndio mana ni mzuri akicheza #6Tchouameni & Lavia wote hawana tofauti na Thomas Partey,wote press resistant ila wanakosa baadhi ya vitu, lavia bado mdogo, miaka 19, siwezi kumuamini kabisa kuanza kwenye timu kama Arsenal mbele ya man city, Caicedo is built different ila ufupi wake unamfanya asiwe potential #6, Caicedo ni #8 LCM.
Mkuu! Kati ya Kudus na Moussa Diaby, unaondoka na nani?Arsenal are waiting to confirm a few outgoings before making a move for Ajax star Mohammed Kudus, as reported by @SamiMokbel81_DM.
Arteta wants one more midfielder & a right winger in this summer and Kudus is a player who can operate in both positions.View attachment 2692463
KudusMkuu! Kati ya Kudus na Moussa Diaby, unaondoka na nani?
Mkuu! Kati ya Kudus na Moussa Diaby, unaondoka na nani?