Arsenal (The Gunners) | Special Thread

partey na rice wanaweza kucheza pamoja kwenye eneo la kati la uwanja.. kwa mfumo wa 4-4-2.
Rice ni namba 8 mzuri ,nashindwa kuweka video hapa ,ujue hata Pep alikuwa anamtaka Kama no.8 acheze na Rodri ,

Tuombe Partey abaki wacheze pamoja , plus Zinny au timber , Kuna mtu atakuja kula 10 haki ya nani
 
Tchoumeni namuona Kama kiungo flan mgumu , napenda viungo like Lavia ,Kuna takwimu moja ya Lavia inasema katika press 10 alizofanyiwa alipoteza mpira mara moja tu
Tchouameni & Lavia wote hawana tofauti na Thomas Partey,wote press resistant ila wanakosa baadhi ya vitu, lavia bado mdogo, miaka 19, siwezi kumuamini kabisa kuanza kwenye timu kama Arsenal mbele ya man city, Caicedo is built different ila ufupi wake unamfanya asiwe potential #6, Caicedo ni #8 LCM.
 
Kuna sehemu nimeona pia wanasema Caicedo hafai kuwa 6 ,ni #8
 
KUDUS ni swala la muda



Arsenal are eyeing Kudus but first need to sell players.

Kudus versatility is known to be particularly attractive to Arsenal's recruitment staff.

(@SamiMokbel81_DM - Tier 1 )
 
It seem ni kudus

Sami mokbel -Tier 1

Hajawahi niangusha
 
KUDUS ni swala la muda



Arsenal are eyeing Kudus but first need to sell players.

Kudus versatility is known to be particularly attractive to Arsenal's recruitment staff.

(@SamiMokbel81_DM - Tier 1 )
Hahaahaaaaaa imemramba hiiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mrithi wa patei ilifaa aletwe dirisha hili la sasa,binafsi naona Lavia angefaa zaidi πŸ˜† iliaendane na fezi foooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila dunia hii yaani asenali waliamua kusajili Lokonga kabisaaa wakamsahau dogo LaviaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Marquinyos nae asipobadili namna ya uchezaji wake ambayo naona ni ngumu kubadilika aende walau ligi ya ujerumani au akibaki ipielo aende kwa palesi/lutoni/wachana mbao

Fabio viera mfanyakazi hewa huyu naye presha ni kubwa sana halafu afya yake nina wasi wasi nayo(majeraha aliyonayo nikama endelevu hivi)
 
Marco van Basten: akielezea utofauti wa Kudus na Anthony masebene

"I find Mohammed Kudus a much better football player than Antony.

Antony has his skills, but he is confused with the things he is trying to do! Kudus has much better technique and he knows what he is doing."
 
Hii
Kudus akija bas hata saka akiumia hatutashituka sana pia anaweza cheza number ya ordegaad vizuri na false nine

I hope this happens naamin arteta anaweza kumpika acheze box to box midfielder maana anaweza kukaba
Hii kitu anayopika arteta ikikubali 80%-90/% itakuwa mpera mpera sana hasa hiyo safu ya ushambulizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...
 
Kuna mechi imechezwa leo ,Kudus kafunga goli , amecheza RW


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…