Ameambiwa atafute timu pia nasikia hayupo fitWhy? Is this fair?
Wewe ndio unaota ,Cheki huyu mzee anavyoota vibaya
View attachment 2690978
Kocha wako akili yake itamtuma Rice acheze lone DM. Akifanya hivyo andaeni kapu la magoli. 😂Premier league wameweka hii video ,nataman kumuona Rice Kama no.8 alongside Ødegaard, DM Partey ,
Niwe mkweli Bellingham, Tchoumeni, sijawahi waelewa nasubiri uwanjani nithibitishe ,
Bissouma sikuwahi muamin had leo
Caicedo nahitaji nimuone msimu mwingine isije kuwa ni one season wonder tu
Duh ,kipi Cha ajabu wakati last season tumecheza lone DM , na tumefunga magoli mengi Sana ,Kocha wako akili yake itamtuma Rice acheze lone DM. Akifanya hivyo andaeni kapu la magoli.
Hii sijaiona. Ila jamaa wapo broke kipindi hichiOya umesikia huko Barcelona kaonywa na mancity alipe €40m za Ferran Torres zilizobakia ,maana aliuziwa kwa €55m ,15 alizilipa kwa installment, 40 had Sasa hajalipa
Kipind Ferran anaenda Barca niliona utapeli wa Waz kabisa ,
Caicedo na mtu na nusu, nilisikitika tulipomkosa. Angekuja, ningesema tupo quarantined na ubingwa kwa asimilia >90
Alimuumiza na refa akaacha , baada ya mechi alimuomba msamaha ,Katili sana yule dogo ,
Alimpiga chuma martineli hadi akaomba sabu mwenyew
Msifanye hivyo kwa timu yenye KDB au Salah.Duh ,kipi Cha ajabu wakati last season tumecheza lone DM , na tumefunga magoli mengi Sana ,
Arsenal Hadi mechi ya 29 nadhani tulikuwa tumefungwa goal 27 tu, alipoumia Saliba ,Tomiyasu ndio defence ikasheki
Kucheza na Lone DM tunacheza Arsenal na mancity tu kwa EPL ,hata Liverpool hachezi hivo,
Nadhani wewe unaifananisha Sana Arsenal na manjesta kitu ambacho ni makosa
Hii sijaiona. Ila jamaa wapo broke kipindi hichi
Ingekua Arsenal wana hii drama kuna watu wangekesha humu