Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hao wote kwa gabriel jesus hawafui dafu,
Kwa balogun hatukosi €40-50m

Inter na Ac Milan zinamtaka

Kuna mdau anasema tuwauze wote Nketiah na balogun

Tukapambane kwa Victor osmhen

Jesus anachukuliwa poa ila boli limelala pale, anakupa vitu vingi,
Osimhen usishangae ndani ya misimu miwili asiimbwe tena
 
Liverpool alifukuzia ubingwa na kaukosa mara kibao dakika za mwisho, Liverpool alifika Hadi points 97 na hakubeba EPL,

Arsenal ameshawahi kukosa ubingwa kwa point 1 , msimu unaofata akawa invincible

Wachezaji wa Arsenal Wana njaa na passion ya kushinda zaidi ,
 
Arsenal kwasasa sio tu inavutia wachezaji wenye vipaji Duniani kwasasa bali mpaka mashabiki. Kama huamini jiulize kwanini katika forum ya sports hapa JF Arsenal pekee ndo yenye uhakika wa kukaa top 24hrsView attachment 2689635
Wala hujakosea

Mikel Arteta is starting to attract top talent to Arsenal.

It has not always worked but the £105m capture of Declan Rice shows his growing influence.

His charisma, specific plans and demands are now the oil in the #AFC transfer machine.

@amylawrence71
 
Onana mvunja kuni aje kufata Nini mkuu?
 
Hao wote kwa gabriel jesus hawafui dafu,

Jesus anachukuliwa poa ila boli limelala pale, anakupa vitu vingi,
Osimhen usishangae ndani ya misimu miwili asiimbwe tena
Hata yeye kasema hivo hivo ,media za UK Zina mu underrate Sana

Jamaa ana 11 goals EPL, still alikosa miezi mitatu kwa injury, alicheza muda mrefu na tatizo la goti, Kuna muda alipitia ukame
 
Sawa muda utaongea. Ila wataalamu wa saikolojia wamegusia hilo. Ila mashabiki vipofu hamtaamini hili mtarudi hapa kulia lia May. Its scientifically proven.
#Tukutane May
#Arsenal ni ileile
 
Sawa muda utaongea. Ila wataalamu wa saikolojia wamegusia hilo. Ila mashabiki vipofu hamtaamini hili mtarudi hapa kulia lia May. Its scientifically proven.
#Tukutane May
#Arsenal ni ileile
Ila manjesta atakuwa title Contender na kina Sancho, magwaya, varane malacia au sio plus Anthony masebene, na mpaka Sasa hakuna CF mliyenae ,

Mech alizokuwa anawaokoa Degea ,hata top 6 siwaweki kabisa
 
Sawa muda utaongea. Ila wataalamu wa saikolojia wamegusia hilo. Ila mashabiki vipofu hamtaamini hili mtarudi hapa kulia lia May. Its scientifically proven.
#Tukutane May
#Arsenal ni ileile
Wataalamu huwa wanaongea vtu vngi na havitokei...kwhyo hzo pumba zenu pelekeni huko kwngine...tumeanza kutoa hela kubwa kupata watu ni suala la muda kabla hatujaanza kubeba makombe....Chelkenge ndo mabingwa wa kutumia mahela mengi ndo maana wamefika hapa walipo leo....Sasa na sisi timu ishamilikiwa na mtu mmoja mazima na kocha mwenye falsafa tunaye...subirini mpira uchezwe....majibu tutayapata....mnahangaika sana kuleta vi analysis uchwara hmu ndani
 
Ila manjesta atakuwa title Contender na kina Sancho, magwaya, varane malacia au sio plus Anthony masebene, na mpaka Sasa hakuna CF mliyenae ,

Mech alizokuwa anawaokoa Degea ,hata top 6 siwaweki kabisa
Hata wakipata forward bdo tabu ipo palepale....haya ni kuyadunda msimu huu nje ndani
 
Hata yeye kasema hivo hivo ,media za UK Zina mu underrate Sana

Jamaa ana 11 goals EPL, still alikosa miezi mitatu kwa injury, alicheza muda mrefu na tatizo la goti, Kuna muda alipitia ukame
Kwangu ni striker bora.. anaweza kushambulia kutokea popote pale.. ukiwa nae uwanjani ni faida nyingi kuliko hao wote.. anakaa na boli, anapunguza mabeki, anashuka chini, anakabia juu, anatokea pembeni, anakupa assist tamu, sijui sifa hizi unazipata kwa nani.. ni kina de lima tu na kina th14 kichogo walikuw na sifa hizo.
 
Upo sahihi mkuu, nakubaliana na wewe , jamaa ndio anawafanya kina Saka martineli wapige goli nyingi

Huyu osmhen usishangae akapotea ,Kwan Vlahovic Leo yupo wapi, Juve wanamuondoa ,

Ndio manaa mm naomba Balogun tumuuze haraka Bei nzuri
 
Balogun to Inter
Huyo dogo hatari sana.

Ila timu anayoenda imeuza watu wa msingi wengi wengine wameenda Saudi na wengine wamebaki Ulaya.

Inasemekana Lautaro pia anataka kuondoka.

Lukaku anasakwa na Juve ila ndo Juve hadi iuze Vlahovic.

Ataenda kwenye timu ambayo inataka kujitafuta, kama mashabiki hawana uvumilivu wakatarajia instant results watampa presha sana.
 
Ishu za saikolojia ni two way traffic.

Kitu kinachoweza kukunyong'onyeza ndicho hicho hicho kinaweza kukufanya uwe motivated.

Liver ilikosa ubingwa dhidi ya City kwa point 1. Kilichofuata msimu ujao?

So yeah, unayo mifano ya kusapoti hoja yako lakini mifano ya kupinga hoja yako ipo pia
 
Isipokua kupunguza mabeki na vision ya pasi ila Balogun anapanda, anashuka anakua involved kwenye game vizuri kuliko Nketiah.

Yaani ST hafungi ila wote mnaridhika akicheza
 
Balogun anaenda ku fanya vizuri Sana halafu inter watamuuza kwa €100m , balogun nimemuangalia Tena mech ya juzi movement zake za haraka kusaka goli , ni vile mashabiki tunaangalia end product Sana

Ila ukimchunguza vzr kwa Seria A anaenda kupiga goli nyingi tu

Kinachomuondoa Arsenal ameshindwa kuhakikishiwa namba moja kwa moja na Sasa anahitaji acheze kila wiki
 
Isipokua kupunguza mabeki na vision ya pasi ila Balogun anapanda, anashuka anakua involved kwenye game vizuri kuliko Nketiah.

Yaani ST hafungi ila wote mnaridhika akicheza
Inter matapeli wale , ngoja watoe £40-45m uone msimu ujao watamuuza Bei gani,

Onana walimchukua bure ,Sasa hivi yanataka €60m hayamsikilizi mtu

Balogun angekuwa yupo hiv kipind kile tunajenga timu msimu wakwanza wa Arteta angepata nafas kila wiki , tatizo Sasa hivi Arsenal ina demand kubwa sio kuingia top 4 ,ni kupambania mataji ,

Ndio Maana mchezaji Kama Tielemans tulimuona wa maana mwaka Jana ,msimu huu hata mashabiki hawakumuwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…