Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Liva ni ya kuiogopa sana hujui tu, shida yenu kondoo mnaona Arse88 ndio timu ya moto kumbe hamna kitu, nyie hata top 4 hampo, tupo hapa.
 
@Flano unatunanga hapa Arsenal akija na yule jamaa ako wa Chelsea ,unamfanyia unafiki humwambii ukweli ,Chelsea wanaenda kupambania kushuka daraja

Una roho mbaya aisee , yaani unajua kabisa Chelsea ile sio timu nikikundi Cha mdundiko

Cha ajabu unamdanganya ni title Contender [emoji1787][emoji1787]
 
Liva ni ya kuiogopa sana hujui tu, shida yenu kondoo mnaona Arse88 ndio timu ya moto kumbe hamna kitu, nyie hata top 4 hampo, tupo hapa.
Chelkenge ni title Contender

Huo umoto wa Liverpool umeuona wapi ikiwa Wana midfield mpya kabisa Mac Allister na Szoboslai na bado hawana DM had Sasa wanamuuza fabinho na Henderson, hapo hapo Wana tatizo la CB na RB

Last season tuliposema Liverpool hayupo kwenye mbio za ubingwa sababu amejaza wazee mlibisha

Safari chelkenge had Sasa ile sio timu ni kikundi Cha mdundiko
 
Howard Webb naye asepe tu, mtetezi wa Man U yule

Sent from my CPH2357 using JamiiForums mobile app
 
Liva ni ya kuiogopa sana hujui tu, shida yenu kondoo mnaona Arse88 ndio timu ya moto kumbe hamna kitu, nyie hata top 4 hampo, tupo hapa.
Arsenal ata top four hatouepo kwa mujibu wako, Mkuu vipi kuhusu Chelsea yenyewe itakuwepo?
 
Nyumbu kumbe waliambia hata hiyo pesa wasipeleke[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hiyo picha wapo wakiwa
Ata nyuso zao hazina furaha[emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu pokea kwanza pongezi zangu za dhati halafu ndio uweke mezani hoja za Chelkenge.
 

Hapa tuseme tutakuwa tumeongeza points 6-9 Kila msimu maana jamaa alikuwa anapenda kutuua sana
 
Endelea kuwadanganya kondoo wenzako kuwa Arse88 ana uwezo wa kuchukua ubingwa, mwisho wa siku uwakimbie
 
Arsenal now have the most valuable squad in WORLD FOOTBALL according to Transfermarkt [emoji2962]

The signing of Declan Rice places their squad at a valuation of €1.21bn - ahead of Man City in 2nd on €1.19bn. #afc

[@TMuk_news]
 
Umesaahau na fezi fo😂😂😂....
Kaka flano ukihadithiwa hiyo fezi fo na hamis 77 unaweza sema hawa mwaka huu hamna hamna yuefa hii hapa,ligi hii hapa😂😂😂😂...
Ila mpira wa kuongea hasa kipindi cha usajili huoni makosa😂😂😂
 
[emoji599] Thomas Partey has agreed a move to Saudi Arabia. Reports,


@football_ll55. [emoji1210]
 
Za ndani kabisa, Arsenal wakimuuza Partey kwa £45-50m , wanahamia kwa Caicedo

Brighton amekaa pembeni hana papara anasubiri wakujiunga kwenye biding war

Arsenal na caicedo walishamalizana personal term

Arsenal na Lavia walishamalizana personal term
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…